US, Israel na wimbo wao kuifuta Hamas ni kujidanganya

Mdogo wangu ninapokuambia utafute hela uache kuhangaikia huu ugomvi usioisha wa waarabu na wayahudi,,,,,ww unabisha sawa.
TAFUTENI HELA WADOGO ZANGU BAADA YA MIAKA KUMI MTAKUA HAMPO HUMU JF NA MNA MAJUKUMU.
Brother akiongea ameona mbali wadogo zangu...
 
Mosab Hassan Yousef pia anajulikana kama The Green Prince, alikuwa mwanamgambo wa zamani wa Palestina aliyehamia Israel mwaka wa 1997, kisha akafanya kazi kama wakala wa siri wa Shin Bet. hadi alipohamia Marekani mwaka 2007. Na kupewa uraia wa Marekani Baba yake ni Sheikh Hassan Yousef, alibadili dini na kuwa mkiristo na anatumiwa sana na Marekani kama msemaji wa Wapalestina sasa huyu kibaraka anawezaje kuwa msemaji wa Palestina
 
Unalazimisha watu wote tuwe mashoga kama wewe😂 nenda kijjini kwenu kachukue ndugu zake wapeleke kwa mabasha zako mtakuwa matari unasema una milioni 60 benki😂😂😂
Nafurahi sana kama unafuatllia kwa ukaribu mno kusoma post zangu
 
Waislamu huwa na ujinga fulani, wao hata liwe kosa wanatetea sababu tu ni kadini kao kadogo ka mapepo
 
Waislamu huwa na ujinga fulani, wao hata liwe kosa wanatetea sababu tu ni kadini kao kadogo ka mapepo
Muslims are followers of the religion Islam, who believe in and live by the teachings of the prophet Muhammad. There are more than two billion Muslims worldwide,

Wewe endelea na chuki zako dhidi ya watu zaidi ya Bilioni 2
 
Wacha tuone
 

PLO iliishiaga wapi kk?
 
Kinachowaua Palestina Ni Uislam. Mafundisho yanayoshawishi Vita Ya Kuruani Surah Imran 3. Maafundisho ya kishetani kabisa.
 
Nyie matusi ndio mafundisho yenu,siwezi kukutukana maana sisi tunafundishwa kuwapenda hata nyinyi watukanaji ,kama kutukana Kuna kupa amani siwezi kukupinga,ila Israel ni taifa teule mpaka mwisho wa dunia.
 
Wazungu wanajua ukweli kuwa kuna dhulum , pale ndo maana hata Ireland imempeleka balaz wa Israel nyumbani , wajinga hap Tanzania ndo wanaamini eti hamasi ni magaidi , kwa kuwa bwana mkubwa kasema basi na wao huimba hivyo hivyo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kinachowaua Palestina Ni Uislam. Mafundisho yanayoshawishi Vita Ya Kuruani Surah Imran 3. Maafundisho ya kishetani kabisa.
Vita vya Pili vya Dunia
Vita vya Kidunia vya pili vilikuwa vita vya ulimwengu ambavyo vilianzia 1939 hadi 1945. Vita hivyo viliwakutanisha Washirika na nguvu ya Axis katika vita mbaya zaidi katika historia, na vilisababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 70. Vita hivyo vinavyojulikana kwa kampeni yake ya mauaji ya halaiki dhidi ya Wayahudi, pia vilisababisha vifo vya zaidi ya raia milioni 50.
na ni baadhi ya mauaji yaliofanywa na Wakirsto mafundisho yapi walikuwa wanatumia mpaka wanauwa watu milioni 50.
 
Hawataweza kabisa
 
Jifunze kwanza waarabu na waislamu kupitia vitabu vyao wana mtazamo gani kuwahusu waebrania (Jew's).
Utapata jibu la swali lako
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.
Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.
Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.
 
Hao wakristo walikuwa hawapigani kama wakristo bali raia wa nchi husika.

Hamas ni Islamic party hivyo inapigana Kwa kufuata Kuruani. Hasa Surah Imran
 
Hao wakristo walikuwa hawapigani kama wakristo bali raia wa nchi husika.

Hamas ni Islamic party hivyo inapigana Kwa kufuata Kuruani. Hasa Surah Imran
visiting South Korean Catholic bishop has apologized to the people of Vietnam for atrocities committed by his country's soldiers during the US-led Vietnam War.

Bishop Peter Lee Ki-Heon of Uijeongbu and 12 priests were on a friendship visit to Lang Son Cao Bang Diocese in northern Vietnam. They also visited some religious sites in Vietnam
 

Attachments

  • IMG_7176.jpeg
    65.4 KB · Views: 2
Hao wakristo walikuwa hawapigani kama wakristo bali raia wa nchi husika.

Hamas ni Islamic party hivyo inapigana Kwa kufuata Kuruani. Hasa Surah Imran
Papa Francis ameyasema hayo Jumatatu ya leo huko Vatican alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda. Katika kikao hicho Papa ameomba msamaha kutokana na 'madhambi na kufeli Kanisa na wafuasi wake' wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda. Amesema mauaji hayo ya kimbari yalichafua sura ya Kanisa Katoliki.

Katika kikao hicho, Rais Kagame ameelezea matumaini yake kuwa hatua hiyo ya papa itachangia kustawisha amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…