USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Urusi alipigana lini hivyo Vita na NATO tunataka live fire ya kurushiana risasi majeshi yao ...na siyo kupigania nchi za watu
 
Pole na wewe
Nenda uendako USA ndio polisi wa dunia akiamua dunia ichangamke na tuvita Vita kila mahari anaamua tu akitaka mtulie mnatulia tu😃😃 anawakeep busy mnatoka kwenye reli uchumi unashuka kidogo.....kabla hamjaanguka kabisa anawaachia in short huyu jamaa ni Ana akili mno

Halafu asivyo mchoyo mkipata adabu anawajengea kanchi kenu
 
Nenda uendako USA ndio polisi wa dunia akiamua dunia ichangamke na tuvita Vita kila mahari anaamua tu akitaka mtulie mnatulia tu[emoji2][emoji2] anawakeep busy mnatoka kwenye reli uchumi unashuka kidogo.....kabla hamjaanguka kabisa anawaachia in short huyu jamaa ni Ana akili mno
Kweli kwasababu yeye ndio aloivamia ukraine hatujakaa sawa akaivamia na israhel

Kwahakika yeye ndio anaamua vita
 
Kweli kwasababu yeye ndio aloivamia ukraine hatujakaa sawa akaivamia na israhel

Kwahakika yeye ndio anaamua vita
Yes anatengeneza mazingira😀😀 halafu mnajaa wewe unadhani sababu kuu ya Russia kuvamia Ukraine..si ni uoga kwamba itajiunga NATO...akataka aifanyie umafia faster kabla haijajiunga Ila mpaka Sasa ni kamfupa kamekwama shingoni😀😀
 
Yes anatengeneza mazingira[emoji3][emoji3] halafu mnajaa wewe unadhani sababu kuu ya Russia kuvamia Ukraine..si ni uoga kwamba itajiunga NATO...akataka aifanyie umafia faster kabla haijajiunga Ila mpaka Sasa ni kamfupa kamekwama shingoni[emoji3][emoji3]
Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
 
Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Duh!!!
 
Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Uvamie NATO!? Una akili kweli kichwani ambacho hujui hiyo Ukraine na Israel ni puppet States tu za kuwaweka bize mapembe yakiota
Ndo maana China alijua mapema kwamba anatafutwa Taiwan ....bahati nzuri akachomoa betri ...achana na nchi yenye think tanks wa maana

Kudominate politics na culture affairs za duniani pote siyo Jambo dogo ...

Ndo maana mnakuwa bize kufuatilia uchaguzi wa marekani kuliko uchaguzi wenu.
 
Uvamie NATO!? Una akili kweli kichwani ambacho hujui hiyo Ukraine na Israel ni puppet States tu za kuwaweka bize mapembe yakiota
Ndo maana China alijua mapema kwamba anatafutwa Taiwan ....bahati nzuri akachomoa betri ...achana na nchi yenye think tanks wa maana

Kudominate politics na culture affairs za duniani pote siyo Jambo dogo ...

Ndo maana mnakuwa bize kufuatilia uchaguzi wa marekani kuliko uchaguzi wenu.
Anakua busy nani unadhani kila mtu hana akili mzeee???

Kwani nato huko huko ndege za Russia si zinavinjari zitakavyo wanaishia kubweka bweka tuuu

Wanao dominate wapi hawa wanao lalama kwamba PUT IN kawaekea rahusi ama unaongelea wengine

Nchi mpaka inaekewa rahisi na taifa jengine hii nchi au shamba darasa
 
Imepunguzwa au haina

Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani

Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake

Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Ni kweli
 
Kwanini hakuzivamia nato ambazo zinapakana nae
Russia ilikua kaitengenezea mazingira ukraine aichape na ndio anaichapa
Mfupa kwako kwa Russia ni yakawaida sana nandio maana anapiga anapoona panafaa yaani
Hamna kitu....
 
