USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

Hivi wewe unaishi Ulimwengu wa wapi?

Urusi kwa miaka 2 imeteka eneo la Ukraine kenye ukubwa wa kilometa za mraba 760; Ukrain imeteka eneo la Urusi la ukubwa wa kilometa za mraba 1,125 ndani ya wiki 2. Hivi ni nani aliyefanikiwa zaidi?

Ukraine imeshambulia na kuangamiza submarines na meli za kivita zaidi ya 10 kutumia drones, imeangamiza ndege za kivita za Warusi, maghala ya silaha ya Urusi, store za mafuta za Urusi na madaraja ya Urusi kwa kutumia drones, kwa sababu kwa upande wa misiles, uwezo wa Urusi ni mdogo ukilinganisha na wa Urusi.

Kwa ujumla kwenye matumizi ya drones, Ukraine imepata mafanikio makubwa kuliko Russia.

Hao askari wa USA ambao wanajifunza kutoka Ukraine kwenye vita vya kutumia drones, siyo kwamba wanaenda Ukraine au Urusi bali wanareview systems zao kwa kuzingatia mafanikio ya Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.
Urusi hahitaji kuteka maeneo zaidi.
 
Km mraba 1000 ni ndogo sana huwezi fananisha na kilometa mraba 162000 alizochukua Russia toka kwa Ukraine ambazo ni sawa na 27% ya eneo la nchi ya Ukraine,ni sawa useme Russia kateka robo ya nchi ya Ukraine.
Pia huwezi sema wameiteka in general maana hawadhibiti kitu chochote pale,na bado mashambulizi ya kupakomboa yanaendelea.
Kwanza sio kweli kuwa Russia imeteka eneo la Ukraine kwa ukubwa unaoutaja sio kweli unless leta chanzo cha taarifa yako
 
Hizi ndio dalili za wazi kua Ukraine imezidiwa,
Hapa hakuna Cha kujifunza wala nini,hapa wanaenda kusaidia baada ya kuona Kila njia wliyotumia kumshinda Urusi imeshindikana.
Hii vita Sasa imechukua sura mpya.
Muda sio mrefu marafiki wa Urusi nao watakuja na hoja zao za kuingia vitani kiaina.
Hakuna mafanikio yoyote aliyoyapata Ukraine Soo far kwani Urusi anateka maeneo Kila kukicha.
Ukweli NATO wanaingia vitani kiuwoga sana,wanashindwa tu kutangaza tangazo la vita kua Sasa rasmi NATO wanaingia vitani na Urusi,na hicho ndio kinachomzuia Urusi kuanza rasmi kushambulia ndani ya nchi za NATO.
Haaaah...! Kweli?
 
Kwanza sio kweli kuwa Russia imeteka eneo la Ukraine kwa ukubwa unaoutaja sio kweli unless leta chanzo cha taarifa yako
Kwanini tuandikie mate angali wino upo??

Screenshot_2024-08-26-18-47-36-66_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kwanini tuandikie mate angali wino upo??

View attachment 3080708
Before 2022, Russia occupied 42,000 km2 (16,000 sq mi) of Ukrainian territory (Crimea, and parts of Donetsk and Luhansk), and occupied an additional 119,000 km2 (46,000 sq mi) after its full-scale invasion by March 2022, a total of 161,000 km2 (62,000 sq mi) or almost 27% of Ukraine's territory.[7] By 11 November 2022, the Institute for the Study of War calculated that Ukrainian forces had liberated an area of 74,443 km2 (28,743 sq mi) from Russian occupation,[8] leaving Russia with control of about 18% of Ukraine's territory.[9] During the entire 2023, the Russian forces only captured 518 km2 (200 sq mi) of Ukrainian territory, despite huge losses on the battlefield
 
Unaniletea habari za kuunga unga??
Unataka kuniambia Kharkiv,Mariupol,Donetsk,Luhansk na Donbas ni sawa na kilometa mraba 550+??
Bro yani maeneo yote hayo ni sawa ana kilometa mraba 500??
Embu kuwa serious.

Screenshot_2024-08-27-19-34-07-04_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-27-19-34-14-68_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-27-19-34-42-10_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Unaniletea habari za kuunga unga??
Unataka kuniambia Kharkiv,Mariupol,Donetsk,Luhansk na Donbas ni sawa na kilometa mraba 550+??
Bro yani maeneo yote hayo ni sawa ana kilometa mraba 500??
Embu kuwa serious.

