Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu kwanza kabisa vita ilikua ya kushtukiza mmno.... ua viongozi wote wa wajuu wa kijeshi na wanasayansi wa juu wa nyukilia..... hapo imetengenezwa panicHata mimi ningehamisha muda sana!
Unakuwa boya kuacha sites ambazo ndio chanzo cha mzozo huo!
Kwa akili ya kawaida kabisa hapo maana yake hiyo tabaka iliyokua ina uliwa akili ya kwanza ni mikakati ya kujificha wasiuliwe..... leo ni siku ya 10 tu
Na kwa mtazamo wa kawaida kabisa ikiwa Israel lengo lao kuu ni vinu vya nyukilia unategemea hawakuwa wanafuatilia nyendo zote zinazojili kwenye hivyo vinu hivyo kuhakikisha hakuna kitu kinatoka?
Mind you that kuhamisha hii kitu ambayo ni permanent sio rahisi kama watu tunavyodhani unachukua tu na kuweka ndani ya kanzu na kusepa