US, Israel na wimbo wao kuifuta Hamas ni kujidanganya

Anadhani waliopo huku wote vilaza
Darasa safi sana hili nimelielewa kongole mkuuu
Toka jana nlikua bize na kuisoma historia ya intifadha
Kupitia ile intifadha ya mwanzo israhell wanatakiwa wajue kua kuwaua ama kuwasababishia madhara hamas na wapalestine kwaujumla hakuwezi kuwaganya wasidai haki zao
Bali ndio wanawachochea zaidi kudai haki zako
Fatah wamekua vibaraka wa israhell na shost zake nandio maana wanapigiwa chapuo kuendesha ukanda wa ghaza na us na shost zake
Maana wanajua hamas anawapeplekesha wanavyotakiwa kupelekeshwan!!!!!
 
Mpaka anapata muda wakuongea UN basi ujue mnafiq kweli
Mbona hawampi Ismail Hani ya hio nafasi ya kuongea hapo UN
 
Sawa ngoja tuone ...Nyie si mnaamini silaha na ndege za kivita za kisasa sisi tunamuamini mwenyezi Mungu tofauti ndio iko hapo
Hahahahaa kale kamungu kalikotuma na jihad vya kibiti. Alivituma kukomboa nini?
 
Mpaka anapata muda wakuongea UN basi ujue mnafiq kweli
Mbona hawampi Ismail Hani ya hio nafasi ya kuongea hapo UN
Kwanza aliomba ukimbizi wa kisiasa Marekani na akitia mguu Palestina wanamuwa.
 
Umri wangu mimi huenda namzidi Baba yako kwa kukusaidia waulize waanzilishi wa JF RITZ ni nani.
Sikatai mkuu ila tafuta hela ndugu yangu,,,,mambo ya ugomvi wa wayahudi na waarabu waachie wenyewe.
Usione aibu brother kutuambia tukupe connection za kupiga hela tz na viunga vyake,,,,sio kika siku ukiamka issue ni uzi za kushabikia ugomvi wa waarabu na wayahudi huku benki hauna hata milioni 60 Tz shiling.
NB: NILIKUA DUBAI NA WASHIKAJI ZANGU WAARABU RAIA WA SAUDIA NDIO WAKANIPA USHAURI HUO,,,NA MIMI NAULETA KWENU MADOGO WA JF
 
Sawa ngoja tuone ...Nyie si mnaamini silaha na ndege za kivita za kisasa sisi tunamuamini mwenyezi Mungu tofauti ndio iko hapo
Ila kihuasilia mungu wa waarabu kazidiwa kete na múngu wa wayahudi.
Walichobakiza waarabu ni maneno ya mdomoni.
Ndio maana kuna TA-ARABU!!!
NADHANI HATA JANJAWEED KUWAUA WABANTU WAGA WANAMTAJA MUNGU HUYO HUYO MKUU
 
WADAU TAFUTENI HELA ACHANI KUSHABIKIA UGOMVI WA WAPUMBAVU WAKATI NYINYI MNA MAISHA YA KUUNGA UNGA NA WENGINE MNATEGEMEA MISHAHARA
KUNA KESHO NA KESHOKUTWA MTATINGWA NA MAJUKUMU AFU HAO NDUGU ZENU KATIKA IMANI WATAWAFANYA VIJAKAZI.
NB:MFANO MZURI NI WAARABU WA JANJAWEED NA WABANTU WA SUDAN KULE DARFUR
 
Wewe lazima utakuwa shoga unatafuta mabasha kwa nguvu mimi muuza kahawa na kashata kwa siku naingiza 5000 kwangu nyingi sana hizo milioni 60 Unazipewa dubai na jamaa zako lazima
Utoe milioni 20 ufanyowe operesheni ya hajja kubwa unatumika sana, nafurahi sana upo dubai na mabasha zako unapata na muda wa kumsoma Ritz😂😂
 
Ila kihuasilia mungu wa waarabu kazidiwa kete na múngu wa wayahudi.
Walichobakiza waarabu ni maneno ya mdomoni.
Ndio maana kuna TA-ARABU!!!
NADHANI HATA JANJAWEED KUWAUA WABANTU WAGA WANAMTAJA MUNGU HUYO HUYO MKUU
Nilisahu kukuuliza hivi umeishaenda kubatizwa? Maana Papa karuhusu mashoga kubatizwa😂
 
Ila kihuasilia mungu wa waarabu kazidiwa kete na múngu wa wayahudi.
Walichobakiza waarabu ni maneno ya mdomoni.
Ndio maana kuna TA-ARABU!!!
NADHANI HATA JANJAWEED KUWAUA WABANTU WAGA WANAMTAJA MUNGU HUYO HUYO MKUU
Wazayuni wana Mungu sasa??? Au Mungu wao ndio hizo ndege za kivita na mabomu😁😁??
 
Hamas sio kitambo watasahaulika kama Muslim brotherhood ya Misri,subili uone labda sio taifa teule wanashindana nalo.
Acha ushoga wako hapa LGBTQ mmoja we
Yaani wewe jitu zima na vuzi zako zimekusimama kama steel wire unaandika upumbavu " Taifa teule " ni nani aliwapa hao machoko uteule ?
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa sio kukurupuka na kukariri vitu msivyovielewa baada ya kumezeshwa na hao machokoraa wenzenu kwenye makanisa ya uchochoroni huko
 
Unaweza weka ushahidi hapa , Hamas wameua watoto wapi ,mbuzi wewe ?
 
Unaweza weka ushahidi hapa , Hamas wameua watoto wapi ,mbuzi wewe ?
Eti mkuu nasikia Hamas wakiulizwa wanajeshi wao wangapi wameuawa waga wanajibu""WEKA USHAHIDI""
Wakiulizwa mlibaka mateka wanajibu""WEKA USHAHIDI""
Wakiulizwa mliua wanawake na watoto wa kiyahudi Oct 07 wanajibu""WEKA USHAHIDI""
Hii ni saikolojia ya kiarabu nn mkuu???
NB: NIMEONA UMEMUITA MWAFRIKA MWENZAKO MBUZI KWANINI MKUU???
 
Mkuu hayo ni mapokeo ya imani yake na ya Mungu wao Yehova.
Kila mtu ana imani yake na yupo sahii kwa imani yake.
 
Mimi sipendi vita , Israel kinchi kidogo kimepiga hatu kiuchumi.

Palestina hasa hiyo Gaza hizo Jihad zinawasaidia nini kiuchumi?

Maji, umeme, mafuta, chakula wanaletewa toka Israel kwanini wasiikwamue nchi yao iwe kama nchi nyingi za ukanda wa arabuni.
 
Jifunze kwanza waarabu na waislamu kupitia vitabu vyao wana mtazamo gani kuwahusu waebrania (Jew's).
Utapata jibu la swali lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…