US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

Attachments

  • 20220914_150042.jpg
    20220914_150042.jpg
    1.2 MB · Views: 4
Hivi ukiwa vitani kuna muda wa kurecodi video 😂😂😂😂😂 hasa ukiangalia unaona kabisa hii ni zile video za Russia na ina wiki2 toka ipostiwe we unaileta leo🤣🤣🤣🤣 nioneshe rubani kama ana bendera ya Ukraine
Sema hapa watunga news ndipo wanapo fail sasa 😂😂😂
 
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.

Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio waliyoonyesha madogo naona watakubali. Hii vita bado mbichi sana.

========

Washington, its allies discussing possible transfer of fighter jets to Ukraine​

Tue, September 13, 2022 at 8:26 PM·1 min read
Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid


Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid.

The senior U.S. defence official said Washington and its allies were discussing Ukraine’s longer term needs, such as air defences, and whether it might be appropriate to give Kyiv fighter aircraft in the “medium to longer term.”

Source: The guardian
Sio kwamba vita ni mbichi mkuu hizo ndege Ukrean ndio wanaenda kumaliza vita kusafisha safisha mabaki ya mavamizi yaliyojificha ficha huko Crimea na Mariupo #KaziKAzi tu
 
Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kitambo
Hili ni tatizo dogo, viongozi wa nchi mbalimbali wanapoenda kwa Rais wanapita wapi, first lady mbona anaenda int conferencs zote?
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke.
na unavosikia wanataka kukaa watume inawezekana tayari wameshatren hao wajeshi
 
Ila huu msaada ambao Ukraine anapatiwa na US na NATO utamgharimu Sana siku za baadae....Maana hawa washirika they don't give you a free lunch

Hao wanamuhitaji Ukraine kuliko Ukraine anavyowahitaji wao....

Ulaya na Marekani wanajua Urusi akikamata Ukraine basi na wao watakua wanaishi na wasiwasi mkubwaa..., hawatapata usingizi....

Hivyo hakuna deni lolote Ukraine atailipa Marekani,
 
S300 ni generation ya ngapi na hizo himars ni ya ngapi?? Na mrusi aliziweka hizo kabla ukraine hajapewa hizo himars.l sababu alijua aina ya silaha walizokua nazo ukraine kwa kipindi hiko
Leo ndio Mnasema generation ya ngap lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati wanatuma ndege watambue kuwa winta inakuja wataisoma number wakikatiwa gesi
 
Back
Top Bottom