USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

Je marafiki wa Urusi wasipoingia vitani kiaina itakuwaje?
 
Sasa si ndiyo hivyo, ndio maana urusi anataka kumtoa ili nae aweke mtu wake raisi.

Kwa hiyo Putin akomae tu, hadi nae aweke mtu wake.
 
kijiji kimoja cha Tanzania ni kidogo kuliko wilaya kata moja ya Rwanda ?
Elewa hizo nchi mbili halilingani ukubwa , Jimbo moja la Urusi linaweza kuwa sawa na nusu ya Ukraine so ukisikia vijiji wanamaanisha ni eneo kubwa haswa sawa na miji yetu kama Lindi mjini au Moshi mjini au Bukoba mjini

iwapo Urusi ina vijiji 13000 na Tanzania ina vijiji 1280 hv , sasa linganisha ukubwa wa nchi na idadi ya vijiji na upate picha kamili

Bila kusahau Tanzania inaingia mara 18 kwa Urusi
i
 
nilijua tu USA 🇺🇸 angeingia utani Russia akiwa amechoka sana?!!
 
kwa kutuonaje vile ...
 
Ukraine kafanya uvamizi ila hakuna alipopateka.
Sehemu uliyoteka ni ile unaidhibiti tayari,ila Ukraine hajapata udhibiti wa Kursk bado.
 
We unadhani hajachoka?? Kipande chake cha ardhi kutekwa na nchi ndogo na dhaifu ya Ukraine.
Hakijatekwa kimevamiwa.
Na hiko kikosi cha Ukraine bado kipo palepale walipovamia na mashambulizi yanaendelea.
Sehemu uliyoiteka unakua na udhibiti nayo,ila Ukraine hana udhibiti wowote wa hilo eneo hadi sasa.
Anahangaika tu akijaribu kutaka kupalinda.
 
Wewe utakuwa mjeda , unajua mambo mengi ya kijeshi.
 
Enter Her father
 
Wameteka km1000+ za mraba week ya tatu sasa wewe huoni kama tatizo kwa ardhi ya urusi kuguswa?? Aka super power but actually a paper tiger
 
Wameteka km1000+ za mraba week ya tatu sasa wewe huoni kama tatizo kwa ardhi ya urusi kuguswa?? Aka super power but actually a paper tiger
Km mraba 1000 ni ndogo sana huwezi fananisha na kilometa mraba 162000 alizochukua Russia toka kwa Ukraine ambazo ni sawa na 27% ya eneo la nchi ya Ukraine,ni sawa useme Russia kateka robo ya nchi ya Ukraine.
Pia huwezi sema wameiteka in general maana hawadhibiti kitu chochote pale,na bado mashambulizi ya kupakomboa yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…