US to Reduce 40% of its aids to countries which did not vote against Russia in UN council , Tanzania inclusive

And those who supported aids will be reduced to 100%

Nilijua tu hili jiwe litakuja kwa nchi zetu maskini ambazo zinajifanya ujuaji., uvamizi wa Russia Ukraine ulipaswa kulaaniwa na nchi zote duniani kama tulivyolaani Marekani kuvamia nchi za kiislamu kama Iraq nk., mauaji hayakubaliki, kujifanya unaweka pamba za masikio kwa sababu ya maslahi upande fulani ni unafiki, siku zote inabidi uwe mkweli utakuweka huru, sasa izo 40% wataleta nani? hao Russia wenyewe nao hoi bintaaban
 
mwenye twitter a/c ndiye aliyefungua uzi jf, atafanyaje apate attention bila kuitaja Tanzania? kimsingi ina fahamika TZ haifungamani na upande wowowte ndio sera yetu.

Wakina kiduku na wengine walipiga kura ya wazi kukataa udhalimu, sisi na wengine kama china hatukuchagua upande maana wote rafiki zetu... urusi akishinda tutamwambia hongera na ukraine pole ndio sera yetu hatubagui...

hao wabaguzi msaada wenye masharti wabaki nao kama kibaraka wao aliyefungua uzi...
Sera ya kutofungamana na upande wowote ni ya kinafik sana mkuu, maana yake ni kwamba kwa sababu unanufaika kote inabidi uwe kimya sasa hii haikubaliki, ni bora kuwa wazi kwa jambo linaloudhi ulikemee tu isijalishe maslahi utakuwa salama
 
sera hii ina ruhusu maliziano na kutafuta suluhu... wala sio ya kinafiki ndugu raia wa ukraine... sisi watanzania tunaipendaa na wala hatuna mpango wa kujiunga NATO kama ndg zako Ukraine
 
Sera ya kutofungamana na upande wowote ni ya kinafik sana mkuu, maana yake ni kwamba kwa sababu unanufaika kote inabidi uwe kimya sasa hii haikubaliki, ni bora kuwa wazi kwa jambo linaloudhi ulikemee tu isijalishe maslahi utakuwa salama
Ni sera nzuri sana kuwa wote muhimu kwangu, kwanini tulazimishane wakati kila nchi ina mambo yake kwenye hii migogoro?
 
sera ya kutokufungamana mkuu maana yake ufumbe macho na kujaza pamba masikioni kw anayekufadhili hata akitenda madhambi kiasi gani
 
Hapana maana yake watu wale wanaogombana kwako wote muhimu, huu ulazima wa kuchagua upande haupo
 
Sema njaa mkuu kwa nini uzunguke mbuyu?, njaa ndio inayofanya huo umuhimu unaouita sasa
 
Nilijua tu hili jiwe litakuja kwa nchi zetu maskini ambazo zinajifanya ujuaji., uvamizi wa Russia Ukraine ulipaswa kulaaniwa na nchi zote duniani kama tulivyolaani Marekani kuvamia nchi za kiislamu kama Iraq nk., mauaji hayakubaliki, kujifanya unaweka pamba za masikio kwa sababu ya maslahi upande fulani ni unafiki, siku zote inabidi uwe mkweli utakuweka huru, sasa izo 40% wataleta nani? hao Russia wenyewe nao hoi bintaaban
Tuoneshe wapi ulilaani uvamizi wa US iraq
 
Njaa vip wakati ni maamuzi ya nchi husika? watu wameamua kuwa neutral kama nchi shida iko wapi? ugomvi wako sio ugomvi wetu maana hata huku kwetu tuna matatizo yetu tuna maliza wenyewe
Hata kutoa msaada na maamuzi ya nchi husika, nchi husika ndo imeamua hivyo.
 
"Haina shida, Super Power Russia atafidia hilo gap". Kupata kichekesho kama hiki bonyeza * Kisha # kitakuwa cha kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom