Amka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kilambo
Vita sio kama hizo movie zinazowadanganya kila mtu ana hesabu zakeAmka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?
Wakati hata HIMARS inashindwa kuzuia...tuliaminishwa S300 sijui ushuz gani Ukraine anajipigia Russia anavyotaka[emoji23][emoji23]
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Huyo wakupeleka tu hizo ndege anaujua uwezo wa urusi na hamchukulii poa sembuse mmarekani wa buza.............ata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
S300 ni generation ya ngapi na hizo himars ni ya ngapi?? Na mrusi aliziweka hizo kabla ukraine hajapewa hizo himars.l sababu alijua aina ya silaha walizokua nazo ukraine kwa kipindi hikoAmka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?
Wakati hata HIMARS inashindwa kuzuia...tuliaminishwa S300 sijui ushuz gani Ukraine anajipigia Russia anavyotaka[emoji23][emoji23]
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke .
Mrusi nae hayupo nyuma,,,, kadri watakavyozidi kuwapelekea hizo silaha na yeye ndo atatoa vitu hatari zaidiMzee, ukisikia zinapelekwa jua kuna na marubani wa kutoka nchi za US na ulaya humo!
Mimi naamini hii vita kuna wanajeshi wengi tu wa NATO wanamchachafya Putin
Anajipigia na kukomboa mita ngapi 😆😆😆Amka wewe usije ukajikojolea... S300 ipi?
Wakati hata HIMARS inashindwa kuzuia...tuliaminishwa S300 sijui ushuz gani Ukraine anajipigia Russia anavyotaka[emoji23][emoji23]
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Na hicho ndio hasa anachotaka US na washirika wake!Mrusi nae hayupo nyuma,,,, kadri watakavyozidi kuwapelekea hizo silaha na yeye ndo atatoa vitu hatari zaidiView attachment 2356208View attachment 2356209View attachment 2356210
8000 km² ndani ya wiki moja tu[emoji119]Anajipigia na kukomboa mita ngapi [emoji38][emoji38][emoji38]
Bado ni SMO!mpk sasa status haijabadilika ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu analialiaMrusi nae hayupo nyuma,,,, kadri watakavyozidi kuwapelekea hizo silaha na yeye ndo atatoa vitu hatari zaidiView attachment 2356208View attachment 2356209View attachment 2356210
Wanasema.wenyewe kumbe? Any other sources 😂😂😂😂8000 km² ndani ya wiki moja tu[emoji119]View attachment 2356215
Yaan pro rusia mna vituko sana.Wapeleke Ili status ya vita ibadilike!Na hapo Ukraine ndio watajua makosa waliyofanya!
Vituko gani Tena?Yaan pro rusia mna vituko sana.
After driving out Russian forces in a speedy counter-offensive in the northeast, Ukraine is targeting freeing all territory occupied by invading Russian forces. In a Tuesday evening address, President Volodymyr Zelensky said around 8,000 square km (3,100 square miles) have been liberated by Ukrainian forces so far this month.Wanasema.wenyewe kumbe? Any other sources [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima watakuwa na plan isiyohusisha kuomba kibali kwa Urusi. Plan ikifanikiwa ni hasara kwa urusi ikifeli ni hasara kwao.Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kilambo
"Claims"After driving out Russian forces in a speedy counter-offensive in the northeast, Ukraine is targeting freeing all territory occupied by invading Russian forces. In a Tuesday evening address, President Volodymyr Zelensky said around 8,000 square km (3,100 square miles) have been liberated by Ukrainian forces so far this month.
https://www.google.com/amp/s/www.wi...areas-after-recapturing-8000-sq-km-515931/amp
Kwani hizo HIMARS zimekomboa sentimeta ngapi mpaka sasa?
Wataruka kutokea wapi wakati viwanja vya ndege vya kijeshi vimebondwa vyote au ndio watarukia kwenye civil airports halafu vikilipuliwa mje kulalamika kwamba RUSSIA ana target raia?Lazima watakuwa na plan isiyohusisha kuomba kibali kwa Urusi. Plan ikifanikiwa ni hasara kwa urusi ikifeli ni hasara kwao.
Weee acha f35 sema haitatokeaata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
Na pia hilo ndo analofanya Putin ndo maana hatumii Silaha za maana .....anangoja huku waongeze na yeye afanye lake hii ni kama chess kila mtu anasoma move za mwenzie.....na mbinu bora ya kushinda vita sikuzote ni kumpa suprise adui yakoNa hicho ndio hasa anachotaka US na washirika wake!
Wamzoofishe Putin, wamchokoze atoe kila siraha aliyonayo alafu akishazoofika waje wajipigie tu kama kimsukuma mlevi