mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Russia awe na carrier za nini wakati ana uwezo wa kupiga mahali popote pale duniani kwa usahihi na kwa muda mfupi sana??hahahaaa endelea kujifariji , nguv na hana hata carrier , raia wake wanakimbilia US kutafuta maisha , ebu acha unafiki Allah hapend hivyo
Unajua,kuna ushabiki wa kijinga sana. Yeye ameizimia USA, kwa hiyo lolote utakaloongea,hatokuelewa. Ila,ukiogea anachokitaka yeye,hapo mtaenda sawa. Kwani,hoja inaletwa tukubali mawazo ya badhi ya wachangiaji? Au inaletwa watu watoe maoni yao! Kizuri ilichofanya dunia hii USA ni nini? Umaarufu wake,upo tu kwenye chokochoko inazoleta kila kona ya dunia.Heheeeeee acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja mzeee
Kama hujaielewa mwambie aieke sawa maisha yaendelee
Tatizo lako unakariri sana, swala na USA kushambuliwa kwanye ardhi yake ni la muda tu. Sasahivi tunachofanya kwanza ni kuiangusha dola kwanza na kuimarisha bricksSwali lako ni invalid sababu duniani hapa hakuna nchi ya kuivamia wala kuishambulia Marekani kwenye ardhi yake. Ni nchi za kizembe kama Russia ndio zikikupiga nazo unapiga kwao.
Marekani haijawahi piga mtu akajibu kijeshi kwenye ardhi ya Marekani miaka nenda miaka rudi. Last time superpower anajitutumua alifanikiwa kuishtukiza Marekani mara moja ikiwa haipo kwenye state of war, Pearl Harbor attack 1940s.
Heheeee naunga mkono hojaUnajua,kuna ushabiki wa kijinga sana. Yeye ameizimia USA, kwa hiyo lolote utakaloongea,hatokuelewa. Ila,ukiogea anachokitaka yeye,hapo mtaenda sawa. Kwani,hoja inaletwa tukubali mawazo ya badhi ya wachangiaji? Au inaletwa watu watoe maoni yao! Kizuri ilichofanya dunia hii USA ni nini? Umaarufu wake,upo tu kwenye chokochoko inazoleta kila kona ya dunia.
Muache ajifurahishe, huyu ni ile taipu ya wanaojiita TISS. Kuwa na mapenzi na jeshi,haimpi kujua mambo ya kijeshi. Sasa anafyatuka weeeee!
T14 Armata , punguza jaziba za kijinga,hapa hatupewi chochote, ni maoni tuu.
Ukijua china alikotoka ukaelewa amezipita nchi ngapi hadi sasa kuwa ndiye mshindani wa marekani basi huwezi kuwa na shaka kuwa huenda baada ya miaka kadhaa atamshinda.View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
"Samahani lakini" 😁Ongea tu Kiswahili samahani lakini
Kwani Bin Laden aliwafanya nini! Lile si shambulizi? Je, huko wanakoenda,wanafanyiwa nini? Labda tu tumkubalie: kwenye uongo USA dunia nzima hana mpinzani. Uliwahi sikia akikubali majeshi yake kuuliwa? Ni kwamba wawapo vitani wao hawalengwi? Kama hawapigiki,ni kama vita ipi waliyowahi hushinda?Tatizo lako unakariri sana, swala na USA kushambuliwa kwanye ardhi yake ni la muda tu. Sasahivi tunachofanya kwanza ni kuiangusha dola kwanza na kuimarisha bricks
Habari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.Mkuu unaweza nipa chanzo cha hii habari?
🙏Habari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.
Tupo pamoja Kiongozi.
Media gani hebu nipe hiyo source nipitie nione wajerumani wakishangaa drone ya kirusiMkuu si tunasoma kwenye Media.
