Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Kuna uwezekano wa uchaguzi kufanyika mda si mrefu kwani huu wa jana haukuwa uchaguzi bali ni maigizo ya CCM kuubaka kuulawiti uchaguzi
 
Immediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chezea beberu
Licha ya kuwaachia Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo kuwapiga risasi wapinzani watafanya ICC The Hague
 
Jamii ya kimataifa inapowaunga mkono watanzania kwa udikteta unaoendelea, ni lazima sisi wananchi tuamke na kudai haki yetu kwa nguvu kuithibitishia Dunia kuwa tunakerwa na hali hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu watu wa ajabu Sana. Yani Wanataka hata kutufundiaha jinsi ya kuwaza, yani tuwaze na kutenda kama waonavyo wao si upuuzi huo.Wameona magu kawakazia, ile mirija yao ya kufyonza rasilimali imekatwa sasa imekuwa nogwa. Nyerere aliona mbali sana, nchi hizi za ki Africa bila kujitegemea na kuondoa tongotongo kichwani na ukoloni mamboleo hautaondoka.
 
Jiwe na Gwajima wanaenda kuifanya nchi Kama ulaya waliokuwa wanakwamisha wote wamefyekwa kwa ushindi wa kisayansi by Chakubanga Polepole .
 
Immediately !!!!!!!! Kudadadeki hata nusu saa haikufika wamewatoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chezea beberu

Mbona mnajifichia kivuli cha Zanzibar sana? Vipi huku kwenu Bara? Huyo M.Seifu anaweza hata akaahidiwa kazi na Mwinyi na hamtamsikia tena, hivyo ni bora muwekeza na kudili na huyu takataka yenu aliyeshindwa huku kwa hali na mali, ...
 
Jamii ya kimataifa inapowaunga mkono watanzania kwa udikteta unaoendelea, ni lazima sisi wananchi tuamke na kudai haki yetu kwa nguvu kuithibitishia Dunia kuwa tunakerwa na hali hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wapo busy kusaka maendeleo, kama kuliamsha dude liamshe mwenyewe kamanda. Wewe ndio unakerwa kwa kukosa wabunge ila watanzania wazalendo shwariii kila kona kheri.
 
Mayalla kawa rofa siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano wa uchaguzi kufanyika mda si mrefu kwani huu wa jana haukuwa uchaguzi bali ni maigizo ya CCM kuubaka kuulawiti uchaguzi
Upuuzi mtupu, hata ukifanyika mwingine mtagalagazwa vile vile. Chama cha Mbowe kina sera gani au mnatafuna huruma kwa wananchi ambao hata kuwawakilisha tu hamuwezi.
 
Jamii ya kimataifa inapowaunga mkono watanzania kwa udikteta unaoendelea, ni lazima sisi wananchi tuamke na kudai haki yetu kwa nguvu kuithibitishia Dunia kuwa tunakerwa na hali hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliojaribu kuandamana Zanzibar wamepigwa na polisi hadi kufa. Polisi waliwaweka kwenye fuso hadi ufukweni, waliwafukuza wavuvi maiti ziliwekwa kwenye boat na kupelekwa deep sea.
 
immediately tayari wameachiwa chezea beberu wewe
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Uzuri gani ambao umefanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…