US anawapa joto CCM hawajawah ona tangu nyakati za nyerere;na Hii next week haiwaachi CCM salama,balozi wa marekani Yupo consistent na anachokisema tokea mwanzo na habadilishi maneno-Akimaanisha Yupo serious kwa vitendo;tokea amekuja august baada ya senators Kuihimiza serikali yao imlete balozi wa kudumu tanzania kushughulikia uvunjwaji wa demokrasia hapo ndipo nilianza kuusoma mchezo kwamba US government mean business this time na ndo tunashuhudia.Mahera kashaufyata yale matamko ya kuropoka ropoka kaacha. Bado anamtumikia bwana wake kwa vitendo
Hujui hata usimamie nini, unarukaruka na jazba nyingi, haki itatendeka Tanzania na itasimamiwa na watanzania, siku zote ndivyo ilivyo na hata uchaguzi huu ndio itakavyokuwa.Acha arguments za kijinga. Wapi nimesema hivyo? Kutaka haki itendeke Tanzania haina uhusiano wowote na Marekani. Vitabu vya dini vinapoongelea haki huwa vinaihusisha na Maremani. Acha upumbvu.
Wait and see!! USA really means business this year. They ain’t playing with foolsUS won't do anything about Tanzania's democratic choices. They just want to put their puppet the way they had done in Iraq after toppling Saddam Hussein.
Ohooo;kaa kizembe kama hujatawaliwa hadi na mkeo🤣🤣🤣🤣Zama za kutawaliwa zilishapita, kila mtu ajitawale mwenyewe.
Utaekewa vikwazo hakuna kuuza wala kununua nje no,ARVs ,no mafuta,korosho zenu mtaishia kutafuna wenyewe,njaa,magonjwa,vifo kuongezeka kwa jiwe and company no problem chuki dhidi ya serikali itazidi sababu ya dhikiNaomba kuuliza hiyo barua ina-impact gani endapo ccm watapuuza?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu tutajitahidi hayo yasitukute, ndio hapa tunapambana na agents wa neo-colonialism.Ohooo;kaa kizembe kama hujatawaliwa hadi na mkeo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Kikwete na Mkapa walishayaona mapema-hv vitu vinahitaji busara na hekima na siyo itikad au kushindana,kikubwa waite wenzako muyajenge kama alivyofanya Uhuru Kenyatta,washauri wanamdanganya Rais Ila kiukweli Tanzania haiwez survive hata miwezi 2 jamaa wakitupiga pini na jinsi tena nchi Jiran hatuna mahusiano mazuri ndo balaaTamko hili nimelisoma lote hadi mwisho jamani tumuombee sana rais wetu mungu ampe maarifa na hekima amalize huu uchaguzi salama,ukiona wenye Dunia yao wanakuandamana,chutama tumia akili ya ziada uone namna ya kuepukana nao,hili tamko sio zuri kabisaaaaaa,kwa mtu anayeelewa siasa za dunia hii atakuwa amenielewa!
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu tutajitahidi hayo yasitukute, ndio hapa tunapambana na agents wa neo-colonialism.
Kwa mara ya kwanza tamko hili limemtaja moja kwa moja stone yaaani kifupi US haimtaki,na jumuia zingine za kitaifa hazimtaki,Na Kikwete na Mkapa walishayaona mapema-hv vitu vinahitaji busara na hekima na siyo itikad au kushindana,kikubwa waite wenzako muyajenge kama alivyofanya Uhuru Kenyatta,washauri wanamdanganya Rais Ila kiukweli Tanzania haiwez survive hata miwezi 2 jamaa wakitupiga pini na jinsi tena nchi Jiran hatuna mahusiano mazuri ndo balaa
Kweli kabisa yaaani tutakuja kuumia wote,inakuwaje mtu mmoja analiangamiza taifa ilihali uwezo wa kumuondoa upo??Watanzania tusiruhusu dikteta mmoja toka kijijini aliingize Taifa kwenye msuguano na jumuiya ya kimataifa. Tusimame kidete, kama ambavyo tumedhamiria kumuondoa katika uchaguzi huu....na jumuiya ya kimataifa imeshathibitisha kwamba iko pamoja na wananchi. Huu ndio mwisho wake.
Wajinga wa Lumumba wanachekelea wakidhani hizo sanctions ni dhidi ya Magufuli....hawajui kama bibi na mama zao vijijini wataathirika kwa kukosa madawa ba mipira ya kujifungulia....hiyo yote wanatetea maslahi ya kijinga ya mtu mmoja anaewalaghai kaja kuwaletea maendeleoKweli kabisa yaaani tutakuja kuumia wote,inakuwaje mtu mmoja analiangamiza taifa ilihali uwezo wa kumuondoa upo??
Wangekuwa wanatamani rasilimali zetu basi hata arv wasingeleta ili tufe kabisaMabeberu hawana maana zaidi ya kutamani rasilimali zetu.
Ni kweli kabisa , Wasiache mpaka majanga yatokee.Asanteeeeee sana Marekani. Kawachezea sana sharubu huyu mtu , sasa muonesheni kweli nyie ni nani!!!
We support your actions towards Magufuli and his regime
Kushinda sio tatizo mana hata akishinda anayefaidika wa kwanza ni watu wa familia yake.Mna waste time tuu na haya matamko, hayana maana yoyote, ccm itashinda na magufuli ndio rais wa awamu ijayo.
Kwa hyo mkuu unaimbaChoooocheaaa chocheaaa ....