Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hakukuwa na official troops ukraine. Kitu cha kwanza unatakiwa ujue hakuna jeshi lolote la nchi kutoka NATO linaloenda kwenye vita yotote bila jeshi la anga na la maji kutoka kwao.Jeshi la waingereza walikuwepo zamani kabla ya vita , na Zelenski alipotangaza nia ya kujiunga Nato ndipo Mrusi akakasirika akaivamia
ukraine muda huu ingekuwa imeranda ndege ndege za NATO na NAVY pande zote