USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,091
Reaction score
3,695
Mzuka umepanda.

Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa.

USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare.
Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia
The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and electronic warfare. The Pentagon plans to integrate lessons from Ukraine's use of these technologies into its own military, recognizing their significant impact on modern warfare.
 
Hizi ndio dalili za wazi kua Ukraine imezidiwa,
Hapa hakuna Cha kujifunza wala nini,hapa wanaenda kusaidia baada ya kuona Kila njia wliyotumia kumshinda Urusi imeshindikana.
Hii vita Sasa imechukua sura mpya.
Muda sio mrefu marafiki wa Urusi nao watakuja na hoja zao za kuingia vitani kiaina.
Hakuna mafanikio yoyote aliyoyapata Ukraine Soo far kwani Urusi anateka maeneo Kila kukicha.
Ukweli NATO wanaingia vitani kiuwoga sana,wanashindwa tu kutangaza tangazo la vita kua Sasa rasmi NATO wanaingia vitani na Urusi,na hicho ndio kinachomzuia Urusi kuanza rasmi kushambulia ndani ya nchi za NATO.
 
Ni mjinga pekee atayekupinga kwenye hoja yako mkuu Maonihuru

Lakini pia, ni mjinga tu anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, hivi ni kweli Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintofahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin
 
Lakini pia, ni mjinga tua anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintifahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin

Ni kuwa sababu kuu hao NATO walishaingia zamani huko Ukraine na ndiyo ikasababisha mrusi kuingia kijeshi kwani Zelinsky alikataa kuwaondoa
 
Maonyo ya Putin kuhusu taifa lolote litakalojiingiza kwenye vita hizo, kwamba litajutia uamuzi wake huo, onyo hilo Putin alilitoa hali ya kuwa ni mtoto asiyekomaa kiakili?

Kama USA ndio amekuwa wa kwanza kuvuka vikwazo vya Putin, binafsi nataka na yeye Putin ampige USA kwake
 
Maonyo ya Putin kuhusu taifa lolote litakalojiingiza kwenye vita hizo, kwamba litajutia uamuzi wake huo, onyo hilo Putin alilitoa hali ya kuwa ni mtoto asiyekomaa kiakili?

Jeshi la waingereza walikuwepo zamani kabla ya vita , na Zelenski alipotangaza nia ya kujiunga Nato ndipo Mrusi akakasirika akaivamia
 
Hizi ndio dalili za wazi kua Ukraine imezidiwa,
Hapa hakuna Cha kujifunza wala nini,hapa wanaenda kusaidia baada ya kuona Kila njia wliyotumia kumshinda Urusi imeshindikana.
Hii vita Sasa imechukua sura mpya.
Muda sio mrefu marafiki wa Urusi nao watakuja na hoja zao za kuingia vitani kiaina.
Hakuna mafanikio yoyote aliyoyapata Ukraine Soo far kwani Urusi anateka maeneo Kila kukicha.
Ukweli NATO wanaingia vitani kiuwoga sana,wanashindwa tu kutangaza tangazo la vita kua Sasa rasmi NATO wanaingia vitani na Urusi,na hicho ndio kinachomzuia Urusi kuanza rasmi kushambulia ndani ya nchi za NATO
Hivi wewe unaishi Ulimwengu wa wapi?

Urusi kwa miaka 2 imeteka eneo la Ukraine kenye ukubwa wa kilometa za mraba 760; Ukrain imeteka eneo la Urusi la ukubwa wa kilometa za mraba 1,125 ndani ya wiki 2. Hivi ni nani aliyefanikiwa zaidi?

Ukraine imeshambulia na kuangamiza submarines na meli za kivita zaidi ya 10 kutumia drones, imeangamiza ndege za kivita za Warusi, maghala ya silaha ya Urusi, store za mafuta za Urusi na madaraja ya Urusi kwa kutumia drones, kwa sababu kwa upande wa misiles, uwezo wa Urusi ni mdogo ukilinganisha na wa Urusi.

Kwa ujumla kwenye matumizi ya drones, Ukraine imepata mafanikio makubwa kuliko Russia.

Hao askari wa USA ambao wanajifunza kutoka Ukraine kwenye vita vya kutumia drones, siyo kwamba wanaenda Ukraine au Urusi bali wanareview systems zao kwa kuzingatia mafanikio ya Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.
 
