US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Weee nawe!

Sasa ulitaka waseme nini? Kwamba kila kitu chetu kimeharibiwa ama? 😳😳😳

images (7).jpeg
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Nilisoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu walisha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.

Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, ila waki-sign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.

Kulipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Naamini mkuu hawakufanya hivyo kwani yale mashambulizi ya Ijumaa ya Israel yalikuwa sapraise kwao.

Wao waliamini na kuaminishwa kuwa watakaa kwemye meza ya mazungumzo lakini wakakutana na kitu kizito.

USA na Israel sio wajinga kwenda kupiga mabomu mazito hapo mkuu. Jamaa wamewahiwa mkuu.
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Israel wao nasikia wamefanya Operation Narnia na wameua nuclear scientist wote kwa pamoja, hawakupata muda wa kumtaarifu mwengine kuhusu mauaji hayo.

Google "Operation Narnia"
 
Weee nawe!

Ulitaka waseme nini? Kwamba kila kitu chetu kimeharibiwa? 😳😳😳
Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa kwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target. Pia nasikia Fawder hata MOP ita fail tu
 
Nilusoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu waliusha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.

Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, wakisaign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.

KUlipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.

Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
 
Nilusoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu waliusha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.

Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, wakisaign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.

KUlipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
Exactly!

Na sasa hivi sababu zote wanazo, nia wanayo, na uwezo wanao.

Si unaona kule Korea Kiduku huwa hawamsumbui?

Hayo mabomu yanaleta heshima.
 
Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa jwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target.
images (7).jpeg
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Sidhani wangehamisha bila wateule kujuwa kwasababu Hao wote wangeweza kuhamisha wateule walishawajuwa nyendo Zao zote Na wakawaua.
 
Back
Top Bottom