US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa jwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target.
Dick rider huyo.

Hata Saudi Arabia wanasema hawaja detect mionzo yoyote ile.
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.

Ni mjinga tu atajitangaza kwamba kahamisha na kuficha hayo madude, meaning anaendelea kutonesha na kuwapa wavamizi sababu za kuendelea kuwapumulia.
Hivyo watakua wanapiga kwa kisingizio cha nyuklia.
 
1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated

"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.


Wewe hata huelewi hiyo statement ya Iran imelenga nini.

Ufahamu kuwa shambulio lolote kwenye nuclear reactors kama urutibishaji ulikuwa umefikia kiwango cha juu, lazima ingesababisha radiations, jambo ambalo lingeleta maafa makubwa kwa Iran, na possibly kwenye mataifa jirani kama hizo reactors zipo mpakani na nchi nyingine.

Kwa hiyo Iran kwa kufahamu uwezekano wa kushambuliwa hizo reactors, ililazimika kuondoa energy yote ambayo tayari ilikwisharutibishwa ili kuondoa uwezekano wa madhara kwa wananchi wake. Hivyo tangazo hilo ni kuwaondolea wasiwasi wananchi juu ya uwezekano wa radiations, na siyo kumaanisha kuwa wameondoa facilities ili wakazalishie eneo jingine. Ufahamu kuwa urutubishaji wa nuclear energy unapofikia kiwango cha juu, ni lazima kufanyika chini ya ardhi au umbali mrefu kutoka maeneo yanayokaliwa na binadamu ili kuepuka ajali za nuclear radiations, kama ile iliyowahi kutomea Urusi, ambapo Urusi ililazimika kuomba msaada wa kuziba vinu vilivyokuwa vinavuja toka Sweden, ambayo iliviziba kutokea angani, lakini baadhi ya watu walipoteza uhai.
 
Kwamba vinu na mitambo ya nyuklia inabebwa na kuhamishwa kwa kichwa.

Kubalini tu Iran ni simba wa makaratasi na kwa sasa hakuna mwarabu au muajemi wa kumshinda mzungu.

Tiini wenye nguvu zaidi yenu na maisha mengine yaendelee humu duniani.
😁🤣😄🤣😁😁🤣😄😄
 
Naamini mkuu hawakufanya hivyo kwani yale mashambulizi ya Ijumaa ya Israel yalikuwa sapraise kwao.

Wao waliamini na kuaminishwa kuwa watakaa kwemye meza ya mazungumzo lakini wakakutana na kitu kizito.

USA na Israel sio wajinga kwenda kupiga mabomu mazito hapo mkuu. Jamaa wamewahiwa mkuu.
Hakuna kitu kinaitwa izlaeli dunia hii

Huyo ni us kwenye hila za kulina asali ya waarabu kwa huruma ya kiimani

Ni mpumbavu pekee, na mawakala kwenye mitandao wanao aminisha watu upumbavu

Mnatumika kama misukule Kujadili upumbavu wa Albino
 
Kama wamepiga hewa basi Israel watakuwa walishamaliza kazi ya kuvibonda kwani vinu vya nyukilia siyo pesa ambayo unaweza ukaiahamisha hata kwa kuweka mfukoni watu wasikuone kuwa unahamisha.

Kwa wakati huu Iran ni kama mfungwa aliyeko chini ya ulinzi wa askari magereza ambaye haruhusiwi kufanya chochote bila askari magereza na nyampala kujua.

Macho yote na tochi zote ziko kwenye vinu vya nyukilia vya Iran,kama kitendo cha uhamishaji kingefanyika kingetoa urahisi wa kupigwa kuliko ambavyo viko chini ya mlima na miamba.
 
Ni mjinga tu atajitangaza kwamba kahamisha na kuficha hayo madude, meaning anaendelea kutonesha na kuwapa wavamizi sababu za kuendelea kuwapumulia.
Hivyo watakua wanapiga kwa kisingizio cha nyuklia.
Exactly, na ndo maana ukihamisha husemi 🤣.

La, utakuwa bonge moja la zuzu ukihamisha halafu unatangaza.

So, kama Iran alihamisha, alifanya hivyo kimya kimya.

So obvious 🤣🤣.

Au am I missing something here? Did Iran announce that they were moving their enriched uranium?
 
Mitambo ya nyuklia nahamiahwa kama magunia ya viazi? Walishindwa kuficha makananda na wanasayansi wao iwe kuhamisha kinu cha nyuklia kilichofichwa ardhini 🤔🤔🤔
 
Tatizo ni watu waliosoma ngwini! Nadhani Nawe ni mmojawapo. Wakati mwingine ficha madhaifu yako
Excuses, excuses, excuses!

Excuses are the tools of the weak and incompetent.

Used to build monuments of nothingness.

Those who excel in it seldom excel in anything else but excuses.
 
Unadhani hiyo miundombinu ya Nukes ni kama makobazi inayabana kwapani na kutoka race pakichafuka
 
Back
Top Bottom