Na bora apigane na Russia kuliko China.USA akisimama na China hatoboi akisimama na Russia, ameisha!
UNAZUNGUMZIA DUNIA NZIMA!!! 😂😂
China ioneni vile vile ila ni cold poison.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bora apigane na Russia kuliko China.USA akisimama na China hatoboi akisimama na Russia, ameisha!
UNAZUNGUMZIA DUNIA NZIMA!!! 😂😂
Mwandishi wa Newsweek Magazine la Marekani aitwaye Fareed Zakaria aliwahi kusema kwamba Marekani ana uwezo wa kupigana na nchi zote za Ulaya zikija pamoja na Marekani ikashinda. Pia akaongeza kwamba Marekani can fight in five different fronts and win!Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b) technology
c) silaha
d) Vita
e) Biashara
Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja.
Kama ingetokea kwamba dunia nzima tukapigana na USA, bado jamaa watashinda hiyo Vita.
USA kwenye full scale war, hana mpinzani. Jeshi lake liko kila Kona ya dunia. Wana silaha za kisasa na wako vizuri Sana kwenye innovation
Uchumi wao ni mkubwa mno, USA anaweza kupigana full scale war kwa muda mrefu bila kuteteleka.
Nawashangaa Sana watu wanaosema Russia Ina uwezo mkubwa kuliko USA. Najiuliza ni mahaba au kweli wanamaanisha.
Uwezo wa USA dhidi ya Russia ni mkubwa mno.
Mfano mmoja ni huu, uchumi wa California ni mkubwa kuliko uchumi wa Russia Kama taifa. Uchumi wa Russia ni 2 trillion USA GDP. Uchumi wa USA ni almost 29 trillion USD. Russia anawezaji kupigana na taifa lenye nguvu kiasi hicho?
Wengine wanasema Russia ana nuclear bombs, Swali, Nani aligundua nuclear. Nani amewahi kutumia nuclear weapons?
Putin anajuwa Sana uwezo wa ki nuclear wa USA. Anajua vizuri kwamba akitumia nuclear tu, utakuwa ndio mwisho wake
Vitu vingine tuache mahaba. Tujifunze ya mwaka Jana ya Nancy Pelosi. Tulipata jibu sahihi
Unauliza maswali ya miaka 250 halafu unajijibu kwa majibu ya miaka 50.Hebu tuache porojo.. ni vita gani ambayo amewahi kupigana peke yake akaishinda.
Vita ya Vietnam alipigwa hadi akajiondoa, Afghanistani aliwakuta taliban na kawaacha yani sawa ameshindwa, pale Iraq alikuwa na collabo.
Sasa unaweza kusemaje akisimama na dunia nzima atashinda au movie zinakuchanganya mzee?
Hakuna vita Marekani anapigana na Yemen,
Kwenye masuala ya kijeshi makosa ya zamani huwa yanatumika kama reference hadi leo. Ndio Black Hawk down iliwafundisha wa Marekani na majeshi yote duniani kuwa mashambulizi ya juu ya helcopter mara zote yanabidi yasaidiwe na wanajeshi walioko chini hasa kwenye rescue mission.Unauliza maswali ya miaka 250 halafu unajijibu kwa majibu ya miaka 50.
Empires/Superpowers zote kubwa duniani huwa zinatawala kwa kushirikiana na vassal states na kupitia alliances. Mataifa madogo ndio huwa yanapigana vita peke yake. Wamarekani hawapendi kabisa watu wao wafe vitani hata kama watashinda hivyo vita.
Bajeti ya ulinzi ya Marekani ni dola bilion 820, hizi sio stori za vijiwe vya kahawa, ni real business.Mm nilipo fungua Uzi nikajua labda utatuelezea na kudadavua kinaga ubaga nguvu aliyo nayo USA kitakwimu mitambo aliyo nayo kama vile ndege za kivita, manoari, aircraCarriers compare to the rest of the world. Kumbe ni stori za kwenye vijiwe vya kahawa ?.
