Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unafikiri kuwa na military bases all over the world ndo kushinda vita???Watu wanakata tu hiyo supply chain..wanakuwa kama visiwa....Uliza kilichowapata Wajerumani- walikuwa na vikosi mpaka Africa kaskazini pale, Greece n.k baada ya vita kuibuka vyote hivyo ni kuwa blocked tu....Watu wanaakili ndogo hawajui maana ya vita na mapambano dhidi ya kikundi fulani.
Kwa mfano USA angekuwa ametangaza vita kamili dhidi ya vietnam tungekuwa tunaongeea kitu kingine.
Kvp? Kwenye vita kamili haki za binadamu,sijui huyu ni mwanajeshi huyu sio hamnaga wanachang'anywa wote.
Ni hivyo hivyo kwa Russia akiamua kupiga ukraine bila kujali sijui raia nakadhalika hata bakiza kitu.
Tuje upande wa US vs Russia hapa ni mbingu na ardhi!
Hitler tu na jeshi lake ambalo halikuwa na branches wala nn liliimidi vita miaka 6?
Mwenye akili ajiulize je? Vp US wenye military bases all over the world?
Siitakuwa balaa plus uchumi plus well intergrated intelligence agencies.
Kwanza hakuna vita ya vietnam na USA ila nachojua kuna vita kati ya south vietnam vs North vietnam huku USA na China Kama belligerent states tu. Kwanza nisijekuwa najichosha bure ulishawahi kufuatilia chanzo chake? Na iliishaje ishajeVita ya USA na Vietnam ilikuwa vita kamili kabisa....hata vita ya Sasa ya Urusi na Ukraine ni vita kamili.
Lakini kumbuka US alipeleka troops pale akaweka kambi yani alishiriki hiyo vita moja kwa moja na kwa kuipiga mabomu North Vietnam. Yani ile vita ilikuwa yake alishiriki moja kwa moja na bado ikamshinda akaondoka. Hadi Senator John McCain alikamatwa na kushikiliwa mateka akiwa kama mwanajeshi katika vita hii.Kwanza hakuna vita ya vietnam na USA ila nachojua kuna vita kati ya south vietnam vs North vietnam huku USA na China Kama belligerent states tu. Kwanza nisijekuwa najichosha bure ulishawahi kufuatilia chanzo chake? Na iliishaje ishaje
Jisemee mwenyewe. Sio kila mtu. Mimi sina hizo ndoto hata kutembelea tu.Umenikumbusha mabishano ya utotoni; Ronaldo (R9) peke yake akicheza na taifa stars anashinda 😅
Anyway, kila mtu duniani ndoto yake ni kufika nchi ya maziwa na asali- USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲. Marais wa Ulaya wenyewe wanacheza green card lottery.
Imebidi niangalie joined when.Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b) technology
c) silaha
d) Vita
e) Biashara
Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja.
Kama ingetokea kwamba dunia nzima tukapigana na USA, bado jamaa watashinda hiyo Vita.
USA kwenye full scale war, hana mpinzani. Jeshi lake liko kila Kona ya dunia. Wana silaha za kisasa na wako vizuri Sana kwenye innovation
Uchumi wao ni mkubwa mno, USA anaweza kupigana full scale war kwa muda mrefu bila kuteteleka.
Nawashangaa Sana watu wanaosema Russia Ina uwezo mkubwa kuliko USA. Najiuliza ni mahaba au kweli wanamaanisha.
Uwezo wa USA dhidi ya Russia ni mkubwa mno.
Mfano mmoja ni huu, uchumi wa California ni mkubwa kuliko uchumi wa Russia Kama taifa. Uchumi wa Russia ni 2 trillion USA GDP. Uchumi wa USA ni almost 29 trillion USD. Russia anawezaji kupigana na taifa lenye nguvu kiasi hicho?
Wengine wanasema Russia ana nuclear bombs, Swali, Nani aligundua nuclear. Nani amewahi kutumia nuclear weapons?
Putin anajuwa Sana uwezo wa ki nuclear wa USA. Anajua vizuri kwamba akitumia nuclear tu, utakuwa ndio mwisho wake
Vitu vingine tuache mahaba. Tujifunze ya mwaka Jana ya Nancy Pelosi. Tulipata jibu sahihi
Kwa hiyo unadhani ingekuwa full scale conflict yaani hadi ma nuke yatumike vietnam ingechukuwa siku ngapi kufika washington na kuiteka?🤣🤣Lakini kumbuka US alipeleka troops pale akaweka kambi yani alishiriki hiyo vita moja kwa moja na kwa kuipiga mabomu North Vietnam. Yani ile vita ilikuwa yake alishiriki moja kwa moja na bado ikamshinda akaondoka. Hadi Senator John McCain alikamatwa na kushikiliwa mateka akiwa kama mwanajeshi katika vita hii.
