Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
wakikutana wote wababe wanaweza kufumuana ila wakikutana mbabe na ka lofa fulani ngumu kuzifumuaMakombora ya chini ya maji kushambulia manowari za kubebea ndege inakua ngumu sababu manowari za kubebea ndege zinatembea na groups combination za nyambizi na manowari ndogo ndogo na zote zinabeba mabomu ya hypersonic na nyukilia....especially nyambizi za USSR USA na NATO!!!!!
NDIO MAANA ZINAITWA FLEET'S SO NI NGUMU KUZISHAMBULIA LABDA MFUMO WA RADA UFE AU UIBWE NA ADUI....
NA ZINA RANGE YA KUKAA TOKA ILIPO POSITION YA ADUI....ILI ZITUMIKE KAMA VIWANJA VYA NDEGE BAHARINI NA MJI INAYOELEA.
mbona kayatumia mara nyingi labda kama hufatiliiMbona Urusi hayatumii Ukraine?
mbona kayatumia mara nyingi labda kama hufatiliiMbona Urusi hayatumii Ukraine?
wA BUZA WEKA MSISITIZO HAPOKwamba we wajua kuliko wao wamarekani?
Jana tu vimekiwasha au hujapitia bbc 😀Kwan Toka US atangaze kuunda muungano hivyo bikamanda uchwara vya Houth bimeteka au kulipua meli ngapi?
Sasa kama wangekua wanaweza kwanini wasingegomaUS aliiwekea USSR ukaguzi pale Cuba. Unajua maana ya naval kuwekwa karantini ni dharau iliyoje superpower USSR kuwekewa na kupewa masharti kwamba hapa hufanyi hiki na hapa hupeleki silaha bali utazitoa.
Meli za Marekani zilizuia za USSR, zikakagua kama kuna silaha hakuna kwenda na kama hakuna silaha basi ruksa. Marekani ilitaka kuishambulia Cuba pamoja na uwepo wa majeshi ya USSR. Ndipo USSR ikakubali kutoa silaha zao pale.
Hapo unasemaje Marekani alilialia? Badala yake USSR ndio ililialia kama inatoa silaha Cuba basi na Marekani itoe makombora Uturuki ili angalau serikali ya Soviet ipate pa kuficha uso wake isionekane imenyanyaswa. Na Marekani ni wanadiplomasia, wakakubali.
Kukiwasha maana yake nini? Nimeuliza wameteka ama kulipua meli ngapi?Jana tu vimekiwasha au hujapitia bbc 😀
Ndio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama haoMarekani amepigana vita na mataifa mengi, ukiachana na Japan mwaka 1941 hakuna nchi ambayo imevamia au kushambulia ardhi, anga au maji yake. Tangu Marekani iwe huru hakuna mwanajeshi wa nchi adui aliwahi tia mguu ardhi ya Marekani.
Marekani anapiga vita kwa kukufuata ulipo, bila carriers hawezi fanya hivyo.
Houthi hawana shida na kuteka meli wala kuripua hio hua inakuja tu kama bonus sababu tokea waanze operation yao wameteka meli moja tu mpaka sasaKukiwasha maana yake nini? Nimeuliza wameteka ama kulipua meli ngapi?
Unaniuliza mimi tena?Upo serious kweli. Hv hao houth ndio takataka gani, askari gani anapigana vita kavaa msuri na baraghashea tena yupo kwenye mtumbwi.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ungemuacha atafute mwenyewe
Mengine tumia ada yakoView attachment 2868258
Japan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.Yote haya unayoyasema sijabisha mkongwe, ndio maana nikakujibu hii hali ya Marekani kuibuka kidedea wakati wote anapokuwa katika vita, na ardhi yake kutoguswa kijeshi kama unavyosema imechangiwa na aina na hali ya wapinzani wake. Kuna nchi akiziletea ubabe wa kivita hiyo ardhi tukufu ya Marekani haiwezi kubaki salama.
Hata hayo machuma(carriers) yake hayawezi kumsaidia akiingia vitani na nchi inayojitambua.
Hujajibu swali sababu jibu hamna. Taja jina la hypersonic missile yeyote unayodai inaweza piga super carrier nikuonyeshe kwanini haiwezi. Sijataja ulete source, soma source mwenyewe alafu leta jina la hiyo hypersonic missile.
Mengine tumia ada yakoView attachment 2868258
Wewe na ndugu yako unganeni mtutajie jina la hiyo hypersonic missile. Hapo uliposhadadia umeshadadia hypersonic missile inayoitwaje?Ungemuacha atafute mwenyewe
Dozi gani shekhe?! Huna habari kama vidrone na vikombora vyao vyote vimetunguliwa😂😂😂Na leo mkuu wahouth wameshawapa dozi
Dola 200 imekua drone ya Alibaba au?! Hizo shahed zenyewe zinarange dola 20k-50k.Hashangai hata kamikaze zimekua mali sana
Yaani mzigo wa dola 200 unaharibu mzigo wa dila billion nyingi na roho za watu telee
Bhas kuanzia Leo uache kuzadharau Houthi kuifananisha na vikundi vingine kama Hamas au Hezbollah.Kuungwa mkono ndio nini kama kuungwa mkono hata israhell inaungwa mkono na marekani na wanatengeneza silaha wenyewe
Ila tunaona wanavyohenyeshwa na hao hamas
Bado hujasema... Na utasema. Yani mpaka useme.Mie hata kutengeneza manati siwezi hizo drone nimetengeza mie nanani kijana
Hizo ndio size ya anayowaweza United Shits Of Americant
Wanadhani aircraft carrier inakua imesimama tu baharini hawajui kama muda wote iko kwenye mwendo wa zaidi ya 50km/hr sasa sijui hiyo Hypersonic italipua vipi kitu chenye mwendo kasi kwenye eneo kubwa kama LA bahari.Niliwauliza swali mkakimbia hamjajibu mpaka sasa. Hiyo hypersonic missile inayopiga a fast moving target isiyoenda kwenye uelekeo unaojulikana ni ipi?
Hilo kombora ya hypersonic linaloweza kupiga carrier linaitwaje na ni la nchi gani?
mbona kayatumia mara nyingi labda kama hufatiliiMbona Urusi hayatumii Ukraine?
wA BUZA WEKA MSISITIZO HAPOKwamba we wajua kuliko wao wamarekani?
Hujajibu swali sababu jibu hamna. Taja jina la hypersonic missile yeyote unayodai inaweza piga super carrier nikuonyeshe kwanini haiwezi. Sijataja ulete source, soma source mwenyewe alafu leta jina la hiyo hypersonic missile.
Kwenye screenshot yako hapo hawajataja jina lolote. Ninachotaka ni jina tu. Ukijitutumua utataja DF-21D, ambayo sio hypersonic missile.
Wote hamjanielewaHujamwelewa huyo kwa hiyo mfano hayo masiraha ya warussi yanawaua warussi? Au ya wamarekani yanawaua wamarekani? Wanajitengezea ili kulinda maslahi yao ....
Ambapo siyo kosa