View attachment 3080790View attachment 3080791View attachment 3080792
Hahahaah sasa hivi umepunguza toka 160km hadi 90km 😄 🤣 😂 😆 alaf kharkiv haijatekwa na hizi majimbo ma4 hayakuwahi kutekwa yote ukiitoa Crimea kuwa makini na vyanzo vya taarifa
 
Hahahaah sasa hivi umepunguza toka 160km hadi 90km 😄 🤣 😂 😆 alaf kharkiv haijatekwa na hizi majimbo ma4 hayakuwahi kutekwa yote ukiitoa Crimea kuwa makini na vyanzo vya taarifa
Inamaana Aljazeera wanaongopa!??
Aljazeera English news waliopokea best broadcasters wanaongopa!??
Kharkiv imetekwa hutaki rudia habari hiyo hapo.
 
Ni 90k kilometres sio 90 kilometres.
 
kijiji kimoja cha Tanzania ni kidogo kuliko wilaya kata moja ya Rwanda ?
Elewa hizo nchi mbili halilingani ukubwa , Jimbo moja la Urusi linaweza kuwa sawa na nusu ya Ukraine so ukisikia vijiji wanamaanisha ni eneo kubwa haswa sawa na miji yetu kama Lindi mjini au Moshi mjini au Bukoba mjini

iwapo Urusi ina vijiji 13000 na Tanzania ina vijiji 1280 hv , sasa linganisha ukubwa wa nchi na idadi ya vijiji na upate picha kamili

Bila kusahau Tanzania inaingia mara 18 kwa Urusi

i
Hatari sana.
Hesabu imekuwa ngumu kiasi hiki kweli?
 
Inamaana Aljazeera wanaongopa!??
Aljazeera English news waliopokea best broadcasters wanaongopa!??
Kharkiv imetekwa hutaki rudia habari hiyo hapo.
Ni 90k kilometres sio 90 kilometres.
Al jazeera chombo cha propaganda ndio maana iko kuinanga Israel 🇮🇱 kila kukicha
 
Al jazeera chombo cha propaganda ndio maana iko kuinanga Israel 🇮🇱 kila kukicha
Aljazeera unayosema chombo cha Propaganda ndio chombo cha habari pekee ambacho hakikuwahi kushitakiwa kwa news fabrication.
Aljazeera hiyo hiyo ndio chombo cha habari chenye tuzo nyingi kutoka New York times.
Itakua New York times wajinga kumpa Aljazeera zawadi ilhali ni chombo cha propaganda.
 
Ni mjinga pekee atayekupinga kwenye hoja yako mkuu Maonihuru

Lakini pia, ni mjinga tu anayeshangaa kupigwa kwa Ukraine na taifa kubwa kama Russia,

Kinachoweza kustaajabisha tu ni kuwa, hivi ni kweli Ukraine ameendelea kumudu vipigo vya jeshi maarufu na la kuogopesha la Russia? Tena miaka miwili mpaka sasa?

Kichwani kunabaki na sintofahamu ya uwezo halisi wa jeshi la Putin

Umeongea kwa akili ambayo wachache watakuelewa. Wengi hawawezi kukuelewa. Yaani ingetokea Mike Tyson enzi zake anapambana na Mandonga. Na mpaka sasa wapo round ya 8 ingawa Mike Tyson anaongoza kwa Points.
 
Aljazeera unayosema chombo cha Propaganda ndio chombo cha habari pekee ambacho hakikuwahi kushitakiwa kwa news fabrication.
Aljazeera hiyo hiyo ndio chombo cha habari chenye tuzo nyingi kutoka New York times.
Itakua New York times wajinga kumpa Aljazeera zawadi ilhali ni chombo cha propaganda.
Hahahaha leta hizo tuzo ni wapi na lini walipewa? Na nani aliwapa tuzo hahaha
 
Hahahaha leta hizo tuzo ni wapi na lini walipewa? Na nani aliwapa tuzo hahaha
Hiyo ni taarifa ya mwaka jana 2023 wakiwa wameshinda mara ya 7 mfululizo.
Na mwaka huu pia wameshinda mara ya nane mfululizo.
Soma hapo juu kutoka chanzo chao wenyewe New York times.
Maana ningeleta chanzo cha waarabu ungesema Propaganda.
Screenshot_2024-08-28-17-07-59-20_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-28-17-08-08-81_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-28-17-08-32-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom