US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

Hawa USA na washirika wake ni wajanja sana. Ukisikia wanasema wanafikiria, in real sense wameshafikiria na wameshatuma kabisa. Hii ya sasa danganya toto na kujisafisha kwamba walishasema watatuma. Muda si mrefu madude yataanza kauchiwa na Ukraine huko.
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke.
hizi ndege hazihitaji rubani. ni zile zinaendeshwa kwa software...ni kukomand nabado zina uwezo wa ku auto-detecti eneo nyeti na kufanya automatic firing. ko sisi hapa kazi yetu ni kusubiri tu kuona vile dictator anakalishwa chini
 
Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!

Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
Hii inatakiwa mrusi ashtuke anafanyiwa mchezo mchafu na nato afanye vita kamili iwe ya dunia kabisa na sisi kizazi chetu tufurahie ladha ya vita ya dunia.
 
Na hicho ndio hasa anachotaka US na washirika wake!

Wamzoofishe Putin, wamchokoze atoe kila siraha aliyonayo alafu akishazoofika waje wajipigie tu kama kimsukuma mlevi
Hii vita bado mbichi

Watafanya yote lakini kaa ukijua Western hawawezi kuvuka border kuingia Russia wanajua hapo ni WW3

Tukirudi kwenye uwanja wa vita huu si wakati wa kumbeza Mrusi. Tuupe nafasi muda ila kitakachotokea kwa Ukraine kila mtu atashangaa.

Putin hana hata wasiwasi juzi tu hapo alikuwa kwenye mkutano huko Kazakhstan na akawa na mazungumzo na bwana Xi Jinping yaani utafikiri hajui kinachoendelea huko Ukraine. Huyu jasusi anajua nini anafanya.

Time will tell
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nyie jamaa ni waongo kinyama mnakuja na madai ya kukomboa km3,000 hivi unajua huo umbali unavuka Mtwara to Mtukula [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimejaribu kufikiria huo umbali wa km 8000 za mraba nkawaza toka dar adi tunduma mara 8 ukikunje afu wamekomboa kwa wiki 2 tu napata ukakasi.
 
hizi ndege hazihitaji rubani. ni zile zinaendeshwa kwa software...ni kukomand nabado zina uwezo wa ku auto-detecti eneo nyeti na kufanya automatic firing. ko sisi hapa kazi yetu ni kusubiri tu kuona vile dictator anakalishwa chini
Nope ndege zisizo hitaji rubani ukraine kazitumia sana. Na zimewasaidia sana mwanzoni mwa vita hata sasa. Si wageni kwenye hilo.
All NATO members wana fly F16 ndio ziko nyingi mbali F18. F22 not for export. F35 bado haziko za kutosha nchi chache sana wanazo.
Nchi wanachama nao wana brand zao pia

kumfanyia transition from soviet planes to This kind of planes si rahis. It takes time but not impossible
It takes 6-12 month kumtrain rubani mpya ku fly
 
nimekupata kaka. basi nilidhani aina ya planes wanayo taka kumpa ndo huo ya bila rubani
 
Ukisikiliza hizi porojo unaishia kucheka tu
Lakini porojo za Russia kwamba iliharibu viwanja na Airforce yote ya Ukraine uliamini 100%!!!!!.

Halafu cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinaruka Kwa madaha kwenye airspace ya Ukraine na Russia hana air superiority anaishia kurusha long range missiles kutokea mbali maana kila akijaribu kuingiza ndege Ukraine hairudi Moscow inashia ardhini Ukraine
 
Wakati wanatuma ndege watambue kuwa winta inakuja wataisoma number wakikatiwa gesi
Dah mnashangaza kwelikweli na vihoja vyenu uchwara. Kwahiyo wao hawajui kama kuna winter mbeleni kwahiyo nyinyi ndio mnawapa taarifa na kuwaonea huruma? Kakakkakaaaaa

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom