Hii vita bado mbichi
Watafanya yote lakini kaa ukijua Western hawawezi kuvuka border kuingia Russia wanajua hapo ni WW3
Tukirudi kwenye uwanja wa vita huu si wakati wa kumbeza Mrusi. Tuupe nafasi muda ila kitakachotokea kwa Ukraine kila mtu atashangaa.
Putin hana hata wasiwasi juzi tu hapo alikuwa kwenye mkutano huko Kazakhstan na akawa na mazungumzo na bwana Xi Jinping yaani utafikiri hajui kinachoendelea huko Ukraine. Huyu jasusi anajua nini anafanya.
Time will tell