Hivi wewe unaishi Ulimwengu wa wapi?
Urusi kwa miaka 2 imeteka eneo la Ukraine kenye ukubwa wa kilometa za mraba 760; Ukrain imeteka eneo la Urusi la ukubwa wa kilometa za mraba 1,125 ndani ya wiki 2. Hivi ni nani aliyefanikiwa zaidi?
Ukraine imeshambulia na kuangamiza submarines na meli za kivita zaidi ya 10 kutumia drones, imeangamiza ndege za kivita za Warusi, maghala ya silaha ya Urusi, store za mafuta za Urusi na madaraja ya Urusi kwa kutumia drones, kwa sababu kwa upande wa misiles, uwezo wa Urusi ni mdogo ukilinganisha na wa Urusi.
Kwa ujumla kwenye matumizi ya drones, Ukraine imepata mafanikio makubwa kuliko Russia.
Hao askari wa USA ambao wanajifunza kutoka Ukraine kwenye vita vya kutumia drones, siyo kwamba wanaenda Ukraine au Urusi bali wanareview systems zao kwa kuzingatia mafanikio ya Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.