Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Sasa kama we mtanzania kwann unahitaji mmarekani akuangalizie uchaguzi wako, kwann usisimamie uchaguzi wako mwenyewe? Na sasa upo hapa unashabikia nini?
Wakiwapa hela huwa wanakuwa mabwana zenu?Watz ndiyo waamuzi siyo hao mabwana zenu!
Akiki zenu zimelala!US sera zao za mambo ya nje huwa hazibadiliki!Unataka hela zao basi utatimiza hayo wanayokuambia regardless nani yuko madarakani!Hii ndio tafsiri ya mifumo kuwa imara!Sio kama hapa bongo,kila kitu ni jiwe tu!Mikwara mbuzi hiyo, Seneta mwenyewe kwanza siyo Republican ni Democrat na siajabu harudi mjengoni, ...
Haha hahahaaHawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Ikishinda basi ishinde kwa haki sio figisu na vyombo vya dola!Mna waste time tuu na haya matamko, hayana maana yoyote, ccm itashinda na magufuli ndio rais wa awamu ijayo.
Umemtamani beberu mpaka ufuatilie kama ameoa au la?Halafu wao hata jinsia moja wanaowana so hoja yako haina mashiko Punguani wahed!Toka waanze kuandika vipeperushi kwenye korona hawajachoka tu
Nimeangalia Huyu Menendez hajaoa! Kwanini ? Au ndio ile jamii pendwa pale Chadema
Mkiiba kura safari hii hakita eleweka!Naona mnalazimisha machafuko kwa nguvu!Endeleeni kuabudu hao wazungu na kichapo bado mtachezea
Wagomeeni basi kama mnajeuri wawazimbabwe!Sasa kama wao wana kila kitu wanataka nini africa, si wangeiacha tuu wakaendelea kufanya yao? Fanya research kabla ya kuongea.
Jamani,tunataka uchaguzi huru na wa haki!Kama Wamarekani nao wanataka kitu hicho hicho basi naungana nao dhidi ya wale ambao hawataki hilo!US won't do anything about Tanzania's democratic choices. They just want to put their puppet the way they had done in Iraq after toppling Saddam Hussein.
Sasa si muwaambie hamtaki misaada yao pakashume ninyi!Wanasapoti watanzania wepi kama sio Njaa zao tu nakujipendekeza, wawasapoti wamarekani zidi ya Koona, tanzania watuachie
Kwani kama ccm inakubalika nini tatizo kwanini kutumia mbinu za wizi na haramu. Acheni uwanja sawa uamue.Sijui anachokifanya bwana Trump katika nchi yao hawakioni.
Unapambana kutoa taka kwa Jirani wakati Nyumba yako inateketea kwa moto!
.....China.
Principle ipo hv-Mjinga hutawaliwa na mwenye akili-CCM Bado Ina mentality za kijinga kiasi kwamba wamebaki kusifia v8Sasa kama wao wana kila kitu wanataka nini africa, si wangeiacha tuu wakaendelea kufanya yao? Fanya research kabla ya kuongea.
Mdogo mdogo tutafika tu.Informer kutoka jikoni
Hii mambo TAYARI....
Basi hata hizo V8 wanazo?? Hawa hawa wanaoamkia Makande?? Ukiwaona huwezi jua kama ni hawa wanajifaragua.Principle ipo hv-Mjinga hutawaliwa na mwenye akili-CCM Bado Ina mentality za kijinga kiasi kwamba wamebaki kusifia v8
Hehee wala makande bwanaWatz ndiyo waamuzi siyo hao mabwana zenu!
Mahera kashaufyata yale matamko ya kuropoka ropoka kaacha. Bado anamtumikia bwana wake kwa vitendoTunaelekea pazuri, waovu wote wameshamulikwa, kilichobaki ni kuwamaliza
Unazungumzia vumbi lipi? Hilo chini ya Kitanda chako?Hawa wamarekani hela zao tunazitaka lakini hayo mambo yao ya kuingilia uchaguzi wetu hatuyataki, wakiendeleza ubishi tutaigeuza New York iwe vumbi ndani ya dakika sifuri
Zama za kutawaliwa zilishapita, kila mtu ajitawale mwenyewe.Principle ipo hv-Mjinga hutawaliwa na mwenye akili-CCM Bado Ina mentality za kijinga kiasi kwamba wamebaki kusifia v8