US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Nabishana na sigara kali.
 
Kwamba huoni au ni chuki?,
Ameirudsha chini ya alipoikuta

Mama anatisha bwashee
 
Kwani wakati anaingia madarakani huyo Bi Urojo change ya dollar ilikuwaje? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaenda kuangalia factors zilizopelekea change ya dollar kuwa hivi ilivyo.
 
Safari hii Vita ya Ukraine na Urusi sio sababu?? πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™ŒπŸ’”

Maana ni moja ya sababu zilizotolewa hapo kati,baada ya mambo kuharibika! Ujinga ni janga kwa taifa letu tuna safari ndefu mno.
 
Mambo hayo yote yanatakiwa katiba mpya. Kwa Sasa bado wenzetu hawataki tupongeze hata hapa tipofikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…