US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kilambo
Amka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?
Wakati hata HIMARS inashindwa kuzuia...tuliaminishwa S300 sijui ushuz gani Ukraine anajipigia Russia anavyotaka[emoji23][emoji23]

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
ata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
Huyo wakupeleka tu hizo ndege anaujua uwezo wa urusi na hamchukulii poa sembuse mmarekani wa buza.............
Jamaa wanajua wakizidi kumtikisa mrusi nae hatosita kuwaonyesha maajabu......na mrusi ameshasema hii kitu sasa inaelekea kua ni vita kamili
Screenshot_20220914-075815_RT News.jpg
Screenshot_20220914-075847_RT News.jpg
 
Amka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?
Wakati hata HIMARS inashindwa kuzuia...tuliaminishwa S300 sijui ushuz gani Ukraine anajipigia Russia anavyotaka[emoji23][emoji23]

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
S300 ni generation ya ngapi na hizo himars ni ya ngapi?? Na mrusi aliziweka hizo kabla ukraine hajapewa hizo himars.l sababu alijua aina ya silaha walizokua nazo ukraine kwa kipindi hiko
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke .
Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!

Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
 
Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!

Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
Mrusi nae hayupo nyuma,,,, kadri watakavyozidi kuwapelekea hizo silaha na yeye ndo atatoa vitu hatari zaidi
Screenshot_20220914-075927_RT News.jpg
Screenshot_20220914-075940_RT News.jpg
Screenshot_20220914-075959_RT News.jpg
 
Wanasema.wenyewe kumbe? Any other sources [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
After driving out Russian forces in a speedy counter-offensive in the northeast, Ukraine is targeting freeing all territory occupied by invading Russian forces. In a Tuesday evening address, President Volodymyr Zelensky said around 8,000 square km (3,100 square miles) have been liberated by Ukrainian forces so far this month.

https://www.google.com/amp/s/www.wi...areas-after-recapturing-8000-sq-km-515931/amp

Kwani hizo HIMARS zimekomboa sentimeta ngapi mpaka sasa?
 
Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kilambo
Lazima watakuwa na plan isiyohusisha kuomba kibali kwa Urusi. Plan ikifanikiwa ni hasara kwa urusi ikifeli ni hasara kwao.
 
After driving out Russian forces in a speedy counter-offensive in the northeast, Ukraine is targeting freeing all territory occupied by invading Russian forces. In a Tuesday evening address, President Volodymyr Zelensky said around 8,000 square km (3,100 square miles) have been liberated by Ukrainian forces so far this month.

https://www.google.com/amp/s/www.wi...areas-after-recapturing-8000-sq-km-515931/amp

Kwani hizo HIMARS zimekomboa sentimeta ngapi mpaka sasa?
"Claims"
 
Attachments

  • FB_IMG_1661698542111.jpg
    FB_IMG_1661698542111.jpg
    19.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220914-085918_Chrome.jpg
    Screenshot_20220914-085918_Chrome.jpg
    210.1 KB · Views: 3
Lazima watakuwa na plan isiyohusisha kuomba kibali kwa Urusi. Plan ikifanikiwa ni hasara kwa urusi ikifeli ni hasara kwao.
Wataruka kutokea wapi wakati viwanja vya ndege vya kijeshi vimebondwa vyote au ndio watarukia kwenye civil airports halafu vikilipuliwa mje kulalamika kwamba RUSSIA ana target raia?
 
Na hicho ndio hasa anachotaka US na washirika wake!

Wamzoofishe Putin, wamchokoze atoe kila siraha aliyonayo alafu akishazoofika waje wajipigie tu kama kimsukuma mlevi
Na pia hilo ndo analofanya Putin ndo maana hatumii Silaha za maana .....anangoja huku waongeze na yeye afanye lake hii ni kama chess kila mtu anasoma move za mwenzie.....na mbinu bora ya kushinda vita sikuzote ni kumpa suprise adui yako
 
Back
Top Bottom