Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Sorry mkuu nilinote vibaya As of 2023 ni $840 billion hiyo source ya kwanza ilini mislead.... So tuseme huwa US anaspend trillion 2.19 za Kitanzaniamkuu dola trilion 29 ni bajet ya kijeshi ya US kwa miaka mingapi?
maana bajet yao nzima huwa haizidi tr 7