let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
NYAMAZA WE KAFIRI.Vita vya Pili vya Dunia
Vita vya Kidunia vya pili vilikuwa vita vya ulimwengu ambavyo vilianzia 1939 hadi 1945. Vita hivyo viliwakutanisha Washirika na nguvu ya Axis katika vita mbaya zaidi katika historia, na vilisababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 70. Vita hivyo vinavyojulikana kwa kampeni yake ya mauaji ya halaiki dhidi ya Wayahudi, pia vilisababisha vifo vya zaidi ya raia milioni 50.
Endelea na chuki zako dhidi ya Uislam soma hapo juu Wakisto walivyofanya mauaji lakini hawajawahi kuitwa magaidi.
Punguani wahed.
hizo Vita ni mambo yao kisiasa sio Imani.
the same Iran na Iraq walivyopigana.
So,,far Leo nimetembelea Muskiti wa Buserese.
huu ndiyo msikiti kanda ya Ziwa uliowataka Waislamu kuwanchija wakristo kwasababu wakristo wamekataa kuchinjiwa vitoweo vyao,mchungaji mmoja wa haya makanisa ya kiroho akachinjwa in cold blood. sun and stars were witnessing when that Poor mchungaji was behead by your fellow jihadists.
Mita 200 toka hapa upande wa kusini Kuna msikiti wa Katoro,nimekutana(si mara ya kwanza) na Sheikh wa huo msikiti(Muhammad) ni mtu poa saba ila uwa naweza ilikuwaje kuwaje akajingiza uko.