US alikuwa direct involved kwenye hiyo vita tena ni tofauti na Ukraine kusema labada anatoa msaada wa silaha na mafunzo, bali yeye alikuwa on the ground. Ndiyo maana hata movies zao za propaganda zinazohusu vita ya Vietnam wanaonyesha kabisa ni kama wao walikuwa wanapigana moja kwa moja.
hiyo si vita kamili, vita kamili haichagui raia wala wanajeshi ni kulipuana tu.Vita ya USA na Vietnam ilikuwa vita kamili kabisa....hata vita ya Sasa ya Urusi na Ukraine ni vita kamili.
Huoni Urusi anavyoiharibu Ukraine?hiyo si vita kamili, vita kamili haichagui raia wala wanajeshi ni kulipuana tu.
Akili Ndogo kwako usiyependa kujisomea mambo kiundani zaidi.Watu wanaakili ndogo hawajui maana ya vita na mapambano dhidi ya kikundi fulani.
You are less informed.Kwa mfano USA angekuwa ametangaza vita kamili dhidi ya vietnam tungekuwa tunaongeea kitu kingine.
Marekani ndiye mvunjifu wa haki za binadamu ulimwengu mzima, alafu yeye hataki wengine wavunje hizo zinazoitwa haki za binadamu.Kvp? Kwenye vita kamili haki za binadamu,sijui huyu ni mwanajeshi huyu sio hamnaga wanachang'anywa wote.
Ni hivyo hivyo kwa Russia akiamua kupiga ukraine bila kujali sijui raia nakadhalika hata bakiza kitu.
Sasa wakiruhusu nuke zitumike hata india si anaweza kuiteketeza dunia nzma tu.Kwa hiyo unadhani ingekuwa full scale conflict yaani hadi ma nuke yatumike vietnam ingechukuwa siku ngapi kufika washington na kuiteka?🤣🤣
Ile vita alichokosea USA hakujua kuwa anapigana na wrong enemy na anampigania pia mtu asiye sahihi
Yaani ni sawa na hapa Tz wanaharakati wanaipigania rasilimali zetu ziisiibiwe ila sisi tunaopiganiwa hatuna interest
Naongelea kipindi kile wangeingia vitani kati ya Usa na vietnam halafu kila mtu atumie uwezo wake wote wa kivita ingechukuwa muda gani kwa vietnam kuiteka washington?Sasa wakiruhusu nuke zitumike hata india si anaweza kuiteketeza dunia nzma tu.
Ile US alikuwa pale ana kambi na askari. Askari wake wengi wamekufa pale hadi maandamano yakatokea kwao japo report zinaonyesha kuwa yaliratibiwa ili aweze kuondoa jesho lake kwa kisingizo maana aliona ile vita hawezi kuishinda na ndicho kilichotokea north na south zikaungana
Sio kweli.Kitendo cha marekani kuweka military base kila kona ya dunia maana yake hakuna wa kupigana naye akamshinda
Unajichanganya mzee,hapo inaongelewa millitary operation aliyoefanya USA ndani ya Vietnam ilifeli.Naongelea kipindi kile wangeingia vitani kati ya Usa na vietnam halafu kila mtu atumie uwezo wake wote wa kivita ingechukuwa muda gani kwa vietnam kuiteka washington?
Unajua mnavyoongeleaga USA kushindwa vietnam yaani ni Kama vile vietnam aliiteka america na anaikalia kimabavu
Akili za upindeKuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b) technology
c) silaha
d) Vita
e) Biashara
Uwezo wa Marekani ni mkubwa mno kwenye hizo nyanja.
Kama ingetokea kwamba dunia nzima tukapigana na USA, bado jamaa watashinda hiyo Vita.
USA kwenye full scale war, hana mpinzani. Jeshi lake liko kila Kona ya dunia. Wana silaha za kisasa na wako vizuri Sana kwenye innovation
Uchumi wao ni mkubwa mno, USA anaweza kupigana full scale war kwa muda mrefu bila kuteteleka.
Nawashangaa Sana watu wanaosema Russia Ina uwezo mkubwa kuliko USA. Najiuliza ni mahaba au kweli wanamaanisha.
Uwezo wa USA dhidi ya Russia ni mkubwa mno.
Mfano mmoja ni huu, uchumi wa California ni mkubwa kuliko uchumi wa Russia Kama taifa. Uchumi wa Russia ni 2 trillion USA GDP. Uchumi wa USA ni almost 29 trillion USD. Russia anawezaji kupigana na taifa lenye nguvu kiasi hicho?
Wengine wanasema Russia ana nuclear bombs, Swali, Nani aligundua nuclear. Nani amewahi kutumia nuclear weapons?
Putin anajuwa Sana uwezo wa ki nuclear wa USA. Anajua vizuri kwamba akitumia nuclear tu, utakuwa ndio mwisho wake
Vitu vingine tuache mahaba. Tujifunze ya mwaka Jana ya Nancy Pelosi. Tulipata jibu sahihi