USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

mkuu dola trilion 29 ni bajet ya kijeshi ya US kwa miaka mingapi?
maana bajet yao nzima huwa haizidi tr 7
Sorry mkuu nilinote vibaya As of 2023 ni $840 billion hiyo source ya kwanza ilini mislead.... So tuseme huwa US anaspend trillion 2.19 za Kitanzania
 
Mleta uzi; twende taratibu usiwe na HARAKA. Tutajie vita walau 2 unazo zifahamu ambazo USA alipigana na akashinda akiwa pekee yake halafu sisi tutaku orodheshea idadi ya vita alizopigana akiwa kafanya collabo ya nchi hadi 29 kwa nchi moja.
 
Labda nikuulize mleta mada,unafikiri ni kwa nini dunia ya sasa mataifa yanatafuta allies (washirika) akiwemo huyo usa?
 
Asante sana amiri jeshi msaidizi wa marekani kwa taarifa hii muhimu🤣🤣🤣
 
Ward 41 you fucked Up
 
Watu wengine bwana, yaani wanawachukulia USA kama Miungu fulani hivi.
1. Israel na USA wana uhusiano wa karibu sana. Kwa nini mpaka leo Israel hajawamaliza Hamas?
2. Kwa nini mpaka leo hajafaulu kuwamaliza Wahouth, North Korea.
Kwa kifupi, USA si Miungu wala Mbinguni. Wanaweza kupigwa tena vizuri kabisa mpaka Dunia haiwezi kuamini.
 
Hujui lolote,na hujui unachokiongea,zungumza Kwa takwimu unapoongea kikubwa sio porojo za kitoto
 
Akili ya kuku
 
Mpùmbavu mmoja tu hyo ameletewa Sofia ya US na sĥemegi yake sasa anapanda kichwan mm nilipomuona mjinga pale alipo classify US kivita sijui kisilaha sijui kinini we mjinga tu
 
miaka 5 ijayo USA ataporomoka kiuchumi na nafasi yake itakuwa imechukuliwa na china
kuna pigo watalipata na ndio chanzo cha kuondoka katika kilele cha kiuchumi duniani..
haya ni mambo ya unabii tu, sio lazima ukubali
 
Wamarekani washenzi sana, wao ndio wenye dola wanachokifanya ni ku print hizo dola kisha mnapewa watanzania mnaambiwa msaada, mara dola hizohizo zaku print zinaenda Ukraine, mara zinaenda Israel, mara wapi sijui....
Kwani Tanzania si mna shilingi zenu? Kwani mmekatazwa ku print hela zenu? Si ni nyie huwa mnamuagiza vendor wenu ku print kulingana na mahitaji yenu?
Nigeria, Morocco, Kenya, Algeria, South Africa, Congo DRC, Egypt, Sudan, na Zimbabwe hawa wote zote wana print pesa zao wenyewe, unaziongeleaje?
Au wewe unafikiri China, India, German, na Urusi hela zao zina printiwa na US? Au mmekariri tu lakini somo hili kiukweli hamlijui wala hamliwezi?
 
Usijitie unyonge, hawana lolote hao, Taliban waliwatimua wakaondoka bila kutazama nyumba. Vietnam ndio ilikua aibu walivyokua wanakimbia kutoka Saigon
Hata kiuchumi hawako imara, deni la serikali mpaka utosini, kila mwaka Kuna mjadala mkali wa kufungwa serikali sababu hakuna bajeti au waidhinishe wakope zaidi.
Raia waishiyo mtaani kwenye maboxi huwezi amini hii ni Amerika,
 
Ajabu umepata likes hapo ndio napokubali watanzania kwa kupenda vituko
 
Ma brain washed Muslims ndio wanaongoza kumchukia MMAREKANI huku yana click nyuma ya Key board za MACK BOOK,Iphone na Samsung
Samsung mmarekani!?
Au siku hizi Korea imekua Marekani!?
Pia hiyo ni biashara hizo key board hatukupewa msaada kijana.
Hata huyo USA ana resources za waislam anazitumia ila amenunua mathalan mafuta ya petroli.
 
Kujua kitu sio kufahamu kitu... Logically marekani ana matatizo kibao nchini kwake, homeless wa marekani ni wengi, marekani inapata wapi hela za bure zakusaidia taifa lingine, wakati wananchi wake wanashida? Kwanini hizo hela asigawe nazo free meal kwa homeless?
 
Ata Marekani hataki Russia awe na washirika karibu na mipaka yake na haya yalitokea mwaka 1962 baada ya USSR kuwa na mahusuano makubwa na Cuba kiasi cha kuweka siraha zake maribu.

Au jiulize unahisi kwanini mpaka leo Cuba kawekewa vikwaza kibao na Marekani?

 
Wamarekani washenzi sana, wao ndio wenye dola wanachokifanya ni ku print hizo dola kisha mnapewa watanzania mnaambiwa msaada, mara dola hizohizo zaku print zinaenda Ukraine, mara zinaenda Israel, mara wapi sijui....
Hapa umetumia kamasi kuwaza
 
Kwani ina maajabu gani hiyo cuba missiles crisis? Hivi unajuwa kwamba baada ya ile crisis ikaja kugundulika kwamba USA alishaweka kitambo makombora poland yakielekea moscow? Na moja ya makubaliano ilikuwa naye ayaondoe hayo makombora
Haikuwa Poland banah! 1962 Poland yenyewe ilikuwa sehemu ya USSR ila makombora ya Nuke ya US yalikuwa Itary na Ururuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…