USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

Ukisikia mtu mzima kula kulala ndo huyu
 
utoto raha sana!
hivi kweli unalinganisha uchumi wa califonia na Russia? kweli una akili wewe?

btw, Amerika amewahi kupigana na nani vita halisi? lini?
watu wanaosema Russia ni hatari wanaongea kwa ushahidi unaoonekana, Russia vita yamekua ndio maisha yao....they have experience and know how...!

anyway, utakuja kusema hata China ni mbabe kivita!
 
Unaweza kukuta kijijini kwenu we ndio tegemeo lao
 
kasome Cuba Missiles Crisis ndio urudi,.....
yani nyie watoto mnaropoka tu humu ndani siku hizi, sijui mna miaka mingapi....
 
Hujui historia halafu pia hujanielewa
Hizo zote ni proxy wars tu ndo maana China na soviet huko vietnam walikuwepo pia
Japani alianza vizuri mwanzoni sababu USA aliconcentrate kumshinda Hitler ulaya
Unajua kilichotokea kwa japan baada ya German kusurrender?

Yaani hata kabla hajapiga nukes majeshi ya US yalikuwa karibu na coast za japanese mainland aliona anacheleweshwa ndo akawalazimisha kusurrender na nukes
 
Naona unazunguka sana mboyoyo nyingi sana.
Kwahiyo proxy war haiwezi kuonesha nguvu ya taifa husika!?
Kwa akili zako USA angepigana na China directly angeshinda tofauti na alivyopigana nae katika proxywar nyuma ya S.Korea!?
Akili za KIJINGA hizi.
 
😂😂😂 Ulishwahi kusikia kitu kinaitwa "tsar bomba" au father of all bombs? Kuna watu wanamiliki teknolojia hiyo.... Kiufupi Russia na marekani wanachukiana kwa ajili ya uwezo wa kiteknolojia, HAKUNA kitu USA anacho afu Russia Hana,ila wanazidiana kwa idadi ya vitu hivyo , hawA watu pia wanategemeana Sana kwenye masuala ya anga za mbali,kila mmoja kwa uwezo wake.
 
Lengo la USA kwenye vita ulivyovitaja katika nchi moja moja ilikuwa ni nini? Labda ndiyo utaelewa somo!
 
Mfumo wetu wa elimu hauruhusu hayo mambo unayoyataka. Laumu serikali lakini mleta mada utamwonea bure tu!

Ukitaka hayo unayoyataka labda uanzishe mada ya Simba na Yanga; au Kondeboi vs. Kajala...na masingo maza. Hapo tuna kila aina ya data! 😁
 
Kwenye conventional warfare hakuna nchi wa kuikaribia USA ila tatizo ni kwamba vita vikubwa vitakavyopiganwa na mataifa makubwa kwa sasa lazima mmojawapo aturusha nuclear tu na hapo ndipo itakuwa maangamizi kwa wote.
 
kasome Cuba Missiles Crisis ndio urudi,.....
yani nyie watoto mnaropoka tu humu ndani siku hizi, sijui mna miaka mingapi....
Kwani ina maajabu gani hiyo cuba missiles crisis? Hivi unajuwa kwamba baada ya ile crisis ikaja kugundulika kwamba USA alishaweka kitambo makombora poland yakielekea moscow? Na moja ya makubaliano ilikuwa naye ayaondoe hayo makombora
 

USA uwezo huo hana na ndio maana hakuna vita yoyote aliyewahi kusimama peke yake
 
Hizo ni media za magharibi.. ila ukweli ni kwamba Marekani sio mwenye nguvu kibiashara na kijeshi. Operation zake nying za kivita zimefeli sana... halafu kumbuka kuna Mangolia walitawala duniani lakini wakapoteana, UK nao walikuwa wana nguvu duniani na wakapotea. Hata USA pia anaweza atapoteza ushawishi wake duniani.
 
Naona unazunguka sana mboyoyo nyingi sana.
Kwahiyo proxy war haiwezi kuonesha nguvu ya taifa husika!?
Kwa akili zako USA angepigana na China directly angeshinda tofauti na alivyopigana nae katika proxywar nyuma ya S.Korea!?
Akili za KIJINGA hizi.
Na ndo tabia yako kutukana ila kichwani unajua vitu vichache Sana

Unajua proxy wars ngapi alipigana Hittler lakini hakuna iliyoreflect uwezo wake mpaka alipoingia vitani ? Na ndo maana Britain alideclare war haraka dhidi ya German ilipoivamia Poland baada ya wiki mbili wakarealise wameingia cha kike ni jamaa ana miguvu hatari
 
Nina fahamu mengi ila hapa naongea na mzungukaji tu ambaye ni much know.
-USA kule Somalia walishindwa na walipoteza askari wengi sana na haikuwa Proxy war.
-USA imejaribu kuvamia Iran moja ya majaribio ni 2013,2018 na wakashindwa NAVY SEAL wao wameishia kukamatwa tu.
-USA imeshindwa kukomesha mashambulizi hapo Red sea baab al mandib wakiwa na Manowari zao wenyewe za kivita ila Houthi wanawakula vichwa.
We zunguka unapozunguka ila USA hawezi pigana bila collabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…