Urusi imewekewa vikwazo vya kibiasharaWatatupa wao au? Waache ujinga wao mara moja!
Mkuu; mbona naona Kichwa cha Uzi ni kama hakiendani na contents zilizopo kwenye lugha ya Kiingereza? (Samahani lakini) nimeelewa kwamba US amezionya nchi za Africa zisinunue nafaka kutoka Urusi iliyoibwa kutoka Ukraine. Kama ndo hivyo, US yupo sahihi kwa mantiki kwamba sio vema Kununua mali ya wizi. i.e. Watu wa Ukraine wameuawa/wanaendelea kuuawa na mali-Nafaka zao kuporwa kwa nguvu halafu sisi(Africa) tunanunua hiyo nafaka.? Je, Ni sahihi au ni vyema kuunga mkono wizi?Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
========
U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations draw closer to Russia to slow surging food prices and stave off hunger.
The U.S. sent out a warning in mid-May to 14 countries, primarily in Africa, that Russian cargo ships were selling "stolen Ukrainian grain," The New York Times reported Monday. The report comes as humanitarian agencies warn of dire consequences from food supply lines disrupted by the conflict in Ukraine and days after African leaders met with Russian President Vladimir Putin to discuss exporting needed grains.
Putin met on Friday with Macky Sall, president of Senegal and chairman of the African Union, as well as African Union Commission chairperson Moussa Faki Mahamat, at the Russian leader's residence in the Black Sea resort city of Sochi.
After the meeting, Mahamat said on Twitter that the leaders called for the suspension of Western-imposed sanctions on Russia to allow the export of grains he said were needed to mitigate a growing food and energy crisis.
"Russia is ready to ensure the export of its wheat and fertilizer," Sall said in a Tweet, adding that he was willing to meet with Ukrainian President Volodymyr Zelensky as well.
Mali ngapi zinaporwa Africa hadi leo hii? Siera Lione, Hapa TZ kwenye Gesi na Makaa ya Mawe huoni au kwakuwa na wazungu ni sawa??Mkuu; mbona naona Kichwa cha Uzi ni kama hakiendani na contents zilizopo kwenye lugha ya Kiingereza? (Samahani lakini) nimeelewa kwamba US amezionya nchi za Africa zisinunue nafaka kutoka Urusi iliyoibwa kutoka Ukraine. Kama ndo hivyo, US yupo sahihi kwa mantiki kwamba sio vema Kununua mali ya wizi. i.e. Watu wa Ukraine wameuawa/wanaendelea kuuawa na mali-Nafaka zao kuporwa kwa nguvu halafu sisi(Africa) tunanunua hiyo nafaka.? Je, Ni sahihi au ni vyema kuunga mkono wizi?
Kimataifa Africa itaonekana kana kwamba inasema "hilo halituhusu" kitu ambacho mbele ya safari litageuka na kuwa "linatuhusu"
NB: Ipo hoja kwamba Africa tutakufa njaa na blaa-blaa nyingi ili kuhalalisha kununua hiyo nafaka ya Wizi. Hoja hiyo haina mashiko(Kwa mtizamo wangu) kwa sababu hiyo vita sio ya kudumu. Kwa hiyo Uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ungesaidia na kuonesha mshikamano na jumuiya zingine za kimataifa ukizingatia kwamba Africa sio kisiwa - iko siku tutawaendea hao tukiwa na shida na tunahitaji msaada wao. Asante.
Nakaribisha hoja, kukosolewa n.k. ila naomba isiwe matusi na kejeli tafadhali.
Tukifa njaa kwa kukosa chakula cha Urusi ni upumbavu sawa na mwingine wowote.Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine.
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
========
U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations draw closer to Russia to slow surging food prices and stave off hunger.
The U.S. sent out a warning in mid-May to 14 countries, primarily in Africa, that Russian cargo ships were selling "stolen Ukrainian grain," The New York Times reported Monday. The report comes as humanitarian agencies warn of dire consequences from food supply lines disrupted by the conflict in Ukraine and days after African leaders met with Russian President Vladimir Putin to discuss exporting needed grains.
