US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu analialia
Huyu nae vipi????? Game bado mbichi sana...........jamaa wanajua mrusi uwezo wa kumtandika ukraine anao na hadi kuwatandika wenzake anao sema ni timing tu......
Tena na hivi vikwazo vimekua ni silaha nzuri kabisa ya mrusi kuanza kuwadhoofisha wamagharibi mapema kabla ya vita kamili
Screenshot_20220914-075815_RT News.jpg
Screenshot_20220914-075847_RT News.jpg
 
Hilo lilishafikiriwa kitambo na huenda wanapotamka kuwa wanafikiria kupeleka ndio ma pilot wanamalizia mafunzo.
Lakini kwanini wazungu wambea hivi? Si wangepeleka kimya kimya?
Haha
Hilo lilishafikiriwa kitambo na huenda wanapotamka kuwa wanafikiria kupeleka ndio ma pilot wanamalizia mafunzo.
Lakini kwanini wazungu wambea hivi? Si wangepeleka kimya kimya?
Haaaaa umenichekesha sana mkuu uliposema jamaa wambea
 
Kuna wakati wazungu ni wambea sana.
Hawa watu nimefanya nao kazi, ukiwa mnafiki watakuumbua fasta ukipeleka unafiki wako wataufikisha kwa mhusika.

Usithubutu kuongea kitu kinaitwa siri kwa mzungu haha
Hahahaaa
 
Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!

Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
Nato bado hawajapeleka troops officialy. Kwao bado ni risk kubwa. However wanaweza train ukraines in their aircraft system. To ukraine pilots hiyo ni new platform very different from soviet planes so itachukua muda.
 
Huyu nae vipi????? Game bado mbichi sana...........jamaa wanajua mrusi uwezo wa kumtandika ukraine anao na hadi kuwatandika wenzake anao sema ni timing tu......
Tena na hivi vikwazo vimekua ni silaha nzuri kabisa ya mrusi kuanza kuwadhoofisha wamagharibi mapema kabla ya vita kamiliView attachment 2356261View attachment 2356262
Kumbe wanajua 😅😅😅😅😅😅
 
Mie ni Team Russia, Tema Medvedev, Team Putin, ila wananiangusha hawa kima wanaanza chonga sasa, inabidi wapelekewe moto kwa speed ya 12G+ hadi waikimbie kiev
 
Wataruka kutokea wapi wakati viwanja vya ndege vya kijeshi vimebondwa vyote au ndio watarukia kwenye civil airports halafu vikilipuliwa mje kulalamika kwamba RUSSIA ana target raia?
Russia anadai kaharibu viwanja vyote vya ndege vya Ukraine lakini cha ajabu ndege za Ukraine bado zinaruka na kufanya mashambulizi hasa kuharibu radar za Urusi. Hapa chini ni ndege ya Ukraine ikiruka na kulaunch AGM 88 HARM

Kutoka maktaba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ukiwa vitani kuna muda wa kurecodi video 😂😂😂😂😂 hasa ukiangalia unaona kabisa hii ni zile video za Russia na ina wiki2 toka ipostiwe we unaileta leo🤣🤣🤣🤣 nioneshe rubani kama ana bendera ya Ukraine
 
Attachments

  • 20220914_104616.jpg
    20220914_104616.jpg
    108.8 KB · Views: 1
Hivi ukiwa vitani kuna muda wa kurecodi video [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa ukiangalia unaona kabisa hii ni zile video za Russia na ina wiki2 toka ipostiwe we unaileta leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nioneshe rubani kama ana bendera ya Ukraine
Last month we got the visual confirmation of the Ukrainian Air Force MiG-29 Fulcrum fighter jets employing US-made AGM-88 High-speed Anti-Radiation Missiles.

Now we have photographic evidence of the missile being employed also by the Ukrainian Sukhoi Su-27 Flanker heavy fighters. The aircraft can be seen carrying also two R-27R/AA-10 Alamo and two R-73/AA-11 Archer air-to-air missiles.

As we have already reported, in early August, photos emerged online showed debris left by an AGM-88 after it struck a Russian surface-to-air missile site.

A couple of weeks later, the US government confirmed that the US-made anti-radiation missiles were delivered to Ukraine and were being employed by the MiG-29s.

Ukraine appears to be using US-made radar-hunting missiles to another kind of fighter jet

Hizi ndege sijui zinaruka kutokea wapi wakati Russia Ministry of Defense walituambia wameshaharibu Airforce ya adui haiwezi tena kufanya kazi

Russia says Ukraine's air force is practically destroyed
 
Back
Top Bottom