US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Kwamba vinu na mitambo ya nyuklia inabebwa na kuhamishwa kwa kichwa.

Kubalini tu Iran ni simba wa makaratasi na kwa sasa hakuna mwarabu au muajemi wa kumshinda mzungu.

Tiini wenye nguvu zaidi yenu na maisha mengine yaendelee humu duniani.
Ni sahihishe kidogo:
Ni kwamba kwa sasa Serikali za Middle East ambazo zimebakia na Upumbavu wa Quran, iliyokuwa valid kawnye karne ya saba ni Iran na Qatar. Tofauti ya Qatar ni kwamba kwa kujiona wao ni kataifa kadogo, basi hutumia fedha ili to indoctrinate watu wa imani nyingine waone aah islam is a religion of peace( kumbe kiukweli it's a religion of pieces)
Wao Iran wanataka kutumia nguvu to eradicate Israel na baada ya hapo kusimamisha world islamic calphate
Hawa wote wawili wanamtumia mshirika wao mkubwa wa hiyo ideology ambaye na Muslim Brotherhood
 
Ni sawa na kusema tunahamisha bwawa la umeme la Julius Nyerere na mitambo yake ili lisishambuliwe, nuclear project sio magunia ya mchele unayoweza kuyahamisha
Wanafikiri ni container hivi walinyanyua na winchi na kulipakia kwenye lorry.
 
Naamini mkuu hawakufanya hivyo kwani yale mashambulizi ya Ijumaa ya Israel yalikuwa sapraise kwao.

Wao waliamini na kuaminishwa kuwa watakaa kwemye meza ya mazungumzo lakini wakakutana na kitu kizito.

USA na Israel sio wajinga kwenda kupiga mabomu mazito hapo mkuu. Jamaa wamewahiwa mkuu.
Israel alishambulia mifumo yote ya ulinzi na kuuwa wakuu wote wa ulinzi na usalama na wasaidizi wao (second in command). Alilipua viwanda vyote vya silaha na drones.
Jiulize Iran aliwezaje kujibu mashambulizi ya kisasi kuipiga Israel kwa makombora?
Usiamini kila kitu kinacho andikwa au kujadiliwa mitandaoni na kwenye main stream media za magharibi.
Iran siyo wajinga kiasi hicho.
Lazima walikuwa na contingency plan.
 
1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated

"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Uhakika uko wapi? Propaganda
 
We ni zuzu kweli
Kwa faida yako na Nyani Ngabu

It's difficult to give a single, definitive weight for an entire nuclear power plant because they are massive, complex facilities composed of many different components, and their size and design can vary significantly.

However, we can talk about the weight of some key components:

  • Steam Generators: These can be very heavy. A single steam generator in a commercial power plant can measure up to 70 feet (21 m) in height and weigh as much as 800 tons. Some older, larger generators have weighed over 1,140,000 lbs (approximately 517 metric tons). A typical Pressurized Water Reactor (PWR) might have two to four of these.

  • Modular Construction: Newer designs for advanced reactors are exploring modular construction, where large structural and mechanical sections weighing up to 1000 tonnesare manufactured off-site and then lifted into place. For example, the first module lifted into place for an AP1000 unit weighed 840 tonnes, and many other modules weighed over 100 tonnes, with 18 exceeding 500 tonnes.

  • Fuel Assemblies: While relatively small compared to the entire plant, individual fuel bundles (containing uranium pellets) weigh about 1,000 pounds (450 kg) each.
The overall weight of a complete nuclear power plant, including the reactor vessel, containment building, turbines, generators, cooling systems, and all associated infrastructure, would be in the hundreds of thousands of tons, if not millions, considering the vast amount of concrete, steel, and other materials used in their construction.
 
Iran ina watu milioni 90!
Israel alishambulia mifumo yote ya ulinzi na kuuwa wakuu wote wa ulinzi na usalama na wasaidizi wao (second in command). Alilipua viwanda vyote vya silaha na drones.
Jiulize aliwezaje kujibu mashambulizi ya kisasi kuipiga Israel kwa makombora?
Usiamini kila kitu kinacho andikwa au kujadiliwa mitandaoni na kwenye main stream media za magharibi.
Iran siyo wajinga kiasi hicho.
Lazima walikuwa na contingency plan.
Wewe waziamini asilimia ngapi hizo main stream media? Tunasubiri contingency plan ya Iran kwa kweli.
Kwa faida yako na Nyani Ngabu

It's difficult to give a single, definitive weight for an entire nuclear power plant because they are massive, complex facilities composed of many different components, and their size and design can vary significantly.

