USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Makombora ya chini ya maji kushambulia manowari za kubebea ndege inakua ngumu sababu manowari za kubebea ndege zinatembea na groups combination za nyambizi na manowari ndogo ndogo na zote zinabeba mabomu ya hypersonic na nyukilia....especially nyambizi za USSR USA na NATO!!!!!
NDIO MAANA ZINAITWA FLEET'S SO NI NGUMU KUZISHAMBULIA LABDA MFUMO WA RADA UFE AU UIBWE NA ADUI....
NA ZINA RANGE YA KUKAA TOKA ILIPO POSITION YA ADUI....ILI ZITUMIKE KAMA VIWANJA VYA NDEGE BAHARINI NA MJI INAYOELEA.
wakikutana wote wababe wanaweza kufumuana ila wakikutana mbabe na ka lofa fulani ngumu kuzifumua
 
US aliiwekea USSR ukaguzi pale Cuba. Unajua maana ya naval kuwekwa karantini ni dharau iliyoje superpower USSR kuwekewa na kupewa masharti kwamba hapa hufanyi hiki na hapa hupeleki silaha bali utazitoa.

Meli za Marekani zilizuia za USSR, zikakagua kama kuna silaha hakuna kwenda na kama hakuna silaha basi ruksa. Marekani ilitaka kuishambulia Cuba pamoja na uwepo wa majeshi ya USSR. Ndipo USSR ikakubali kutoa silaha zao pale.

Hapo unasemaje Marekani alilialia? Badala yake USSR ndio ililialia kama inatoa silaha Cuba basi na Marekani itoe makombora Uturuki ili angalau serikali ya Soviet ipate pa kuficha uso wake isionekane imenyanyaswa. Na Marekani ni wanadiplomasia, wakakubali.
Sasa kama wangekua wanaweza kwanini wasingegoma

Kama kukamatwa hata wanamgambo wa marekani walidakwa na wanamaji wa iran huko ghuba kwamadai hayo hayo kwamba wamevuka mstari wa maji wa iran wakiwa na silaha nawakapigishwa magoti na wakaambiwa waite jua na wakatii

Sasa ajabu super power anadhalilika namna hiii na maskini kamaniran ambae hata kula hana kama ulivyodai kule juu
 
Marekani amepigana vita na mataifa mengi, ukiachana na Japan mwaka 1941 hakuna nchi ambayo imevamia au kushambulia ardhi, anga au maji yake. Tangu Marekani iwe huru hakuna mwanajeshi wa nchi adui aliwahi tia mguu ardhi ya Marekani.

Marekani anapiga vita kwa kukufuata ulipo, bila carriers hawezi fanya hivyo.
Ndio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama hao
Yaani unaenda kupigana na libya utegemee watazamisha karia ya Americant upigane na Syria utegemee watazamisha karia upigane na iraq utegemee kuzamisha karia
Katika mataifa yote aliopigana nayo marekani na shost zake nitaifa moja tu ambalo lilikua linajiweza huko kwengine kote kapigana na walemavu
 
Kukiwasha maana yake nini? Nimeuliza wameteka ama kulipua meli ngapi?
Houthi hawana shida na kuteka meli wala kuripua hio hua inakuja tu kama bonus sababu tokea waanze operation yao wameteka meli moja tu mpaka sasa
Ila wameshambulia meli nyingi sana wao walisema watadeal na meli zinazoelekea israhell kuhakikisha haziendi
Kwahio ulikua unataka kusema nini labda?
 
Yote haya unayoyasema sijabisha mkongwe, ndio maana nikakujibu hii hali ya Marekani kuibuka kidedea wakati wote anapokuwa katika vita, na ardhi yake kutoguswa kijeshi kama unavyosema imechangiwa na aina na hali ya wapinzani wake. Kuna nchi akiziletea ubabe wa kivita hiyo ardhi tukufu ya Marekani haiwezi kubaki salama.
Hata hayo machuma(carriers) yake hayawezi kumsaidia akiingia vitani na nchi inayojitambua.
Japan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.
Akaota mapembe akaenda vamia US the real superpower akapigwa akachakaa. Wakati US anapigana na Japan, muda huo anatoa shehena ya misaada kwa wanyonge kama USSR ili wapigane na Nazi Germany, wakati huo anapigana kuikomboa Ufaransa na Ulaya. US alikuwa na vita theaters mbili zote akashinda.

Sasa US alipiga Japan ya vile alafu useme huwa anapigana na wanyonge. Mnyonge aliyepiga Urusi, China, Korea na wengine?

Kama US hapigani na superpowers, USSR iko wapi mbona walinyoosha mikono?

Kwani hao China na Urusi waliwahi mpiga superpower gani.
 
Hujajibu swali sababu jibu hamna. Taja jina la hypersonic missile yeyote unayodai inaweza piga super carrier nikuonyeshe kwanini haiwezi. Sijataja ulete source, soma source mwenyewe alafu leta jina la hiyo hypersonic missile.

Kwenye screenshot yako hapo hawajataja jina lolote. Ninachotaka ni jina tu. Ukijitutumua utataja DF-21D, ambayo sio hypersonic missile.
 
Hashangai hata kamikaze zimekua mali sana
Yaani mzigo wa dola 200 unaharibu mzigo wa dila billion nyingi na roho za watu telee
Dola 200 imekua drone ya Alibaba au?! Hizo shahed zenyewe zinarange dola 20k-50k.

Sikatai zimekua mali, maana hata Kremlin ilipigwa kwa drone ya dola 200😂
 
Kuungwa mkono ndio nini kama kuungwa mkono hata israhell inaungwa mkono na marekani na wanatengeneza silaha wenyewe

Ila tunaona wanavyohenyeshwa na hao hamas
Bhas kuanzia Leo uache kuzadharau Houthi kuifananisha na vikundi vingine kama Hamas au Hezbollah.

Hata Urusi inaungwa mkono na North Korea na Iran.
 
Niliwauliza swali mkakimbia hamjajibu mpaka sasa. Hiyo hypersonic missile inayopiga a fast moving target isiyoenda kwenye uelekeo unaojulikana ni ipi?

Hilo kombora ya hypersonic linaloweza kupiga carrier linaitwaje na ni la nchi gani?
Wanadhani aircraft carrier inakua imesimama tu baharini hawajui kama muda wote iko kwenye mwendo wa zaidi ya 50km/hr sasa sijui hiyo Hypersonic italipua vipi kitu chenye mwendo kasi kwenye eneo kubwa kama LA bahari.
Waje watuelekeze tunataka kufahamu.
 
Mbona Urusi hayatumii Ukraine?
mbona kayatumia mara nyingi labda kama hufatilii
Kwamba we wajua kuliko wao wamarekani?
wA BUZA WEKA MSISITIZO HAPO
Hujajibu swali sababu jibu hamna. Taja jina la hypersonic missile yeyote unayodai inaweza piga super carrier nikuonyeshe kwanini haiwezi. Sijataja ulete source, soma source mwenyewe alafu leta jina la hiyo hypersonic missile.

Kwenye screenshot yako hapo hawajataja jina lolote. Ninachotaka ni jina tu. Ukijitutumua utataja DF-21D, ambayo sio hypersonic missile.

Kh-47M2 Kinzhal

 
Hujamwelewa huyo kwa hiyo mfano hayo masiraha ya warussi yanawaua warussi? Au ya wamarekani yanawaua wamarekani? Wanajitengezea ili kulinda maslahi yao ....
Ambapo siyo kosa
Wote hamjanielewa
 
Back
Top Bottom