Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
- Thread starter
- #121
Hii winta pro Russia wameipania ngoja tuisubirWao wanajua zaidi kuliko wewe,na wamejiandaa vizuri tu katika hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii winta pro Russia wameipania ngoja tuisubirWao wanajua zaidi kuliko wewe,na wamejiandaa vizuri tu katika hilo
Jasusi wapi. Mpuuzi tuuuHii vita bado mbichi
Watafanya yote lakini kaa ukijua Western hawawezi kuvuka border kuingia Russia wanajua hapo ni WW3
Tukirudi kwenye uwanja wa vita huu si wakati wa kumbeza Mrusi. Tuupe nafasi muda ila kitakachotokea kwa Ukraine kila mtu atashangaa.
Putin hana hata wasiwasi juzi tu hapo alikuwa kwenye mkutano huko Kazakhstan na akawa na mazungumzo na bwana Xi Jinping yaani utafikiri hajui kinachoendelea huko Ukraine. Huyu jasusi anajua nini anafanya.
Time will tell
Wewe mwite mpuuzi waulize wazungu jinsi namba wanavyoisoma kiuchumi sasa hiviJasusi wapi. Mpuuzi tuuu