Hivi wewe unaishi Ulimwengu wa wapi?

Urusi kwa miaka 2 inmeteka eneo la ukubwa wa kilometa za mraba 760; Ukrain imeteka eneo la Urusi la ukubwa wa kilometa za mraba 1,125. Ndani ya wiki 2. Hivi ni nani aliyefanikiwa zaidi?

Ukraine imeshambulia na kuangamiza submarines na meli za kivita zaidi ya 10 kutumia drones, imeangamiza ndege za kivita za Warusi, maghala ya silaha ya Urusi, store za mafuta za Urusi na madaraja ya Urusi kwa kutumia drones kwa sababu kwa upande wa misiles, uwezo wa Urusi ni mdogo ukilinfanisha na wa Urusi.

Kwa ujumla kwenye matumizi ya drones, Ukraine imepata mafanikio makubwa kuliko Russia.

Hao askari wa USA ambao wanajifunza kutoka Ukraine kwente vita vya kitumia drones, siyo kwamba wanaenda Ukraine au Urusi bali wanareview systems zao kwa kuzingatia mafanikio ya Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.
 
Marekani huwa hajifanyi mjuaji. Alipoenda Afghanistan alijikuta ana silaha nzitonzito pekee wakati Taleban hawana hata anti tank missiles na terrain ya Afghanistan ni milima na miinuko. Na wakati huo tishio la vikosi vya Marekani likawa ni IEDs ambazo zimesababisha 60% ya vifo na majeruhi kwa kipindi chote.

Kampuni ya South Africa ndio ilitoa suluhisho na kuuza mine-resistance ambush protected vehicles (MRAPs). Na South Africa walijifunza kwa maumivu tangu vita ya Angola.

Hivyo kwenye hii dunia ukitaka kukaa juu, jifunze kwa kila yeyote. Hata Urusi ilienda kujifunza drones kwa Israel na ikafanya licence production ya kwanza ila ilikuwa ni surveillance. Then Urusi baadae ikaenda Iran kuchukua Shaheed ambazo ni suicide.

Ukijifanya hutaki kujifunza utabaki nyuma.
 
Ni mjinga pekee atayekupinga kwenye hoja yako mkuu Maonihuru

Lakini pia, ni mjinga tu anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintofahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin
Shida sio kumudu, unamudu huku nchi inamegwa,,,,,mwamba mipango yake inaendelea kama anavyotaka
 
Hizi ndio dalili za wazi kua Ukraine imezidiwa,
Hapa hakuna Cha kujifunza wala nini,hapa wanaenda kusaidia baada ya kuona Kila njia wliyotumia kumshinda Urusi imeshindikana.
Hii vita Sasa imechukua sura mpya.
Muda sio mrefu marafiki wa Urusi nao watakuja na hoja zao za kuingia vitani kiaina.
Hakuna mafanikio yoyote aliyoyapata Ukraine Soo far kwani Urusi anateka maeneo Kila kukicha.
Ukweli NATO wanaingia vitani kiuwoga sana,wanashindwa tu kutangaza tangazo la vita kua Sasa rasmi NATO wanaingia vitani na Urusi,na hicho ndio kinachomzuia Urusi kuanza rasmi kushambulia ndani ya nchi za NATO.
Una akili kweli? Jitafakari
 
Ni mjinga pekee atayekupinga kwenye hoja yako mkuu Maonihuru

Lakini pia, ni mjinga tu anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintofahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin
Ni mjinga pekee atakaye amini anayepigwa hapo ni Ukraine pekee na sio NATO
 
Hizi ndio dalili za wazi kua Ukraine imezidiwa,
Hapa hakuna Cha kujifunza wala nini,hapa wanaenda kusaidia baada ya kuona Kila njia wliyotumia kumshinda Urusi imeshindikana.
Hii vita Sasa imechukua sura mpya.
Muda sio mrefu marafiki wa Urusi nao watakuja na hoja zao za kuingia vitani kiaina.
Hakuna mafanikio yoyote aliyoyapata Ukraine Soo far kwani Urusi anateka maeneo Kila kukicha.
Ukweli NATO wanaingia vitani kiuwoga sana,wanashindwa tu kutangaza tangazo la vita kua Sasa rasmi NATO wanaingia vitani na Urusi,na hicho ndio kinachomzuia Urusi kuanza rasmi kushambulia ndani ya nchi za NATO.
mkuu mbona umeandka kimahaba sn unakumbuka wkt urusi inavamia ukraine putin alisema atakayemsaidia ukraine atabondwa kisawasawa sa saivi unandka pumba hp eti knachomzuia urusi kupga nato n hz pumba zako wkt sbb ya urusi kuwapga nato alishasema ktambo na hajawai thubutu kuwapga.
 