Putin met on Friday with Macky Sall, president of Senegal and chairman of the African Union, as well as African Union Commission chairperson Moussa Faki Mahamat, at the Russian leader's residence in the Black Sea resort city of Sochi.
After the meeting, Mahamat said on Twitter that the leaders called for the suspension of Western-imposed sanctions on Russia to allow the export of grains he said were needed to mitigate a growing food and energy crisis.
"Russia is ready to ensure the export of its wheat and fertilizer," Sall said in a Tweet, adding that he was willing to meet with Ukrainian President Volodymyr Zelensky as well.
Kwani Luna nafaka inayokuja Afrika kutoka Russia yenye lebo "Stolen From Ukraine"?Mkuu; mbona naona Kichwa cha Uzi ni kama hakiendani na contents zilizopo kwenye lugha ya Kiingereza? (Samahani lakini) nimeelewa kwamba US amezionya nchi za Africa zisinunue nafaka kutoka Urusi iliyoibwa kutoka Ukraine. Kama ndo hivyo, US yupo sahihi kwa mantiki kwamba sio vema Kununua mali ya wizi. i.e. Watu wa Ukraine wameuawa/wanaendelea kuuawa na mali-Nafaka zao kuporwa kwa nguvu halafu sisi(Africa) tunanunua hiyo nafaka.? Je, Ni sahihi au ni vyema kuunga mkono wizi?
Kimataifa Africa itaonekana kana kwamba inasema "hilo halituhusu" kitu ambacho mbele ya safari litageuka na kuwa "linatuhusu"
NB: Ipo hoja kwamba Africa tutakufa njaa na blaa-blaa nyingi ili kuhalalisha kununua hiyo nafaka ya Wizi. Hoja hiyo haina mashiko(Kwa mtizamo wangu) kwa sababu hiyo vita sio ya kudumu. Kwa hiyo Uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ungesaidia na kuonesha mshikamano na jumuiya zingine za kimataifa ukizingatia kwamba Africa sio kisiwa - iko siku tutawaendea hao tukiwa na shida na tunahitaji msaada wao. Asante.
Nakaribisha hoja, kukosolewa n.k. ila naomba isiwe matusi na kejeli tafadhali.
Even the us sold stolen Iranian oilHawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
========
U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations draw closer to Russia to slow surging food prices and stave off hunger.
The U.S. sent out a warning in mid-May to 14 countries, primarily in Africa, that Russian cargo ships were selling "stolen Ukrainian grain," The New York Times reported Monday. The report comes as humanitarian agencies warn of dire consequences from food supply lines disrupted by the conflict in Ukraine and days after African leaders met with Russian President Vladimir Putin to discuss exporting needed grains.
Putin met on Friday with Macky Sall, president of Senegal and chairman of the African Union, as well as African Union Commission chairperson Moussa Faki Mahamat, at the Russian leader's residence in the Black Sea resort city of Sochi.
After the meeting, Mahamat said on Twitter that the leaders called for the suspension of Western-imposed sanctions on Russia to allow the export of grains he said were needed to mitigate a growing food and energy crisis.
"Russia is ready to ensure the export of its wheat and fertilizer," Sall said in a Tweet, adding that he was willing to meet with Ukrainian President Volodymyr Zelensky as well.
Wewe unatetea ujinga kabisa sisi wametuibia Sana Mali zetu wewe unatetea chakula cha kwenda chooni haya sawa tuseme ni za wizi kwahiyo tufe na njaa kama Kenya ilihali ngano anayo mrusiMkuu; mbona naona Kichwa cha Uzi ni kama hakiendani na contents zilizopo kwenye lugha ya Kiingereza? (Samahani lakini) nimeelewa kwamba US amezionya nchi za Africa zisinunue nafaka kutoka Urusi iliyoibwa kutoka Ukraine. Kama ndo hivyo, US yupo sahihi kwa mantiki kwamba sio vema Kununua mali ya wizi. i.e. Watu wa Ukraine wameuawa/wanaendelea kuuawa na mali-Nafaka zao kuporwa kwa nguvu halafu sisi(Africa) tunanunua hiyo nafaka.? Je, Ni sahihi au ni vyema kuunga mkono wizi?