However, we can talk about the weight of some key components:

  • Steam Generators: These can be very heavy. A single steam generator in a commercial power plant can measure up to 70 feet (21 m) in height and weigh as much as 800 tons. Some older, larger generators have weighed over 1,140,000 lbs (approximately 517 metric tons). A typical Pressurized Water Reactor (PWR) might have two to four of these.

  • Modular Construction: Newer designs for advanced reactors are exploring modular construction, where large structural and mechanical sections weighing up to 1000 tonnesare manufactured off-site and then lifted into place. For example, the first module lifted into place for an AP1000 unit weighed 840 tonnes, and many other modules weighed over 100 tonnes, with 18 exceeding 500 tonnes.

  • Fuel Assemblies: While relatively small compared to the entire plant, individual fuel bundles (containing uranium pellets) weigh about 1,000 pounds (450 kg) each.
The overall weight of a complete nuclear power plant, including the reactor vessel, containment building, turbines, generators, cooling systems, and all associated infrastructure, would be in the hundreds of thousands of tons, if not millions, considering the vast amount of concrete, steel, and other materials used in their construction.
Yaani unafikiri Nyani hajui 🙂 Basi tu, anazingua watu humu.
 
Wewe hata huelewi hiyo statement ya Iran imelenga nini.

Ufahamu kuwa shambulio lolote kwenye nuclear reactors kama urutibishaji ulikuwa umefikia kiwango cha juu, lazima ingesababisha radiations, jambo ambalo lingeleta maafa makubwa kwa Iran, na possibly kwenye mataifa jirani kama hizo reactors zipo mpakani na nchi nyingine.

Kwa hiyo Iran kwa kufahamu uwezekano wa kushambuliwa hizo reactors, ililazimika kuondoa energy yote ambayo tayari ilikwisharutibishwa ili kuondoa uwezekano wa madhara kwa wananchi wake. Hivyo tangazo hilo ni kuwaondolea wasiwasi wananchi juu ya uwezekano wa radiations, na siyo kumaanisha kuwa wameondoa facilities ili wakazalishie eneo jingine. Ufahamu kuwa urutubishaji wa nuclear energy unapofikia kiwango cha juu, ni lazima kufanyika chini ya ardhi au umbali mrefu kutoka maeneo yanayokaliwa na binadamu ili kuepuka ajali za nuclear radiations, kama ile iliyowahi kutomea Urusi, ambapo Urusi ililazimika kuomba msaada wa kuziba vinu vilivyokuwa vinavuja toka Sweden, ambayo iliviziba kutokea angani, lakini baadhi ya watu walipoteza uhai.
Kwa hiyo US na IDF hawajui kama wakipiga kutakuwa na madhara ya mionzi?Lakini pia tujiulize kwa nini reaction ya Iran imekuwa kubwa Sana baada ya shambulio?
 
1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated

"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Wewe nahisi utakuwa mu Iran wa Mbagala...
 
Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.

Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Mkuu kwakutumia dhana Hiyo hiyo ya kutumia akili ya kawaida kwa jinsi tunavyo ifahamu Israel kwenye eneo la intel tunategemea lazima pia walikua wanafuatilia kwa ukaribu kuhakikisha hakuna vitu muhimu vinahamishwa kwasababu LENGO lao mama la kuishambulia Iran ilikua ni vinu hivyo

Kumbuka mashambulizi haya yamekuja kwa kushtukiza
 
Nilusoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu waliusha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.

Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, wakisaign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.

KUlipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
Iran wanapata wapi pesa,au sisi weusi tunachezewa akili hapa.
 
Mkuu kwakutumia dhana Hiyo hiyo ya kutumia akili ya kawaida kwa jinsi tunavyo ifahamu Israel kwenye eneo la intel tunategemea lazima pia walikua wanafuatilia kwa ukaribu kuhakikisha hakuna vitu muhimu vinahamishwa kwasababu LENGO lao mama la kuishambulia Iran ilikua ni vinu hivyo

Kumbuka mashambulizi haya yamekuja kwa kushtukiza
Okay, tuendelee kutumia logic, sawa.

Ni Israel hiyo hiyo na Mossad yake ndo ilishindwa kubaini na kulizuia shambulizi la Hamas la Oktoba 7, si ndiyo?
 
1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated

"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Wewe umejuaje
 
Back
Top Bottom