Ona takwimu, yani zaidi ya watu wake milion 3 walihusika katika vita hiyo halafu useme kwamba US hakupigana kwenye hivyo vita.Kwanza hakuna vita ya vietnam na USA ila nachojua kuna vita kati ya south vietnam vs North vietnam huku USA na China Kama belligerent states tu. Kwanza nisijekuwa najichosha bure ulishawahi kufuatilia chanzo chake? Na iliishaje ishaje
Vita vya Vietnam hawakushindwa, waliamua kuachana na vita kwa sababu za kisiasa, halafu Marekani ya miaka ya 70 ni tofauti sana na hii ya leo.Mifano ya marekani kushindwa vita mbona ipo mingi sana mkuu. Vietnam na Cambodia walishindwa , Afghanistan wameshindwa Somalia hapo jirani zetu operation Black hawk down walichinjwa kama njiwa miili ilitapakaa Mogadishu mpaka leo marekani hajawahi kukanyaga Somalia. Mifano ni mingi sijui unazungumzia vita gani
Tufanye hivi umeshinda 😆🙌Nina fahamu mengi ila hapa naongea na mzungukaji tu ambaye ni much know.
-USA kule Somalia walishindwa na walipoteza askari wengi sana na haikuwa Proxy war.
-USA imejaribu kuvamia Iran moja ya majaribio ni 2013,2018 na wakashindwa NAVY SEAL wao wameishia kukamatwa tu.
-USA imeshindwa kukomesha mashambulizi hapo Red sea baab al mandib wakiwa na Manowari zao wenyewe za kivita ila Houthi wanawakula vichwa.
We zunguka unapozunguka ila USA hawezi pigana bila collabo.
Umeelewa nilichosema? Au unadandia tren kwa mbele? Nimesema officialy hii ilikuwa ni north vietnam vs south vietnam, Russia, China na USA ni washirika ila uhusika wa Usa ndo ulivuta watu kufuatilia vita hiyo unajua kwa nini? ni nchi inayoogopwaOna takwimu, yani zaidi ya watu wake milion 3 walihusika katika vita hiyo halafu useme kwamba US hakupigana kwenye hivyo vita.
View attachment 3010835
Hivi aliyeiokoa China dhidi ya ubabe wa Japan ni nani?Na bora apigane na Russia kuliko China.
China ioneni vile vile ila ni cold poison.
Utoto raha SanaKuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b) technology
c) silaha
d) Vita
e) Biashara
Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja.
Kama ingetokea kwamba dunia nzima tukapigana na USA, bado jamaa watashinda hiyo Vita.
USA kwenye full scale war, hana mpinzani. Jeshi lake liko kila Kona ya dunia. Wana silaha za kisasa na wako vizuri Sana kwenye innovation
Uchumi wao ni mkubwa mno, USA anaweza kupigana full scale war kwa muda mrefu bila kuteteleka.
Nawashangaa Sana watu wanaosema Russia Ina uwezo mkubwa kuliko USA. Najiuliza ni mahaba au kweli wanamaanisha.
Uwezo wa USA dhidi ya Russia ni mkubwa mno.
Mfano mmoja ni huu, uchumi wa California ni mkubwa kuliko uchumi wa Russia Kama taifa. Uchumi wa Russia ni 2 trillion USA GDP. Uchumi wa USA ni almost 29 trillion USD. Russia anawezaji kupigana na taifa lenye nguvu kiasi hicho?
Wengine wanasema Russia ana nuclear bombs, Swali, Nani aligundua nuclear. Nani amewahi kutumia nuclear weapons?
Putin anajuwa Sana uwezo wa ki nuclear wa USA. Anajua vizuri kwamba akitumia nuclear tu, utakuwa ndio mwisho wake
Vitu vingine tuache mahaba. Tujifunze ya mwaka Jana ya Nancy Pelosi. Tulipata jibu sahihi
Kuna watu hapa walifikia hatua ya kusema Iran anaweza kumpiga USA, mimi nawashangaaga sana sijuwi wanawazaga niniKuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b) technology
c) silaha
d) Vita
e) Biashara
Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja.
