ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hata kutoa msaada na maamuzi ya nchi husika, nchi husika ndo imeamua hivyo.
Sawa kwani tumewaomba ? Kama hawataki shauri zao, ila sio kutishana kwa maboksi ya kondomuHata kutoa msaada na maamuzi ya nchi husika, nchi husika ndo imeamua hivyo.
Misaada yenyewe inazidisha umasikini, bora wabaki nayo wenyewe hiyo misaada ya masimango"Haina shida, Super Power Russia atafidia hilo gap". Kupata kichekesho kama hiki bonyeza * Kisha # kitakuwa cha kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuitaji misaada ili tuishi, wasipunguze wafute kabisa wanamtisha nani kenge haoHata kutoa msaada na maamuzi ya nchi husika, nchi husika ndo imeamua hivyo.
Hee., Namaanisha kama Tanzania itapiga kura kussport russia, US wataikatika misaada Tanzania, na watasapoti US halkadhalika Urusi watainunia Tanzania., ndio mana munapiga kura kutoanisha upande ili njaa zenu huko zipate misaada kote kote., lakini angalia kama hili la Human Right Coucil Tanzania hawakufungamana na upande wowote matokeo yake mtakosa misaada kwa 40%Njaa vip wakati ni maamuzi ya nchi husika? watu wameamua kuwa neutral kama nchi shida iko wapi? ugomvi wako sio ugomvi wetu maana hata huku kwetu tuna matatizo yetu tuna maliza wenyewe
Inatetea uvamizi halafu inalia na athari za uvamizi.Tanzania inatetea uvamizi, US wako sahihi.
Hiyo ni sera ya Tanzania kuwa neutral tusilazimishane, wala hatuna njaa hayo ni maamuzi yetu kama nchi, Tanzania ni muhimu kwa Marekani ndio maana kuna kampuni zao hapa zinapiga pesa na ubalozi wamejenga kabisaHee., Namaanisha kama Tanzania itapiga kura kussport russia, US wataikatika misaada Tanzania, na watasapoti US halkadhalika Urusi watainunia Tanzania., ndio mana munapiga kura kutoanisha upande ili njaa zenu huko zipate misaada kote kote., lakini angalia kama hili la Human Right Coucil Tanzania hawakufungamana na upande wowote matokeo yake mtakosa misaada kwa 40%
Kwa mfano Tanzania itainyima nini Marekani ili marekani iwe ni pigo kwao? Ndio mana nasema njaa zenu kwa sababu ya umaskini mbona nchi zinazojielewa zimepiga kura ya Ndio au ya Hapana kuonyesha what ever the case wao wanajipambanua watambana na hali zao, Tanzania hamuna huo ubavu, ndio nasema ni unafiki ukweli kuufumbia macho
Ndio nashangaa waondoe 100% halafu waone kama kuna nchi itapotea isiwepo kisa misaadaMashoga wa Marekani wanataka watushike mpaka Akili zetu,kwa nini wasingekata zote 100%?Hizo asilimia 40% za nini sasa?Pumbavu zao tuone kama tutakufa njaa.
Hakuna shida tutakuwa huru, misaada ni kifungoAkishaanza marekani wanafuata EU na washiriki wake etc.na tulivo mabingwa wa kuomba omba na mikopo tutegemee bajeti kukosa support ...naziona tozo mpya bajeti Hii na nayaona maisha ya watanzania yatakuwa magumu zaidi ...
Mwandishi atakuwa ni yule spika aliyetema uspika maana ana roho mbaya sanaSawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
sera iliyojaa unafiki, hizo kampuni uzijuazo ni kwa maslahi yenu kupata viajira ajira na ivyo vikampuni ndivyo vinavyokufanyeni muwe na seria hiyo ya kutoegemea upande wowote ili mufaidike huku na huku, mke si dumeHiyo ni sera ya Tanzania kuwa neutral tusilazimishane, wala hatuna njaa hayo ni maamuzi yetu kama nchi, Tanzania ni muhimu kwa Marekani ndio maana kuna kampuni zao hapa zinapiga pesa na ubalozi wamejenga kabisa
Itakuwa miongoni mwazo.Sawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
Watoe kampuni zao halafu wataona kama tutakufa njaa, sera ya nchi yetu ni muhimu kuliko vikampuni vya kimarekani, kama wamekasirika watoe kampuni zao Tanzania na wabomoe ubalozi wao, wanapiga pesa hapa Tanzania halafu wewe unaleta porojosera iliyojaa unafiki, hizo kampuni uzijuazo ni kwa maslahi yenu kupata viajira ajira na ivyo vikampuni ndivyo vinavyokufanyeni muwe na seria hiyo ya kutoegemea upande wowote ili mufaidike huku na huku, mke si dume
Kwani ulishikisa fimbo kuiomba na kuipokea, ungekataa kuipokea kitambo sio Hadi unyimwe ndo ujidai huzitaki mbichi hizi[emoji2][emoji2]Hatuitaji misaada ili tuishi, wasipunguze wafute kabisa wanamtisha nani kenge hao
Hahaha tajiri hanuniwiMisaada yenyewe inazidisha umasikini, bora wabaki nayo wenyewe hiyo misaada ya masimango
Waondoe sasa 100% wanamtishia nani kuondoa 40%? waondoe misaada yote halafu waone nani atakufaKwani ulishikisa fimbo kuiomba na kuipokea, ungekataa kuipokea kitambo sio Hadi unyimwe ndo ujidai huzitaki mbichi hizi[emoji2][emoji2]
Tajiri mwenye masimango ni takataka kabisa hatuna shida naeHahaha tajiri hanuniwi
Our countrySawa, lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuitaja Tanzania specifically?
Mbona EU wanaweka vikwazo lakini pia wanalia na bei za mafutaInatetea uvamizi halafu inalia na athari za uvamizi.