Siyo lazima kuwa na mavinu ya nuclear ya kuzalisha umeme ili kuunda nuclear bomb kumbukeni marekani iliunda nuclear bila hayo mavitu ...Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.
Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
twiga wanauzwa ng'ambo wanapitishiwa Dar kupelekwa uwanja wa ndege watu hawajui. Wewe elewa mzigo ulikuwa umesha hamishwa muajemi kashasema.Kwamba tusiamini wameuawa viongozi wa kijeshi na kiusalama? Kwamba ndege zitoke Marekani kwenda kupiga hewa pale Iran?
Kama wameja wanapolala makamanda na wakuu wa kijeshi washindwe kujua wametoa mitambo vya kutengenezea mabomu ya Nyuklia? Kwamba hiyo mitambo ni sawa na sindano mtu mmoja anabeba bila kujulikana kuwa amebeba nini?
Hakuna mzungu ndezi namna hiyo.
Us puppet wa zionist ambao sioni tofauti yao na Nazis. Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli maana wangeshaoka harakat zikiendelea kwenye vinu hivyo1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Mbona hoja ya radiological effect hamuisemi? Au hamuoni. Umewekwa mfano wa vinu vya nuclear vilivyolipuka accidentally Russia na madhara yake.Hakika mkuu. Uongo mwingine wa hovyo sana. Yaani mtu anawauwa wanasayansi na wakuu wa majeshi vyumbani mwao ashindwe kujua kwamba machuma yamehamishwa.
Unajuaje kama hakuna Radiation leaks mkuu?twiga wanauzwa ng'ambo wanapitishiwa Dar kupelekwa uwanja wa ndege watu hawajui. Wewe elewa mzigo ulikuwa umesha hamishwa muajemi kashasema.
Yaani Marekani ashambulie kusiwe na Radiation leaks halafu bado unakataa mzigo haukuhamishwa!
kuhusu mzigo ulihamishwaje hilo sio muhimu.
Waiting find out walihamishaje!Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
wewe umejuaje kama zipo?Unajuaje kama hakuna Radiation leaks mkuu?
Huh? Hebu rudia kusoma ulichoandika….Waiting find out walihamishaje!
Wameficha hakuna mwanahabari anaruhusiwa kufika huko1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Hayo ni maneno ya kiimani zaidi. Wako wanaamini Osama hakuuawa hadi leo.Walihamisha vitu muhimu tuu kama zile kg 400 zilizorutibishwa, halafu technology ya Iran si sawa na kizimkazi, hili shambulio liko kimchongo ni Kama kuombea ceasefire tu mbona hamna Hata radiations katka, picha zennyewe hamna yaan sijapaelewa hapa
Kwa kuongezea; mbona tunasoma na kusikia mara kadha wa kadha kuwa Israel imeuwa wanasayansi wabobevu wa nuclear, tena hata kabla ya hawa waliouwawa majuzi na bado Iran imeendelea na project yake kama kawaida.Kwamba Iran hawakuwa na wanafunzi wa ndani wakati walikuwa na wataalamu, na sehemu za kufundishia kwa vitendo tena kwa usiri?
Kwamba walikuwa hawaweki video records, computer records, emperical data, n.k.?
What do you know about apprenticeship? Hakukuwa na apprenticeship ili kurithisha hiyo teknolojia kirahisi?
Unajua strategic partnership yao na Russia inahusu nini in details?
Je hawezi kukodi wanasayansi toka North Korea?
Kobazi kimewaramba1 hour ago
Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated
"The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
Lini hiyo Mkuu?Umoja wa kobazi duniani walifanya mkutano wao uturuki mada kuu ikiwa ni mzozo wa iran, mwenzao katika ukobazi. Nini maazimio yao ikiwa mwanachama mwenzao tayari katuangwa nyuklia zake, wana uwezo wa kijeshi kwa pamoja kumsaidia mwenzao?