USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

Jeshi la waingereza walikuwepo zamani kabla ya vita , na Zelenski alipotangaza nia ya kujiunga Nato ndipo Mrusi akakasirika akaivamia
Hakukuwa na official troops ukraine. Kitu cha kwanza unatakiwa ujue hakuna jeshi lolote la nchi kutoka NATO linaloenda kwenye vita yotote bila jeshi la anga na la maji kutoka kwao.
ukraine muda huu ingekuwa imeranda ndege ndege za NATO na NAVY pande zote
 
Hahahaha leta hizo tuzo ni wapi na lini walipewa? Na nani aliwapa tuzo hahaha
Na sio tuzo hiyo tu,wameshinda na prestigious awards.
Pia wana waandishi wao wa habari walioshinda tuzo pia.
Na hizo tuzo ni globe awards sio tuzo za ukanda nope ni za kimataifa ulimwenguni kote.
 
H
Na sio tuzo hiyo tu,wameshinda na prestigious awards.
Pia wana waandishi wao wa habari walioshinda tuzo pia.
Na hizo tuzo ni globe awards sio tuzo za ukanda nope ni za kimataifa ulimwenguni kote.
Hamna lolote tuzo za kihuni
 
Putin anapigana kadri mnavyoongeza sauti naye anaongeza, Russia anaweza Fanya maangamizi ndan ya Ukraine na watu wasiamini, anapigana naye kirafiki sn kulingana na power yake, Russia mbabe wa vita, ndo mana NATO ikaundwa
 
Hao wanaingia kupitia mlango wa nyuma, wakitaka warushe bomu toka US, UK au nchi yyt ya NATO litue Russia utaona Tsar Bomba ipo wap
 
Unareport ukitokea Mikese au Kidunda?
 
Aliyeandika hii mada lugha ya malkia wa uingereza haijui au anaijua ila amepindisha mada kujifurahisha. Hakuna mahala USA wamesema sawa na kichwa cha habari, na wachangiaji wengi maboya vile vile au hawajosoma andiko lake la kiswahili na kile kipande ambacho amebandika kama ndio chanzo chake wanajikuta wanachangia mada juu kwa juu.

Kifupi hii vita inatoa takwimu nyingi sana kwa mataifa mengi, mfano USA wamegundua Abrams Tanks zake zinahutaji marekebisho na pia vifaa vya USA na EU vinavyotumia gps vinaweza kubanwa visifanye kazi. Pia imeonekana Himmars na ATACMS iko vizuri sio mbaya na Kinzail za Urusi kumbe sio ki vile putin alisema hazitunguliwi s400 wengi wameingizwa mkenge tofauti na propaganda ndio maana Turkey anataka kuziuza. Hivyo takwimu kibao zinakusanywa kadiri vita inavyoendelea
 
H

Hamna lolote tuzo za kihuni
Kwahiyo siku hizi USA kaka wanatoa tuzo za kihuni!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We kweli mbishani,yani hautaki kukubali kama umekosea.
 
Kwahiyo siku hizi USA kaka wanatoa tuzo za kihuni!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We kweli mbishani,yani hautaki kukubali kama umekosea.
Tuzo haijatolewa na USA kwani mfano Nobel inatolewa na Norway au taasisi?!! Ambazo ziko prone to manipulation?
 
Tuzo haijatolewa na USA kwani mfano Nobel inatolewa na Norway au taasisi?!! Ambazo ziko prone to manipulation?
New York times ni chombo cha habari cha nchi gani!???
Mmiliki wa New york times ni nani kaka!??
 
Umejibu hoja vizuri, vita si bajeti wala uchumi, hapo ni mbinu na maarifa. Mkizidiwa mbinu na maarifa hata uwe na uwezo gani utapigwa tu, sasa anasema USA kuwa na bajeti kubwa ndiyo kuwa na jeshi imara sikweli bajeti ya USA hajui ndiye anaongoza kuwa na kambi nyingi. Kuhudumia kambi zote hizo yanatakiwa mapesa mengi! siyo sababu wenzie badala ya kuhangaika na kambi wamejikita bajeti zao kutengeneza makombora ndiyo unaona yanavyomwagwa Ukreni, siyo ubaki kulisha watu makabini hapo kweli itabidi utenge bajeti kubwa.
 
Unayemjibu ni mojawapo ya viazi mbatata Vya jamiiforums
 
Pale akili inapozidiwa na mahaba. Kila mtu anavutia kwake.. No objectivity kwenye hoja. Mtu haangalii upande wa pili. Anaufumbia macho upande wa pili na kuanza kutiririka
 
Putin anapigana kadri mnavyoongeza sauti naye anaongeza, Russia anaweza Fanya maangamizi ndan ya Ukraine na watu wasiamini, anapigana naye kirafiki sn kulingana na power yake, Russia mbabe wa vita, ndo mana NATO ikaundwa
Nimekupata. Kuundwa kwa NATO ni kumuogopa Russia. Hata baada ya Warsaw pact kufa bado wakawa wanamuogopa Russia ndo maana NATO imeendelea kuwepo
 
We endelea kufumba macho na kuziba masikio kwamba URUSI anapigana na Ukraine pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…