Kimataifa Africa itaonekana kana kwamba inasema "hilo halituhusu" kitu ambacho mbele ya safari litageuka na kuwa "linatuhusu"
NB: Ipo hoja kwamba Africa tutakufa njaa na blaa-blaa nyingi ili kuhalalisha kununua hiyo nafaka ya Wizi. Hoja hiyo haina mashiko(Kwa mtizamo wangu) kwa sababu hiyo vita sio ya kudumu. Kwa hiyo Uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ungesaidia na kuonesha mshikamano na jumuiya zingine za kimataifa ukizingatia kwamba Africa sio kisiwa - iko siku tutawaendea hao tukiwa na shida na tunahitaji msaada wao. Asante.
Nakaribisha hoja, kukosolewa n.k. ila naomba isiwe matusi na kejeli tafadhali.
Naam; kwa kuwa hakuna Lebo ya kutofautisha, ni vyema ichukuliwe kwamba yote ni ya wizi. Wahenga walisema Samaki mmoja akioza wameoza wote.Kwani Luna nafaka inayokuja Afrika kutoka Russia yenye lebo "Stolen From Ukraine"?
Kimsingi zaidi ni kipi kinachokuja Afrika kutoka kwao ambacho si cha Wizi?
Ni kina nani wametuibia Mali zetu bro.? Mkuu; ni vyema kuwa na ushahidi wa kile kinachodaiwa kutendeka. Wapo esp. wanasiasa wanasema tumeibiwa lakini ukiwaambia Ok. Haya leta huyo mwizi na ushahidi wa kilichoibwa unakuta hana. Ni maneno kibao na blaablaa nyingi.Wewe unatetea ujinga kabisa sisi wametuibia Sana Mali zetu wewe unatetea chakula cha kwenda chooni haya sawa tuseme ni za wizi kwahiyo tufe na njaa kama Kenya ilihali ngano anayo mrusi
Mkuu ni tamaa na ulafi wa watawala wa kiafrika, nikupe mfano una madini, unaenda kumpigia magoti beberu aje ayachimbe, unamwahidi ofa na ulinzi wa kutosha,Mali ngapi zinaporwa Africa hadi leo hii? Siera Lione, Hapa TZ kwenye Gesi na Makaa ya Mawe huoni au kwakuwa na wazungu ni sawa??
Kwahyo USA ndo wame attach ushahidi wa huo wizi wa ngano? Hivi seriously unahitaji ushahidi wa jinsi waafrika wanavyopigwa kwenye resources zao?Ni kina nani wametuibia Mali zetu bro.? Mkuu; ni vyema kuwa na ushahidi wa kile kinachodaiwa kutendeka. Wapo esp. wanasiasa wanasema tumeibiwa lakini ukiwaambia Ok. Haya leta huyo mwizi na ushahidi wa kilichoibwa unakuta hana. Ni maneno kibao na blaablaa nyingi.
Labda nikuulize, hivi usipokula ngano ya Mrusi ndio utakufa njaa? Huwezi kujiongeza ukaipata hiyo ngano mahali pengine? (kama kweli ngano ya Mrusi ndo dawa ya njaa) e.g. Pale Karatu, Makete n.k.? Je, Chakula ni ngano tu na hiyo ngano lazima itoke kwa Mrusi?
Hebu bro. kumbuka (Tumeshasahau aisee) ni hapa juzi kati tu tulitikiswa na COVID-19 na chap-chap tukawaendea. Leo hao-hao wanakushauri (Hawajalazimisha) wewe unasema kwamba utakufa na njaa kama Kenya.
Wawape ARVs kwa ajili ya ujinga wenu, wawape na chakula?Watatupa wao au? Waache ujinga wao mara moja!
