Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Himars 12 tu zimetia watu kiwewe!ata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Himars 12 tu zimetia watu kiwewe!ata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
Russia yup?...huyu mandonga?Wataruka kutokea wapi wakati viwanja vya ndege vya kijeshi vimebondwa vyote au ndio watarukia kwenye civil airports halafu vikilipuliwa mje kulalamika kwamba RUSSIA ana target raia?
Hata kesho pia vipi kuna taabu?Leo ndio Mnasema generation ya ngap lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Unazijua su57?Punguza mahaba mkubwa hali mbaya huko[emoji23][emoji23]Anakimbilia mawe
Taratibu wanazinduka na fahamu zinaanza kuwarudia.Leo ndio Mnasema generation ya ngap lol[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema Urusi wana mikwara sana, ila matendo ZeroMrusi nae hayupo nyuma,,,, kadri watakavyozidi kuwapelekea hizo silaha na yeye ndo atatoa vitu hatari zaidiView attachment 2356208View attachment 2356209View attachment 2356210
hizi ndege hazihitaji rubani. ni zile zinaendeshwa kwa software...ni kukomand nabado zina uwezo wa ku auto-detecti eneo nyeti na kufanya automatic firing. ko sisi hapa kazi yetu ni kusubiri tu kuona vile dictator anakalishwa chiniTatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke.
Hii inatakiwa mrusi ashtuke anafanyiwa mchezo mchafu na nato afanye vita kamili iwe ya dunia kabisa na sisi kizazi chetu tufurahie ladha ya vita ya dunia.Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!
Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
hahahaHii inatakiwa mrusi ashtuke anafanyiwa mchezo mchafu na nato afanye vita kamili iwe ya dunia kabisa na sisi kizazi chetu tufurahie ladha ya vita ya dunia.
Hii vita bado mbichiNa hicho ndio hasa anachotaka US na washirika wake!
Wamzoofishe Putin, wamchokoze atoe kila siraha aliyonayo alafu akishazoofika waje wajipigie tu kama kimsukuma mlevi
Nimejaribu kufikiria huo umbali wa km 8000 za mraba nkawaza toka dar adi tunduma mara 8 ukikunje afu wamekomboa kwa wiki 2 tu napata ukakasi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nyie jamaa ni waongo kinyama mnakuja na madai ya kukomboa km3,000 hivi unajua huo umbali unavuka Mtwara to Mtukula [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nope ndege zisizo hitaji rubani ukraine kazitumia sana. Na zimewasaidia sana mwanzoni mwa vita hata sasa. Si wageni kwenye hilo.hizi ndege hazihitaji rubani. ni zile zinaendeshwa kwa software...ni kukomand nabado zina uwezo wa ku auto-detecti eneo nyeti na kufanya automatic firing. ko sisi hapa kazi yetu ni kusubiri tu kuona vile dictator anakalishwa chini
nimekupata kaka. basi nilidhani aina ya planes wanayo taka kumpa ndo huo ya bila rubaniNope ndege zisizo hitaji rubani ukraine kazitumia sana. Na zimewasaidia sana mwanzoni mwa vita hata sasa. Si wageni kwenye hilo.
All NATO members wana fly F16 ndio ziko nyingi mbali F18. F22 not for export. F35 bado haziko za kutosha nchi chache sana wanazo.
Nchi wanachama nao wana brand zao pia
kumfanyia transition from soviet planes to This kind of planes si rahis. It takes time but not impossible
It takes 6-12 month kumtrain rubani mpya ku fly
Ukisikiliza hizi porojo unaishia kucheka tuNimejaribu kufikiria huo umbali wa km 8000 za mraba nkawaza toka dar adi tunduma mara 8 ukikunje afu wamekomboa kwa wiki 2 tu napata ukakasi.
Lakini porojo za Russia kwamba iliharibu viwanja na Airforce yote ya Ukraine uliamini 100%!!!!!.Ukisikiliza hizi porojo unaishia kucheka tu
Dah mnashangaza kwelikweli na vihoja vyenu uchwara. Kwahiyo wao hawajui kama kuna winter mbeleni kwahiyo nyinyi ndio mnawapa taarifa na kuwaonea huruma? KakakkakaaaaaWakati wanatuma ndege watambue kuwa winta inakuja wataisoma number wakikatiwa gesi
Wao wanajua zaidi kuliko wewe,na wamejiandaa vizuri tu katika hiloWakati wanatuma ndege watambue kuwa winta inakuja wataisoma number wakikatiwa gesi
Yaani wee acha tu.Ukisikiliza hizi porojo unaishia kucheka tu