Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Mkuu Bams hivi wewe Kwa akili Yako unaamini Ukraine ana uwezo wa kukabiliana na jeshi la Urusi?Hivi wewe unaishi Ulimwengu wa wapi?
Urusi kwa miaka 2 imeteka eneo la Ukraine kenye ukubwa wa kilometa za mraba 760; Ukrain imeteka eneo la Urusi la ukubwa wa kilometa za mraba 1,125 ndani ya wiki 2. Hivi ni nani aliyefanikiwa zaidi?
Ukraine imeshambulia na kuangamiza submarines na meli za kivita zaidi ya 10 kutumia drones, imeangamiza ndege za kivita za Warusi, maghala ya silaha ya Urusi, store za mafuta za Urusi na madaraja ya Urusi kwa kutumia drones, kwa sababu kwa upande wa misiles, uwezo wa Urusi ni mdogo ukilinganisha na wa Urusi.
Kwa ujumla kwenye matumizi ya drones, Ukraine imepata mafanikio makubwa kuliko Russia.
Hao askari wa USA ambao wanajifunza kutoka Ukraine kwenye vita vya kutumia drones, siyo kwamba wanaenda Ukraine au Urusi bali wanareview systems zao kwa kuzingatia mafanikio ya Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.
Kwa hiyo wewe huamini kabisa kua NATO wako nyuma ya Ukraine?
Mimi naona wewe ndio unaishi Dunia nyingine kabisa kama huoni jinsi wataalamu ,makamnada na askari wa NATO wanaofia vitani huko Ukraine baada ya kuzikwa kwenye mashimo na makombora ya Urusi.
Huoni silaha za NATO zina vyotetekezwa na jeshi la Urusi au hua husikii zelensky anapoomba waongeze misaada ya silaha?
Au huoni vikwazo ana yowekewa Urusi ili kumdhoofisha?
Nakubali bila ubishi kabisa kua Ukraine wanapiga meli na silaha z Urusi,je ni kweli hujui kua wanaotoa code ni wataalamu wa NATO esp USA ,UK na France etc?
Kwa kifupi ni kwamba NATO wanaogopa TU kutangaza article 5 kwa sababu hiyo ndio itakua vita rasmi baina ya Urusi na NATO.
Hapo ndipo hata Urusi ataweza kushambulia silaha ama Kambi zozote za NATO mahala popote Duniani.
Kama huamini NATO wanaipa misaada Ukraine je ni Kwa Nini NATO anaomba ruhusa ya kuzitumia kupinga ndani kabisa ya ardhi ya Urusi?
Urusi kakamata ardhi kubwa na hatakaa airudishe mazima,lak I haki kajisehemu alikovamia Ukraine wala hata kaa Bali ama ataindoka ama ataondolewa kwa nguvu.
Kimsingi Urusi ameteka maeneo yanayokaliwa na raia wenye asili ya Urusi wakati sio hivyo kwa Ukraine huko Kursk.