Ni mjinga pekee atayekupinga kwenye hoja yako mkuu Maonihuru

Lakini pia, ni mjinga tu anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, hivi ni kweli Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintofahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin
Dah ni Mjinga TU ndio anaweza kuamini kua Ukraine peke yake amemudu kupigana na Urusi Kwa miaka miwili.
Hii wala Haihitaji ushahidi mkubwa,kwa sababu tunaona na kuisikia Kila siku NATO wanachangishana silaha,fedha na vikwazo kuisaidia Ukraine.
Tuanaona vikao vya NATO Kila siku,Sasa Cha kujiuliza anaepigwa ni Ukraine NATO wanakaa kujadilia nini?
anaepigwa ni Ukraine EU USA na west wanaiwekea vikwazo Urusi kwa Nini?
Mtu akiweza kujua hayo wala hawezi kushangaa kwa Nini Ukraine ame survive muda wote huo.
Kwa mara ya kwanza tokea Dunia imeumbwa hakuna n hi iliyowahi kupewa misaada mikubwa ya kijeshi na kiintelijesnsia kiintelijesnsia kama Ukraine.
Faida kubwa anayoipata Ukraine katika medani za vita ni kushare mipaka na nchi za NATO,hii inaipa urahisi NATO kutililisha silaha kirahisi sana.
Hata hivyo mpaka hapa Urusi inastahili kupewa heshima yake.
Angekua USA ndio anapigana na Ukraine na kwa misaada anayopewa Ukraine,USA ama angeshapiga bomu la nuke ama angeshaikimbia vita hii.
Mfano ni vita kati ya USA na Watalaban wa Afghanistan.
 
mkuu mbona umeandka kimahaba sn unakumbuka wkt urusi inavamia ukraine putin alisema atakayemsaidia ukraine atabondwa kisawasawa sa saivi unandka pumba hp eti knachomzuia urusi kupga nato n hz pumba zako wkt sbb ya urusi kuwapga nato alishasema ktambo na hajawai thubutu kuwapga.
Sijaandika kimahaba na wala sijaandika pumba,ila wewe kichwa chako ndio kimejaa pumba,huelewi chochote kuhusu Sheria za vita.
Iko hivi ngoja nikueleweshe kwa sababu hujui kitu chochote.

Urusi Hadi Sasa Haijapata sababu za kuishambulia nchi yoyote ya NATO Kwa sababu hata NATO na wao wanaingiza wanajeshi wao kwa kujificha katika kichaka Cha marcenaries.
NATO wanatakiwa watoe tangazo la vita la Article 5 ya NATO ambayo inasema mwanachama mmoja wa NATO akivamiwa wote wamevamiwa .
Na hawawezi kutoa tangazo hilo kwa sababu Ukraine sio mwanachama wa NATO.
Na wakitangaza hata kama Ukraine sio mwanachama basi hapo ndipo Urusi nae Sasa atakua amepata sababu ya kuzishambulia nchi za nato.
Na pia hata marafiki wa Urusi nao watapata sababu halisi ya kuingia vitani rasmi kuisaidia Urusi.
Kwa hiyo ukiangalia utaona ni NATO ndio wanaogopa.
Nae Urusi wala Hadi Sasa hajatangaza vita na Ukraine Bali ametangaza special Military operation TU.SMO.
Kumbuka kuna tofauti kati ya SMO na Full scale war.
Kwa hiyo Urusi Leo hawezi kuipiga London,Paris au Washington,ila NATO wakitangaza rasmi kutumia Article 5 ujue Urusi Sasa ana kua na Hali ya kupiga kambi zote za NATO mahala popote duniani,na uwezo huo anao.

Soma hapa ili ujielimishe.

Article 5 provides that if a NATO Ally is the victim of an armed attack, each and every other member of the Alliance will consider this act of violence as an armed attack against all members and will take the actions it deems necessary to assist the Ally attacked.4 Jul 2023
 
Back
Top Bottom