Mkuu, mbona hakuna mali zinaporwa Africa? Jamani, tuache siasa na tuwe wakweli na waaminifu kwa kauli zetu. Je, kama unajua na kufahamu fika kwamba unaibiwa/unaporwa kwa nini uendelee na hilo dili? ni nini kinakuzuia au kukunyima usiache? Kama unaridhika, unakubali kwa moyo wako na unatia saini makubaliano huku ukijua kwamba "Unapigwa" sijui tukupe jina gani manake ni zaidi ya punguani na ukichaa. Hizo Mali hazijakuwepo leo June 2022. Zipo kwa karne na karne. Hatukuweza kuzitumia kutokana na ukosefu wa Technolojia. Tumeshindwa kusubiri hadi tuweze kuwa na teknolojia Toshelevu, tuna kurupuka na Mikataba isiyoeleweka kana kwamba tusipozitumia Leo hizo mali tutakuwa tumepoteza sana. OK. Halafu "tunapigwa" tunalalamika "tunaporwa" mali zetu. Ni bora tungesema "Watu wetu tulioaamini na kuwapa mamlaka wametugeuka na "Wanatupiga" sana na kupora Mali zetu.Mali ngapi zinaporwa Africa hadi leo hii? Siera Lione, Hapa TZ kwenye Gesi na Makaa ya Mawe huoni au kwakuwa na wazungu ni sawa??
Hii movement ya kutaka kujikomboa alijaribu kuianzisha JPM wakamla kichwa.Hii inatufundisha kuwa ukiwa tegemezi sana maisha yako yanakuwa ni ya tabu na yakudharauliwa
Ni mali kiasi gani za Russia zimezuiliwa na mataifa ya magharibi kwa lugha "kutaifishwa" huu we huuoni kama ni wizi? Meli ya mafuta ya Irani ilitekwa na USA mafuta yakauzwa Ulaya huu pia sio wizi yaani dhulma yoyote inayofanywa na wamagharibi tunatafuta lugha ya kuipamba na kuona wanasaidia wanyonge? Mkuu tunatofautiana mitazamo. Mi nawaon ni wezi tu kama wengine.Mkuu, mbona hakuna mali zinaporwa Africa? Jamani, tuache siasa na tuwe wakweli na waaminifu kwa kauli zetu. Je, kama unajua na kufahamu fika kwamba unaibiwa/unaporwa kwa nini uendelee na hilo dili? ni nini kinakuzuia au kukunyima usiache? Kama unaridhika, unakubali kwa moyo wako na unatia saini makubaliano huku ukijua kwamba "Unapigwa" sijui tukupe jina gani manake ni zaidi ya punguani na ukichaa. Hizo Mali hazijakuwepo leo June 2022. Zipo kwa karne na karne. Hatukuweza kuzitumia kutokana na ukosefu wa Technolojia. Tumeshindwa kusubiri hadi tuweze kuwa na teknolojia Toshelevu, tuna kurupuka na Mikataba isiyoeleweka kana kwamba tusipozitumia Leo hizo mali tutakuwa tumepoteza sana. OK. Halafu "tunapigwa" tunalalamika "tunaporwa" mali zetu. Ni bora tungesema "Watu wetu tulioaamini na kuwapa mamlaka wametugeuka na "Wanatupiga" sana na kupora Mali zetu.
Wizi/Uporaji kwenye hiyo vita umeripotiwa sana sema tu labda kama hutaki kukubali kwamba kuna "Looting" sio nafaka tu bali na vitu vingine vingi.Kwahyo USA ndo wame attach ushahidi wa huo wizi wa ngano? Hivi seriously unahitaji ushahidi wa jinsi waafrika wanavyopigwa kwenye resources zao?
Mikataba ya Kilaghai ni wizi tu unaohalalishwa na wakubwaNi kina nani wametuibia Mali zetu bro.? Mkuu; ni vyema kuwa na ushahidi wa kile kinachodaiwa kutendeka. Wapo esp. wanasiasa wanasema tumeibiwa lakini ukiwaambia Ok. Haya leta huyo mwizi na ushahidi wa kilichoibwa unakuta hana. Ni maneno kibao na blaablaa nyingi.