Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Wewe ni mtu mzur sana, umeamua kujitibu mwenyewe kwa kujofariji.
Safi sana.
Usipofanya hivi utaugua bure
Safi sana.
Usipofanya hivi utaugua bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.Hapana sijawakuza wala nini nimeongea ukweli pinga kwa hoja
Us alianzisha muungano wakukabiliana na houthi vipi muungano una maendeleo gani nipe mregesho wake unaendeleaje ama uliishia wapi
Mimi Nimekupa hoja us alivyoona houthi hawajaogopa maneno yake aliondoa meli zake huko ama hakuondoa
Nibishie kwa hoja kama mie nlivyokubishia kwahoja
Us alikua super power kwanza super power anatakiwa awe anajitosheleza sasa usuper power wa us una mashaka sana kwanza bila ya alliance hua hatoboi kama kuna sehem akiwahi pigana us kama super power mwenyewe akafikia lengo nitajie nitaleft jf kwa muda
Us kawakimbia houthi bisha kwa hoja ama houthi hawapo ama hawateki tena meli sasa bisha kama us hajawakimbia ama hawaogopi
US sio Urusi , Urusi angekuwa na nguv kama za USA dunia isingepumuaImepunguzwa au haina
Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani
Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake
Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
US ana terminal one na twoView attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Hypersonic missile ipi kwa sasa duniani inastrike a fast moving target isiyo katika predictable path?Hypersonic missile unaicounter na defensive measures zipi?
kushabikia mzungu ni kosa ila kushabikia mchina ndo sahihi kisa wamejitoa chini juu na kwavile wazungu walikuwa juu siku zote hawajawai kuwa chini , hizi akili za mtu mweusi ni aibuHeheeee itakua yeye Ndhungu
Ongea tu Kiswahili samahani lakiniAircraft carrier is useless now days. Or it's depends you are engege war with who otherwise useless. Aircraft carrier only works in very poor countries
Now if you have got missile capability, you have got everything
Urusi huyu huyu alikana kuhusika na bomu liliotua Poland ?Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Dadeki. Apeleke Afghanistan, Syria na Iraq alikoshinda vita🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Imepunguzwa au haina
Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani
Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake
Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Kabisaaa Russia kaprove ila us kwa mpaka sasa hana maajabuMarekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
kipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zakebado hakuna measures za kuzuia hypersonic missile...............ndo maana nikasema hilo dude inategemea unaenda kupigana na nani,,,,,,,.......ukienda kwa mchina au mrusi wanaweza kulizamisha
Unaongea nini mzee mbona sijaelewa bado?kushabikia mzungu ni kosa ila kushabikia mchina ndo sahihi kisa wamejitoa chini juu na kwavile wazungu walikuwa juu siku zote hawajawai kuwa chini , hizi akili za mtu mweusi ni aibu
mwaka wa Pili huu , Urusi kaishiwa wap huko Ukraine ? sasa hv hadi viongoz wa Ulaya wanaingia na kutoka Ukraine , je haeza watungua ?Hata kiev ina defensive measures zakumwaga ila Russia anapiga kila anapopataka ama anapojisikia
Sasa hako kangarawa kimeekwa defensive measure ipi
Hio ikija kupigana na Tanzania aaah utaona bonges la kitu ila ikiingia kwenye 18 za Russia iran Korea North au Uchina aaah nakuhakikishia tutazika wanajeshi kuanzia 5k kwa kaburi moja
Maana hayo mangarawa si haba yanajua kubeba watu
Us angekua na nguvu walau robo tu za us basi dunia ingezidi kua haikalikiUS sio Urusi , Urusi angekuwa na nguv kama za USA dunia isingepumua
Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoSubs zipo secured sana sio kama hio mitumbwi
Na hata hizo sub zenyewe kwa vita yakisasa navyo hatari pia
Maana ije ipigwe chuma huko chini izamishwe sub yenye watu zaidi ya mia tano kwakwel ni msiba mkubwa
Hayo mameli yana maana sana ukipigana ama ukiwa unawapiga watoto ila watu wazima bora utulie kwako kume mwapigana tu kwa ma ICBM
Sasa ulitaka aseme kahusika wakati hajahusikaUrusi huyu huyu alikana kuhusika na bomu liliotua Poland ?
EiwaaaaaDadeki. Apeleke Afghanistan, Syria na Iraq alikoshinda vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa enzi hizo Japan alikuwa anatwala Asia ya mashariki yote je unahisi alikuwa mshindan wa kawaida ? Urusi hajapigana na NATO anapigana na Ukraine , Irana anawasaidia Hamas , hii haimaanish Israel wanaipiga Iran bali wanawapiga HamasMarekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
China hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tukipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake
Hao wapuuzi wanapenda kujipa matumaini sana bwana zao wakifinywa wanakuja kulia lia humukipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake