Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

Mkuu kura ni kwa miji ambayo bado russia wanaishikilia huko Donbas ambayo wanaume wako kazini kumalizia, Luhansky rasmi kazi imeanza watamalizia na Crimea, ni vile Mrusi atakufa kwa aibu
Wakisogea unijuze maana Kherson ndio mlisema mmewafurusha na mmevuka.na daraja mnawafuata hadi mpakani mwa nchi yao 😅😅😅😅😅😅

Mkaenda mbali zaidi mkadai wanajeshi qanakimbia na kupora pikipiki za raia ili kujinusuru maisha yao 😂😂😂😂😂

Duh nyiw jamaa bhana acha tu
 
Fashisti Putin anatapatapa tu, hajui lipi afanye, lipi asifanye.., kweli Ukraine sio watu waziuri.
Wamemfanya dikiteta Putin anaishi kwenye andaki kama nguchiro,
Mbona huwa unaropoka Sana wewe uongo Nani anayepelekewa Moto Kati ya aliyechukuliwa maeneo yake na anayechukua.
 
Wakisogea unijuze maana Kherson ndio mlisema mmewafurusha na mmevuka.na daraja mnawafuata hadi mpakani mwa nchi yao 😅😅😅😅😅😅

Mkaenda mbali zaidi mkadai wanajeshi qanakimbia na kupora pikipiki za raia ili kujinusuru maisha yao 😂😂😂😂😂

Duh nyiw jamaa bhana acha tu
Narudia sio Kharson ni Kharkiv., KHARKIV, KHARKIV KHARKIV jifundishe kutaja na kuijua miji ya Ukrean ambako bosi wako anakula kibano
 
Kule Libya, Afghanistan, Syria NK ni mipaka ya NATO? au unajitoa ufahamu kwa kuwa your brainwashed na westerners
Tukiendelea na tabia zetu za uvivu,ubinafsi na kutokutumia akili Kwa manufaa na maendeleo ya Taifa hili ni Bora kufika huko🤔
 
Wanadamu wangeamua kiongozi anayetaka vita sharti atangulie mstari wa mbele kuongoza vikosi.
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi.

Putin ametangaza kuwa kuna muhimu wa kuchukua uamuzi wa haraka ili kulinda watu katika ‘’ardhi zilizokombolewa’’.

“Ndiyo maana niliiomba wizara ya ulinzi kukusanya jeshi kwa ajili ya vita,”
anasema.

Amesema agizo hilo tayari limetiwa saini na linaanza kutekelezwa leo.

#bbcswahili #ukraine #urusi #putin #vita
 

Attachments

  • FB_IMG_1652967410427.jpg
    FB_IMG_1652967410427.jpg
    35.9 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1659248765060.jpg
    FB_IMG_1659248765060.jpg
    60.2 KB · Views: 9
kwa hiyo saa hizi inakua vita sio operation tena
 
Urusi haina tofauti na Hitler wakati huo k matokeo yalikuwa mabaya kwa huyo dictator. Tujifunze kwa Gorberchef alivyojua kuwa ukomnist usingedumu. Putin anauleta ukomnist kwa mlango wa nyuma. Asubiri kipodo ndo atakapoanza kulia na kusaga meno. Game ndo imeanza.
 
Sawa kazoa watu wa mtaani sasa mbona anawaendesha nyie ambao ni trained expert soldiers? Hujiulizi au unajitoa ufahamu
Hahaha sasa hivi jeshi lake limeshakimbia na wale waliiopiga kura wanazikana. Game imeanza sasa. Mwalimu alisema walipovamia Kagera, aliwaacha wakaingia na akawatangazia kuwa nia, uwezo na nguvu tulikuwa nazo hivyo hivyo Ukraine mchezo ule ule. Kama alivyotaka Idd Amin kutaifisha sehemu ya Tanzania ndo kama huyu mwendawazimu alivyofanya, sasa dawa inaanza kuchemka na karibu itanyweka mpaka kieleweke. Nchi huru huwezi kuichezea kama mkoa wako. Muulize Idd huko aliko kichapo alichochezea mpaka akajisalimisha uarabuni pamoja na kuwa na jeshi la anga la Libya, nguvu ya watu tofauti na nguvu ya mamluki.
 
huyu mzee akikutia upepo huchomoki hata Biden alijaa hewa ila ukweli ni kwamba amejichafulia hata kwa wanao mwamini hii ni aibu kwa taifa kubwa kama lake kushidwa mpaka sasa kumwondoa mtawala wa Ukraine na kuidhibiti kikamilifu...
Vladimir Putin ni kiongozi wa Panya road tawi la Ulaya Mashariki.
 
Back
Top Bottom