Wewe ndio hutaki kuelewana na watu ama hutaki kuwaelewa watu kwamakusudi kabisa ama kwa bahati mbaya
Mnaongea kimaskini, ushauri wenu ni wa nchi za kimaskini kama Urusi.
Sababu watu wamekupa sababu moja ama zaidi ya moja kuhusiana na hizo ngarawa

Wengine wameitolea mfano Russia wamesema kwasasa hauihitaji ngarawa lazima yaani sio lazima ue na ngarawa ili kuifata target ukaichape (ila pia hawakusema kama ngarawa haifai)
Russia unapigana na Ukraine ambao ni majirani, hakuna haja ya aircraft carrier kwa jirani. Russia ikitaka kupigana na mfano Brazil ndio utaona umuhimu wa carrier. Russia inapigana na majirani wake wanyonge ndugu zake, ingekuwa inapigana na mataifa makubwa ya mbali ndipo ungejua kwanini carrier ni muhimu.
Wengine wakasema kwamba katika vita zakisasa ngarawa ina hasara pindi inapotokea unapigana na taifa lenye uwezo achana na libya iraq na Afghanistan tuseme unapigana leo na Russia China Iran au korea North hizi ngarawa zinakua na risk kubwa
China na Russia zina aircraft carriers. Kama ni risk kwanini wasiachane nazo. Alafu taja ni silaha gani vitani haina risk?

Iran na North Korea hawana sababu ni njaa na hawana teknolojia. North Korea haohao huwa wanalialia carrier ya Marekani ikiwasogelea.
Sababu ya mwisho watu wakakwambia kama unapigana na taifa lakawaida basi carrie au ngarawa inafaa sana sababu opponents hana uwezo wakuifikia tumeona mfano kwa libya
Ni superpower gani hana aircraft carrier. Libya sio superpower.
Yaani umbali aliokua anapigwa libya nayale ma tomahawk ni umbali ambao range za makombora kutokea uchina iran Russia Korea North sio yanafika yaani yanapita kabisa kiasi kwamba unaweka sailors kwenye njia panda
Nani kakwambia ICBM ndio makombora pekee 0ekee ya kutumia vitani. Nitajie vita gani ambayo ICBM iliwahi tumika.

Kama makombora ya ardhini pekee yanatosha, mbona Russia inaendelea kutengeneza air launched missiles kama Kinzhal, anatengeneza smart bombs.
Kama makombora pekee (ballistic or cruise) yanatosha, mbona Russia anatumia air launched cruise missiles kwa kutumia fighter bombers kama Su-34. Endapo ataenda kupigana vita mbali ambapo fighters hazifiki atatumia ungo?
Sasa unapigana na libya haina hata kombora lakutoka mwanzo wa libya mpaka mwisho wa libya au haina ICBM unategemea maajabu gani
Kwanini Russia ana aircraft carrier ile nzee?
Mwisho ngarawa hazitaisha umuhimu mpaka dunia inaisha ila umuhimu wake utategemea tu unapigana nanani
Bado zinatengenezwa na wenye hela. Kwenye miaka hii ya 2020s Marekani, China, South Korea na Japan zimeunda au kuzindua carriers. Zote hizo zinaizidi uchumi Urusi.
Maana hata No fly zone ina umuhimu ukipigana na dogo ila ukipigana na mkubwa hua haina maana sababu unashindwa kuieka nandio maana ukraine aliwaomba nato waieke pale Ukraine ili ndege za Russia zisiruke nato wakaruka kimanga!
NATO haiko vitani na Russia, bali Russia iko vitani na vimichango vya wanachama wa NATO, independently. Mfano Marekani imetoa kitu kama 5% ya bajeti yake ya kijeshi kwa mwaka kwenda Ukraine na hiyo ndiyo unafanya Urusi walie na kusaga meno.

Hata Iran yako hiyo imegeuza meli ya mizigo kuwa aircraft carrier ya kienyeji. Hata Uturuki inayo Anadolu. Wewe uko hapo unatetema maskini na wazembe wa teknolojia.
 
Back
Top Bottom