US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

Yet, kuna wanasiasa wa Afrika wasiotathmini sawa sawa trends (mitindo? mwelekeo?) hapa duniani. Wao ikitajwa Marekani tu wanajiharishia surualini na wanataka kufanya kila amri. Maskini hawajui nchi hiyo inaelekea kukosa taji la kuwa nchi tajiri zaidi na yenye nguvu zaidi duniani, na kuelekea kwenye dimbwi la nchi za Ulimwengu wa tatu! In fact, maeneo kadhaa ya Marekani ni third world.
Nchi ambayo export yake ni silaha na kuchapisha dola. Hata ufundi wa kuunda ndege inanyang'anywa katika miaka si zaidi ya kumi. Pia semi-conductors, Mchina yupo kooni kabisaaa.
Usinifahamu vibaya. Ningependa sana Marekani iwe ndiyo inayoongoza dunia, kuliko Urusi, China na hata India. Marekani ina watu wazuri sana, waelimika, wenye dini (kwa maana tabia zlizo karibu na zile zilizohimizwa na dini). Lakini, hell, sijui viongozi wao wanawatoa wapi. Kila mmoja wao yuko busy kuifukarisha nchi yake hadi kipindi chake kimalizike achukue mwingine!
Hii Sasa gahawa
 
Wapumbavu kweli, wao mbona Wazungu wenzao wananunua gesi kupitia bomba la gesi? Waache wao kwanza kununua gesi
 
Kama wamemshindwa mrusi waseme tu wasituletee visebusebu vyao
 
Mi mzee wangu alikuwa na mashamba makubwa tu west kilimanjaro ya ngano. Yule kiongoz mkuu wa malaika kaja kumnyang'anya halafu yamebaki mapori kesi ipo mahakaman.
Sijasema hakuna sehemu ambapo zinaweza kulimwa, ila ni chache ukilinganisha na mchele, mahindi na mihogo, hivyo ngano lazima tuagize
 
pamoja na ardhi yote hii bado nafaka zinanunuliwa nje. Hili bara lina laana sio bure
 
Kwa nini waseme hiyo ngano imeibiwa ukraine wakati urusi yenyewe ni wazalishaji na exporter wakubwa wa ngano duniani. Hii figisu itafanywa hadi kwenye mafuta na gesi ya urusi, maana wamepanga kususia kuinunua. Lakini kimsingi urusi anao uwezo wa kutafuta masoko mbadala hususan Afrika na Asia lakini hili jambo wazungu hawatalitaka na watatafuta kufanya fitina ili mradi wamkomeshe. Afrika ifike mahali tusimamie maslahi yetu badala ya kupelekwa pelekwa tu kama ng'ombe.​
Putin kasema nchi za magharibi zinawategemea kwa mafuta na gas
 
Usa wangeanza kuyakataza baadhi yq mataifa ya ulaya yanayoendelea kununua gesi ya russia yena mengine yamediriki kununua kwa kutumia pesa ya kirusi (rubble)kama anavyotaka russia
Thubutuuu! Putin Ni jeuri sana na juzi kasema nchi za magharibi zinamtegemea kwa mafuta na gas na kwa kulitambua hilo ndo maana mafuta na gas vinanunuliwa kwa pesa ya Urusi tofauti na mwanzo
 
Urusi imewekewa vikwazo vya kibiashara
Sasa wewe kama mjanja nenda kanunue chochote cha mrusi uone moto wa mmarekani na nchi za Magharibi
Sawa, Urusi naye baada ya kuwekewa vikwazo na yeye akasema mafuta yake na gas mnunue kwa pesa yake alafu USA anaongoza kwa kununua mafuta!
 
Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
========

U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations draw closer to Russia to slow surging food prices and stave off hunger.

The U.S. sent out a warning in mid-May to 14 countries, primarily in Africa, that Russian cargo ships were selling "stolen Ukrainian grain," The New York Times reported Monday. The report comes as humanitarian agencies warn of dire consequences from food supply lines disrupted by the conflict in Ukraine and days after African leaders met with Russian President Vladimir Putin to discuss exporting needed grains.

Putin met on Friday with Macky Sall, president of Senegal and chairman of the African Union, as well as African Union Commission chairperson Moussa Faki Mahamat, at the Russian leader's residence in the Black Sea resort city of Sochi.

After the meeting, Mahamat said on Twitter that the leaders called for the suspension of Western-imposed sanctions on Russia to allow the export of grains he said were needed to mitigate a growing food and energy crisis.

"Russia is ready to ensure the export of its wheat and fertilizer," Sall said in a Tweet, adding that he was willing to meet with Ukrainian President Volodymyr Zelensky as well.
Waache ujinga . Watatulisha wao? Watuletee chakula kwa bei nafuu sana kama wanatupenda.. swine !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Russia imeiba mahindi ya Ukr afu ndio mnataka kununua?

Sasa tuone Nchi itakayokiuka onto la America kama Russia atamsaidia aliwekewa vikwazo..

Muache kulima afu mnasema mfe njaa?
Ndugu mbona wew rasilimali zako zinaibiwa na wazungu na Bado tunanunus end product
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-095108.png
    Screenshot_20220611-095108.png
    227.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220611-094953.png
    Screenshot_20220611-094953.png
    164.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom