Ukitaka kujua hujui kiasi gani juu ya hili nisemalo na lile alilosema
Nyani Ngabu niambie ulikuwa unaijua Nuclear plant ya Bushehr? (Huenda unaijua)
Amejenga Nani? (Huenda unawajua)
Ipo kwenye orodha ya hizo site zilizo lipuliwa na bunker buster ya Marekani?
Kwanini nisichukue enriched uranium pekee na vitu muhimu toka kwenye site zilizotegemewa kulipuliwa na kuzipeleka kusiko tarajiwa kulipuliwa badala ya kuhamisha mitambo yote?
Asilimia ya ninacho amini haitakusaidia, wewe jiulize hayo maswali kadiria asilimia zako mwenyewe.