Kaenda kukinukisha Ukraine, leo hii yuko wapi?Heheeee naunga mkono hoja
Americant anasifika zaidi kwa mabalaa mauaji na ushoga anaousambaza hapa duniani
Hana ya maana saana kama maovu anayosambaza
Americant sio taifa lakupigiwa mfano wala lakuigwa kwahakika
Habari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.Media gani hebu nipe hiyo source nipitie nione wajerumani wakishangaa drone ya kirusi
Hivi,kama inaelekea vita vimeshapata mwenyewe, hao wa Ukrainians wanakuwa trained ili iwasaidie nini?Habari zote 2 ingia Google utaziona kupitia vyanzo hivi Poland says Russian missile briefly entered its airspace na Bild: Unidentified drones repeatedly spotted over German military bases where Ukrainians train. Halafu ulete mrejesho Mkuu.
Mwisho wa siku december 1991 nani aliibuka mshindi wa vita baridi?Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)
Hata wewe unaweza ukanifundisha au wewe sio mtu?
Hamna ubishi wa kijinga us angekubali kuba akawa na silaha alizotaka kua nazo ili aje atudhihirishie usupa power wake
Sasa unataka utuaminishe kua wewe super power wakat haitaki majirani zake nanguvu ya kupambana nae
Hoja unataka ujibiwe kama unavyotaka wewe nahapa utakua unafail kila siku mzee mwenzangu
Heheeee Americant amekua wakawaida sana kwakweliKaenda kukinukisha Ukraine, leo hii yuko wapi?
Kafail huko,kakimbilia Israel. Na misifa yooote,wameambulia nini? Si kujidhalilisha tuuuu. Wameua eeeeeh,eti wanaokoa mateka. Hata waliopatikana, si magaidi wadogo walitaka tu wawaonyeshe kuwa hawana lolote!? Sasa iko hivi,mbwa mkali siku hizi anabweka tuuuu. Maana hata wafanyakazi ndani wameanza kumla kiboga.
Daadeki. Siku moja mizoga ikazagaa,wengine wakaugua kichaa, ohhh wanajeshi walipata tu mshituko hakuna majeruhi hata mmoja. Kweli?
Ni super power siku za nyuma,leo hii ni super power kwenye uongo tu.
Huko Ukraine,tulikalilishwa kwamba warusi wanakufa kama sisimizi,mara ikaenda ikarudi,mara wameishiwa siraha,
Badae,ohhh mnajua Russia inaagiza siraha kutoka North Korea,tutaiwekea vikwazo.
Msuper power anatishia vikwazo!! Kweli!!!
Ussr ilikufa hili halina ubishi ila matakwa ya ussr pale ulaya yalizingatiwa na hii ndio ilikua hojaMwisho wa siku december 1991 nani aliibuka mshindi wa vita baridi?
Inaonekana hujui unachoongeaSubs zipo secured sana sio kama hio mitumbwi
Na hata hizo sub zenyewe kwa vita yakisasa navyo hatari pia
Maana ije ipigwe chuma huko chini izamishwe sub yenye watu zaidi ya mia tano kwakwel ni msiba mkubwa
Hayo mameli yana maana sana ukipigana ama ukiwa unawapiga watoto ila watu wazima bora utulie kwako kume mwapigana tu kwa ma ICBM
Mkuu,tukiwa wa kweli, pale wanaumia raia wa Ukraine, lakini anaeumia zaidi ni mwendawazimu aliejiona anamng'oa Russia kirahisi. Sasa,amekuja na kika kitu,mrusi akaona isiwe tabu,ardhi kwanza akamega. Wakakaa kimya. Siku Ukraine ikijua ilimkalibisha gaidi msaliti,itakaa na akili. Berarusi wana rahaaaa,jirani asiejiweza aliona kampata mshirika wa kweli,leo hii analialia tu. Na bado. Si amechokoza! Ishanyesha,panapovuja palishaonekana,ngoja tusubiri mafundi wazibe matunduUssr ilikufa hili halina ubishi ila matakwa ya ussr pale ulaya yalizingatiwa na hii ndio ilikua hoja
Sasa nashangaa yaliopingwa pale Cuba leo yanataka kutekelezwa ukraine halaf watu wanaona sawa
Nasema ukraine iendelee kuumizwa mpaka itakapokua na akili