Kama ingetokea kwamba dunia nzima tukapigana na USA, bado jamaa watashinda hiyo Vita.
USA kwenye full scale war, hana mpinzani. Jeshi lake liko kila Kona ya dunia. Wana silaha za kisasa na wako vizuri Sana kwenye innovation
Uchumi wao ni mkubwa mno, USA anaweza kupigana full scale war kwa muda mrefu bila kuteteleka.
Nawashangaa Sana watu wanaosema Russia Ina uwezo mkubwa kuliko USA. Najiuliza ni mahaba au kweli wanamaanisha.
Uwezo wa USA dhidi ya Russia ni mkubwa mno.
Mfano mmoja ni huu, uchumi wa California ni mkubwa kuliko uchumi wa Russia Kama taifa. Uchumi wa Russia ni 2 trillion USA GDP. Uchumi wa USA ni almost 29 trillion USD. Russia anawezaji kupigana na taifa lenye nguvu kiasi hicho?
Wengine wanasema Russia ana nuclear bombs, Swali, Nani aligundua nuclear. Nani amewahi kutumia nuclear weapons?
Putin anajuwa Sana uwezo wa ki nuclear wa USA. Anajua vizuri kwamba akitumia nuclear tu, utakuwa ndio mwisho wake
Vitu vingine tuache mahaba. Tujifunze ya mwaka Jana ya Nancy Pelosi. Tulipata jibu sahihi
Sasa ndipo hapo mjue, kama South ilisaidiwa na nchi tatu na bado US akashindwa na hizo nchi tatu zilizomsaidia North hadi akatoa majeshi yake, ndipo sasa aweze pigana na dunia nzima ashinde.Umeelewa nilichosema? Au unadandia tren kwa mbele? Nimesema officialy hii ilikuwa ni north vietnam vs south vietnam, Russia, China na USA ni washirika ila uhusika wa Usa ndo ulivuta watu kufuatilia vita hiyo unajua kwa nini? ni nchi inayoogopwa
Kuhusu kushindwa au kusitisha vita hivyo ni jambo lingine maana kuna mengi nyuma ya pazia.
Ndiyo maana wanasiasa wa marekani wengi iliwagharimu vibaya pale walipotaka kujitoa mpaka pale umma ulipoanza kupiga kelele.
US hakushindwa vita katika uwanja wa vita bali aliamua kuachana na hivyo vita baada ya upinzani mkali wa hivyo vita nyumbani kutoka kwa raia ambao walikuwa hawaoni maslahi yoyote kwao kuongezeka.Sasa ndipo hapo mjue, kama South ilisaidiwa na nchi tatu na bado US akashindwa na hizo nchi tatu zilizomsaidia North hadi akatoa majeshi yake, ndipo sasa aweze pigana na dunia nzima ashinde.
Mind you wakati huo alikuwa ana teknolojia kubwa ambazo nchi nyingine hawakuwa nazo kwa wakati huo kitu ambacho ni tofauti kwa sasa.
Mfano wakati wa vita vya Iraq watu walikuwa wanashangaa drones ambazo zinakuwa operated kwenye military base remotely, now hata turkey anayazalisha tu na kuyauza.
Walijiokoa wenyewe.Hivi aliyeiokoa China dhidi ya ubabe wa Japan ni nani?
Au unaongelea China iliyoshushwa toka mbinguni?
Kwa mfano angetumia nukes? Hapo ungesemaje angeshindwa tena? Kwa hiyo si kweli kwamba alitumia uwezo wake wote.Sasa ndipo hapo mjue, kama South ilisaidiwa na nchi tatu na bado US akashindwa na hizo nchi tatu zilizomsaidia North hadi akatoa majeshi yake, ndipo sasa aweze pigana na dunia nzima ashinde.