EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #161
Wakisogea unijuze maana Kherson ndio mlisema mmewafurusha na mmevuka.na daraja mnawafuata hadi mpakani mwa nchi yao 😅😅😅😅😅😅Mkuu kura ni kwa miji ambayo bado russia wanaishikilia huko Donbas ambayo wanaume wako kazini kumalizia, Luhansky rasmi kazi imeanza watamalizia na Crimea, ni vile Mrusi atakufa kwa aibu
Mbona huwa unaropoka Sana wewe uongo Nani anayepelekewa Moto Kati ya aliyechukuliwa maeneo yake na anayechukua.Fashisti Putin anatapatapa tu, hajui lipi afanye, lipi asifanye.., kweli Ukraine sio watu waziuri.
Wamemfanya dikiteta Putin anaishi kwenye andaki kama nguchiro,
Narudia sio Kharson ni Kharkiv., KHARKIV, KHARKIV KHARKIV jifundishe kutaja na kuijua miji ya Ukrean ambako bosi wako anakula kibanoWakisogea unijuze maana Kherson ndio mlisema mmewafurusha na mmevuka.na daraja mnawafuata hadi mpakani mwa nchi yao 😅😅😅😅😅😅
Mkaenda mbali zaidi mkadai wanajeshi qanakimbia na kupora pikipiki za raia ili kujinusuru maisha yao 😂😂😂😂😂
Duh nyiw jamaa bhana acha tu
Tukiendelea na tabia zetu za uvivu,ubinafsi na kutokutumia akili Kwa manufaa na maendeleo ya Taifa hili ni Bora kufika huko🤔Kule Libya, Afghanistan, Syria NK ni mipaka ya NATO? au unajitoa ufahamu kwa kuwa your brainwashed na westerners
Kumbrainwash mbogo ni sawa na kumshawishi mtoto mdogo Kwa pipi akupe elfu kumi aliyotumwa dukani kununua unga wa kumpikia uji🏃Mbona huwa unaropoka Sana wewe uongo Nani anayepelekewa Moto Kati ya aliyechukuliwa maeneo yake na anayechukua.
Mapambano na mipango ataongoza nani?Wanadamu wangeamua kiongozi anayetaka vita sharti atangulie mstari wa mbele kuongoza vikosi.
Si ndo maana CCM wanatuongoza kiulainiKumbrainwash mbogo ni sawa na kumshawishi mtoto mdogo Kwa pipi akupe elfu kumi aliyotumwa dukani kununua unga wa kumpikia uji[emoji125]
Yap wanapiga kura ya maoni wananchi wakikubali ili iwe Nchi kamili na wawatumie kama jeshi kamili la kulinda eneo lao...Referendum . Kura ya maoni
Sio mkorofi,Dunia isiyona usawa inabidi kufanya hivyo🤔Hahahaha 😂🤣😅 huyu jamaa yako Putin ni mkorofi Sana aisee
Sikuiona aisee. Naomba connection mkuu.Ripoti ya haki za binadam ya UN ilitoa ripoti kwamba majeshi ya UKRAINE yanaua nakutesa RAIA
Hukuiona hukuipenda ama ilikupita MKUU !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sasa hivi jeshi lake limeshakimbia na wale waliiopiga kura wanazikana. Game imeanza sasa. Mwalimu alisema walipovamia Kagera, aliwaacha wakaingia na akawatangazia kuwa nia, uwezo na nguvu tulikuwa nazo hivyo hivyo Ukraine mchezo ule ule. Kama alivyotaka Idd Amin kutaifisha sehemu ya Tanzania ndo kama huyu mwendawazimu alivyofanya, sasa dawa inaanza kuchemka na karibu itanyweka mpaka kieleweke. Nchi huru huwezi kuichezea kama mkoa wako. Muulize Idd huko aliko kichapo alichochezea mpaka akajisalimisha uarabuni pamoja na kuwa na jeshi la anga la Libya, nguvu ya watu tofauti na nguvu ya mamluki.Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
Vladimir Putin ni kiongozi wa Panya road tawi la Ulaya Mashariki.huyu mzee akikutia upepo huchomoki hata Biden alijaa hewa ila ukweli ni kwamba amejichafulia hata kwa wanao mwamini hii ni aibu kwa taifa kubwa kama lake kushidwa mpaka sasa kumwondoa mtawala wa Ukraine na kuidhibiti kikamilifu...
Hilo jina unalotumia ni la the late your grandpa ?Ushazoea kutawaliwa na Westerners, hata sikushangai
Tuwatengenezee miamvuli ya kuwakinga na hayo mabomu.Ushauri wangu kwa hao homeless wakiingia field wawe wanaopigana huku wana angalia juu kukwepe Makombora ya Himars[emoji3526] unless watafyekelewa mbali.
Huu ni ukatili dhidi ya haki za binadamu.Huyu ni asikari wa super pawer wa mchongo akipewa dozi huko kwenye uwanja wa vita [emoji848]View attachment 2363496