MfanyakaziHewa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 244
- 777
We uoni Iran kuruhusu kushambuliwa ni udhaifu?Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa jwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target.
Kama watu wameweza kumshambulia bila kizuizi, basi hata Kama kweli anehamisha hiyo mitambo nayo itashambuliwa tu wakati ukifika.
Tatizo ni kwamba Iran anaingilika hadi chumbani bila vipingamizi.