Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Nilisoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu walisha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Naamini mkuu hawakufanya hivyo kwani yale mashambulizi ya Ijumaa ya Israel yalikuwa sapraise kwao.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Israel wao nasikia wamefanya Operation Narnia na wameua nuclear scientist wote kwa pamoja, hawakupata muda wa kumtaarifu mwengine kuhusu mauaji hayo.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.
Ila kama mtu kama mimi mwenye akili za tu za kawaida niliona ni busara kuhamisha vitu vilivyo nyeti, wao Iran wenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia, naamini watakuwa na akili za kufanya walichopaswa kufanya.
Hakuna comeback yoyote. Nyoka keshagongwa kichwani sasa atatikisa mkia tu. Ile suprise ya Ijumaa na kuuawa kwa viongozi wa juu wa kijeshi na kiusalama halikuwa jambo jepesi kwa muiran mkuu.Ngoja tuone comebcak
Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa kwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target. Pia nasikia Fawder hata MOP ita fail tuWeee nawe!
Ulitaka waseme nini? Kwamba kila kitu chetu kimeharibiwa? 😳😳😳
Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.Nilusoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu waliusha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.
Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, wakisaign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.
KUlipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
Watajuana wao sisi washangiliaji tu.Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.
Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
Exactly!Nilusoma article moja jana wanasema Ayatollah alikataa mkataba wa Trump kwasababu waliusha jua kutengeneza nuclear hawana shida tena na mikataba na marekani na International atomic agency.
Wao walisema hata wakilipua watatengeneza tena, wakisaign mkataba utawanyima uhuru wa kutengeneza nuclear.
KUlipua sio shida wanasema as long as wanayo knowledge wata rebuld tena this time haraka kuliko mwanzo.
Iran ina watu milioni 90!Israel wao nasikia wamefanya Operation Narnia na wameua nuclear scientist wote kwa pamoja, hawakupata muda wa kumtaarifu mwengine kuhusu mauaji hayo.
Google "Operation Narnia"
Vipi kuwe hakuna madhara basi, hivi ulienda shule tu hukufika chuo kikuu ukapata akili kulikuwa jwenye hizo Nuclear facilities hakuna material ndio sababu hakuna radiological consequence. US na Israel hawawezi kusema wamepiga empty target hahaha lazima watajisifia tu. Sababu ni aibu Super power kajingiza kwenye ugomvi afu kapiga kwenye empty target.
Sidhani wangehamisha bila wateule kujuwa kwasababu Hao wote wangeweza kuhamisha wateule walishawajuwa nyendo Zao zote Na wakawaua.Kama walikuwa hawajahamisha na kuficha vitu vilivyo nyeti, nitawadharau sana.