USA vs China Aircraft carrier

USA vs China Aircraft carrier

China na Marekani wako na mipango ya kuongeza aircraft carrier kadhaa zikiwemo pia nchi nyingine kama vile India halafu mtu kashiba zake kande anakwambia AC ni obsolete. Kwahiyo wewe una akili kushinda US au China?!
Bila shaka hata wewe umeshawahi kubeza mipango ya mataifa makubwa kama vile Iran na Russia. Ina maana wewe una akili kubwa kushinda Russia?
Nyie watu mnapenda sana kusoma vinavyowavutia macho yenu!
 
Urusi ajaribu kuichukua tena Alaska kama alivyojitapa kuichukua Crimea.
Daaaah!!!
Watu mna ushabiki wa kitoto sana aisee!
Kwahiyo unahisi Russia akifanya hicho unachotaka afanye (kuichukua Alaska), USA atamchapa Russia na maisha yataendelea kama kawaida?
Hivi watu mkoje!?
Yaani unaamini kabisa vita ya USA na Russia ikitokea, USA atakuwa bingwa, na wewe utabaki kusimulia wajukuu zako!?
 
Wajaribu kurusha hata Kokoto waone cha mtema kuni
Daaah!
😂😂😂

Chief, kwahiyo wewe unaamini ikitokea kinyume chake katika kauli yako hii, yaani ikitokea USA amerusha hata kokoto ndani ya Russia, Russia ataufyata mkia? Na maofisa wa USA watagonga tu glass kufurahia kwenye ofisi zao pale Pentagon?
 
Majenerali wa jeshi la jf tanzania, wakiwa live wanachambua zana za kisasa za kivita Duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio ni kwel mkuu kuna nyingine Ali rusha drone ya majini ikawa ina pishana na nyambizi za USA hadi ika mlazimu waziri blinken awa pigie simu russia waache uchokozi
 
Daaah!
😂😂😂

Chief, kwahiyo wewe unaamini ikitokea kinyume chake katika kauli yako hii, yaani ikitokea USA amerusha hata kokoto ndani ya Russia, Russia ataufyata mkia? Na maofisa wa USA watagonga tu glass kufurahia kwenye ofisi zao pale Pentagon?
Sasa hilo swali waulize washirika wa Putin wanaotaka Russia iirudishe, Marekani hana anachokitaka toka Urusi.
 
Bwana uchungu njoo uone zile unazoziita ngarawa zikishusha vikombora vyenu

The Houthis launched a major attack against international maritime shipping

18 suicide drones
2 anti-ship cruise missiles
1 anti-ship ballistic missile

They were all shot down by planes from a U.S. aircraft carrier (Eisenhower) with the help of 4 ships (3 American + 1 British)
 
Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Wanajeshi wangapi wa NATO wamekufa katika vita na Urusi??
 
Sasa hilo swali waulize washirika wa Putin wanaotaka Russia iirudishe, Marekani hana anachokitaka toka Urusi.
Chief, kwa uandishi wako tu, inatosha kabisa kujua kuwa wewe shule kichwani ipo.
Kwahiyo kama kichwani shule ipo, basi ni wazi kabisa unajua kuwa vita ya USA dhidi ya Russia haiwezi kutoa mshindi, dunia nzima itapoteza.
Labda kama unaandika tu kunogesha jukwaa, hiyo sawa, lakini inaweza kuwa sio sawa pia, kwani kuna vijana wa sekondari ama watu wengine wenye uelewa mdogo wanaweza pita humu, kwa uelewa wao mdogo wa mambo wanaweza kuichukulia mitazamo yako SERIOUS, kumbe wewe ulikuwa katika ushabiki na unogeshaji wa jukwaa tu.
 
View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu

Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸

Jamani tuache masihara.
Hivi mleta mada kwa ufikiri wako US aircraft carriers anazo ngapi?
Kiukweli mambo mengine hayana haja ya kuyaleta humu na kujaribu kutaka kufananisha ni aibu na fedheha kwako. US aircraft carriers anazo nyingi kuanzia
USS Nimitz
USS Carl Vinson
USS Dwight D. Eisenhower
USS Theodore Roosevelt
USS Abraham Lincoln
USS George Washington
USS John C. Stennis
USS Ronald Reagan
USS Gerard R. Ford
USS Donhomme Richard
+1 nimeisahau jina.
jumla kama 11 utamlinganisha na China mwenye aircraft carrier moja 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️
 
Am
Hivi mleta mada kwa ufikiri wako US aircraft carriers anazo ngapi?
Kiukweli mambo mengine hayana haja ya kuyaleta humu na kujaribu kutaka kufananisha ni aibu na fedheha kwako. US aircraft carriers anazo nyingi kuanzia
USS Nimitz
USS Carl Vinson
USS Dwight D. Eisenhower
USS Theodore Roosevelt
USS Abraham Lincoln
USS George Washington
USS John C. Stennis
USS Ronald Reagan
USS Gerard R. Ford
USS Donhomme Richard
+1 nimeisahau jina.
jumla kama 11 utamlinganisha na China mwenye aircraft carrier moja 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️
Amekurupuka...alijua hapa ni kijiwe cha kahawa....
 
Kijana hem nisome vyema unielewe acha kukurupuka

Kama hutaelewa nilichokiandika huwezi ukaelewa lolote

Nimekuelezea hapo hasara na faida ya hizo ngarawa hujaona ama umeamua kutia pamba za maskio??

Unaona mifano yako houthi wanatengeneza silaha gani kali hemu taja walau moja ya silaha yao yakueleweka ya hao jamaaaa

Karia hata iongozane na destroyer mia sita ikiutana na taifa kama iran Russia uchina na korea North yaani zitatwangwa kuanzia destroyer kabla yakumalizana na hizo karia zenyewe

Yaani unaisifia karia kisa imetungua makombora ya houthi [emoji3]
Hujui maskini.....
 
Hayo madude Inategemea nchi unayopigana nayo.... Wao wenyewe wameshajua hizo zinakua ni easy targets na hasara inakua kubwa kama unapigana na mtu mwenye makombora ya hypersonic...... Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madude
Kwamba we wajua kuliko wao wamarekani?
 
Watu wamedanganywa sana na sinema na iule utamaduni wao waliotengeneza kupitia sinema kuwa marekani lazima waibuke kidedea.

Marekani ni sawa na Mandonga tu, maneno mengi lakini kiuwalisia hakuna kitu. USA akikutana na kibonde ni fully kujimwambafai lakini akikutana na mbabe anaishia kubwekabweka tu.

Kilichoibeba marekani ni kuwa na hichi kitu kinachoitwa UN ya kimichongo na pesa yake kuwa na pawa.

Kwasasa dunia imeamka na kuamka kwa dunia ndio anguko la marekani. Watu wanaweza wasione huu ukweli kwasababu ya kufikiia marekani ataanguka gafla. Anguko na marekani ni la taratibu kama vile kansa inavyommaliza taratibu
Sio rahisi.....
USA amewekeza sana vichwani...kuna watu hawakali ili dunia iwe salama..
 
Back
Top Bottom