US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

Hii Sasa gahawa
 
Wapumbavu kweli, wao mbona Wazungu wenzao wananunua gesi kupitia bomba la gesi? Waache wao kwanza kununua gesi
 
Kama wamemshindwa mrusi waseme tu wasituletee visebusebu vyao
 
Mi mzee wangu alikuwa na mashamba makubwa tu west kilimanjaro ya ngano. Yule kiongoz mkuu wa malaika kaja kumnyang'anya halafu yamebaki mapori kesi ipo mahakaman.
Sijasema hakuna sehemu ambapo zinaweza kulimwa, ila ni chache ukilinganisha na mchele, mahindi na mihogo, hivyo ngano lazima tuagize
 
pamoja na ardhi yote hii bado nafaka zinanunuliwa nje. Hili bara lina laana sio bure
 
Putin kasema nchi za magharibi zinawategemea kwa mafuta na gas
 
Usa wangeanza kuyakataza baadhi yq mataifa ya ulaya yanayoendelea kununua gesi ya russia yena mengine yamediriki kununua kwa kutumia pesa ya kirusi (rubble)kama anavyotaka russia
Thubutuuu! Putin Ni jeuri sana na juzi kasema nchi za magharibi zinamtegemea kwa mafuta na gas na kwa kulitambua hilo ndo maana mafuta na gas vinanunuliwa kwa pesa ya Urusi tofauti na mwanzo
 
Urusi imewekewa vikwazo vya kibiashara
Sasa wewe kama mjanja nenda kanunue chochote cha mrusi uone moto wa mmarekani na nchi za Magharibi
Sawa, Urusi naye baada ya kuwekewa vikwazo na yeye akasema mafuta yake na gas mnunue kwa pesa yake alafu USA anaongoza kwa kununua mafuta!
 
Waache ujinga . Watatulisha wao? Watuletee chakula kwa bei nafuu sana kama wanatupenda.. swine !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

Russia imeiba mahindi ya Ukr afu ndio mnataka kununua?

Sasa tuone Nchi itakayokiuka onto la America kama Russia atamsaidia aliwekewa vikwazo..

Muache kulima afu mnasema mfe njaa?
Ndugu mbona wew rasilimali zako zinaibiwa na wazungu na Bado tunanunus end product
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-095108.png
    227.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220611-094953.png
    164.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…