George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Mkongwe, kwa teknolojia ya sasa kwenye uwanja wa vita hayo machuma ni takataka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa inategemea ni nani anayempiga!Marekani haijawahi piga mtu akajibu kijeshi kwenye ardhi ya Marekani miaka nenda miaka rudi.
Bila shaka hata wewe umeshawahi kubeza mipango ya mataifa makubwa kama vile Iran na Russia. Ina maana wewe una akili kubwa kushinda Russia?China na Marekani wako na mipango ya kuongeza aircraft carrier kadhaa zikiwemo pia nchi nyingine kama vile India halafu mtu kashiba zake kande anakwambia AC ni obsolete. Kwahiyo wewe una akili kushinda US au China?!
Daaaah!!!Urusi ajaribu kuichukua tena Alaska kama alivyojitapa kuichukua Crimea.
Daaah!Wajaribu kurusha hata Kokoto waone cha mtema kuni
Hio ni kwel mkuu kuna nyingine Ali rusha drone ya majini ikawa ina pishana na nyambizi za USA hadi ika mlazimu waziri blinken awa pigie simu russia waache uchokoziMajenerali wa jeshi la jf tanzania, wakiwa live wanachambua zana za kisasa za kivita Duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hilo swali waulize washirika wa Putin wanaotaka Russia iirudishe, Marekani hana anachokitaka toka Urusi.Daaah!
😂😂😂
Chief, kwahiyo wewe unaamini ikitokea kinyume chake katika kauli yako hii, yaani ikitokea USA amerusha hata kokoto ndani ya Russia, Russia ataufyata mkia? Na maofisa wa USA watagonga tu glass kufurahia kwenye ofisi zao pale Pentagon?
Lini na wapi?! Weka evidence, Acha kunilisha maneno.Bila shaka hata wewe umeshawahi kubeza mipango ya mataifa makubwa kama vile Iran na Russia. Ina maana wewe una akili kubwa kushinda Russia?
Nyie watu mnapenda sana kusoma vinavyowavutia macho yenu!
Wanajeshi wangapi wa NATO wamekufa katika vita na Urusi??Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
Chief, kwa uandishi wako tu, inatosha kabisa kujua kuwa wewe shule kichwani ipo.Sasa hilo swali waulize washirika wa Putin wanaotaka Russia iirudishe, Marekani hana anachokitaka toka Urusi.
SahihiSasa hilo swali waulize washirika wa Putin wanaotaka Russia iirudishe, Marekani hana anachokitaka toka Urusi.
Hivi mleta mada kwa ufikiri wako US aircraft carriers anazo ngapi?View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Hakuna popote pale China anapomuweza US, US na ulaya ni wavumbuzi. Tech zinaanziaga kwao.Sio kwenye military mkuu, ingawa anasogea.
Watu wanachukulia US wajinga kumiliki hizo mashine.Mkuu, sasa hivi yameboreshwa zaidi, yamekuwa equipped na defensive measures.
Amekurupuka...alijua hapa ni kijiwe cha kahawa....Hivi mleta mada kwa ufikiri wako US aircraft carriers anazo ngapi?
Kiukweli mambo mengine hayana haja ya kuyaleta humu na kujaribu kutaka kufananisha ni aibu na fedheha kwako. US aircraft carriers anazo nyingi kuanzia
USS Nimitz
USS Carl Vinson
USS Dwight D. Eisenhower
USS Theodore Roosevelt
USS Abraham Lincoln
USS George Washington
USS John C. Stennis
USS Ronald Reagan
USS Gerard R. Ford
USS Donhomme Richard
+1 nimeisahau jina.
jumla kama 11 utamlinganisha na China mwenye aircraft carrier moja 🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Hujui maskini.....Kijana hem nisome vyema unielewe acha kukurupuka
Kama hutaelewa nilichokiandika huwezi ukaelewa lolote
Nimekuelezea hapo hasara na faida ya hizo ngarawa hujaona ama umeamua kutia pamba za maskio??
Unaona mifano yako houthi wanatengeneza silaha gani kali hemu taja walau moja ya silaha yao yakueleweka ya hao jamaaaa
Karia hata iongozane na destroyer mia sita ikiutana na taifa kama iran Russia uchina na korea North yaani zitatwangwa kuanzia destroyer kabla yakumalizana na hizo karia zenyewe
Yaani unaisifia karia kisa imetungua makombora ya houthi [emoji3]
Jikite kwenye mada husikaTechnology sasa hivi China ndio yuko front anakimbiza vibaya
Kwamba we wajua kuliko wao wamarekani?Hayo madude Inategemea nchi unayopigana nayo.... Wao wenyewe wameshajua hizo zinakua ni easy targets na hasara inakua kubwa kama unapigana na mtu mwenye makombora ya hypersonic...... Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madude
Sio rahisi.....Watu wamedanganywa sana na sinema na iule utamaduni wao waliotengeneza kupitia sinema kuwa marekani lazima waibuke kidedea.
Marekani ni sawa na Mandonga tu, maneno mengi lakini kiuwalisia hakuna kitu. USA akikutana na kibonde ni fully kujimwambafai lakini akikutana na mbabe anaishia kubwekabweka tu.
Kilichoibeba marekani ni kuwa na hichi kitu kinachoitwa UN ya kimichongo na pesa yake kuwa na pawa.
Kwasasa dunia imeamka na kuamka kwa dunia ndio anguko la marekani. Watu wanaweza wasione huu ukweli kwasababu ya kufikiia marekani ataanguka gafla. Anguko na marekani ni la taratibu kama vile kansa inavyommaliza taratibu