myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh!!!!!!!!!!............magufuli aliyapenda sn haya mavituu...alikuwa atuletee dubwasha mojaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!!!!!!!!!............magufuli aliyapenda sn haya mavituu...alikuwa atuletee dubwasha mojaa
Urusi alipigana lini hivyo Vita na NATO tunataka live fire ya kurushiana risasi majeshi yao ...na siyo kupigania nchi za watuMarekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Pole na wewePole sana mkuu....
Nenda uendako USA ndio polisi wa dunia akiamua dunia ichangamke na tuvita Vita kila mahari anaamua tu akitaka mtulie mnatulia tu😃😃 anawakeep busy mnatoka kwenye reli uchumi unashuka kidogo.....kabla hamjaanguka kabisa anawaachia in short huyu jamaa ni Ana akili mnoPole na wewe
Kweli kwasababu yeye ndio aloivamia ukraine hatujakaa sawa akaivamia na israhelNenda uendako USA ndio polisi wa dunia akiamua dunia ichangamke na tuvita Vita kila mahari anaamua tu akitaka mtulie mnatulia tu[emoji2][emoji2] anawakeep busy mnatoka kwenye reli uchumi unashuka kidogo.....kabla hamjaanguka kabisa anawaachia in short huyu jamaa ni Ana akili mno
Yes anatengeneza mazingira😀😀 halafu mnajaa wewe unadhani sababu kuu ya Russia kuvamia Ukraine..si ni uoga kwamba itajiunga NATO...akataka aifanyie umafia faster kabla haijajiunga Ila mpaka Sasa ni kamfupa kamekwama shingoni😀😀Kweli kwasababu yeye ndio aloivamia ukraine hatujakaa sawa akaivamia na israhel
Kwahakika yeye ndio anaamua vita
Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana naeYes anatengeneza mazingira[emoji3][emoji3] halafu mnajaa wewe unadhani sababu kuu ya Russia kuvamia Ukraine..si ni uoga kwamba itajiunga NATO...akataka aifanyie umafia faster kabla haijajiunga Ila mpaka Sasa ni kamfupa kamekwama shingoni[emoji3][emoji3]
Umejitahidi kiasi chako....kwenye kahawa watafurahi.Pole na wewe
Duh!!!Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Karibu nawe unyweUmejitahidi kiasi chako....kwenye kahawa watafurahi.
Karibu tenaDuh!!!
Uvamie NATO!? Una akili kweli kichwani ambacho hujui hiyo Ukraine na Israel ni puppet States tu za kuwaweka bize mapembe yakiotaKwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Anakua busy nani unadhani kila mtu hana akili mzeee???Uvamie NATO!? Una akili kweli kichwani ambacho hujui hiyo Ukraine na Israel ni puppet States tu za kuwaweka bize mapembe yakiota
Ndo maana China alijua mapema kwamba anatafutwa Taiwan ....bahati nzuri akachomoa betri ...achana na nchi yenye think tanks wa maana
Kudominate politics na culture affairs za duniani pote siyo Jambo dogo ...
Ndo maana mnakuwa bize kufuatilia uchaguzi wa marekani kuliko uchaguzi wenu.
View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Ni kweliImepunguzwa au haina
Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani
Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake
Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Elewa eneo hilo kama vipitia hiyo link usomeHawana vifaa vyakisasa ila wanavyo vyakisasa vyakuilinda ukraine [emoji1787]
Acha kuruka ruka kijanaElewa eneo hilo kama vipitia hiyo link usome
Hamna kitu....Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Yale machuma chuma yameshindwa kuilinda ukraineHamna kitu....
Mnaongea kimaskini, ushauri wenu ni wa nchi za kimaskini kama Urusi.Wewe ndio hutaki kuelewana na watu ama hutaki kuwaelewa watu kwamakusudi kabisa ama kwa bahati mbaya
Russia unapigana na Ukraine ambao ni majirani, hakuna haja ya aircraft carrier kwa jirani. Russia ikitaka kupigana na mfano Brazil ndio utaona umuhimu wa carrier. Russia inapigana na majirani wake wanyonge ndugu zake, ingekuwa inapigana na mataifa makubwa ya mbali ndipo ungejua kwanini carrier ni muhimu.Sababu watu wamekupa sababu moja ama zaidi ya moja kuhusiana na hizo ngarawa
Wengine wameitolea mfano Russia wamesema kwasasa hauihitaji ngarawa lazima yaani sio lazima ue na ngarawa ili kuifata target ukaichape (ila pia hawakusema kama ngarawa haifai)
China na Russia zina aircraft carriers. Kama ni risk kwanini wasiachane nazo. Alafu taja ni silaha gani vitani haina risk?Wengine wakasema kwamba katika vita zakisasa ngarawa ina hasara pindi inapotokea unapigana na taifa lenye uwezo achana na libya iraq na Afghanistan tuseme unapigana leo na Russia China Iran au korea North hizi ngarawa zinakua na risk kubwa
Ni superpower gani hana aircraft carrier. Libya sio superpower.Sababu ya mwisho watu wakakwambia kama unapigana na taifa lakawaida basi carrie au ngarawa inafaa sana sababu opponents hana uwezo wakuifikia tumeona mfano kwa libya
Nani kakwambia ICBM ndio makombora pekee 0ekee ya kutumia vitani. Nitajie vita gani ambayo ICBM iliwahi tumika.Yaani umbali aliokua anapigwa libya nayale ma tomahawk ni umbali ambao range za makombora kutokea uchina iran Russia Korea North sio yanafika yaani yanapita kabisa kiasi kwamba unaweka sailors kwenye njia panda
Kwanini Russia ana aircraft carrier ile nzee?Sasa unapigana na libya haina hata kombora lakutoka mwanzo wa libya mpaka mwisho wa libya au haina ICBM unategemea maajabu gani
Bado zinatengenezwa na wenye hela. Kwenye miaka hii ya 2020s Marekani, China, South Korea na Japan zimeunda au kuzindua carriers. Zote hizo zinaizidi uchumi Urusi.Mwisho ngarawa hazitaisha umuhimu mpaka dunia inaisha ila umuhimu wake utategemea tu unapigana nanani
NATO haiko vitani na Russia, bali Russia iko vitani na vimichango vya wanachama wa NATO, independently. Mfano Marekani imetoa kitu kama 5% ya bajeti yake ya kijeshi kwa mwaka kwenda Ukraine na hiyo ndiyo unafanya Urusi walie na kusaga meno.Maana hata No fly zone ina umuhimu ukipigana na dogo ila ukipigana na mkubwa hua haina maana sababu unashindwa kuieka nandio maana ukraine aliwaomba nato waieke pale Ukraine ili ndege za Russia zisiruke nato wakaruka kimanga!